Nimeona ni muhimu sana kuwajulisha na kuwaandaa kisaikolojia, ili wakati muafaka ukifika msione kama ni surprise.
Chama hakina pesa kwa sasa na sio siri tena, chama kinapitia ukata mkali wa pesa za matumizi ya kawaida ya kuendesha chama kwa kiwango kibaya sana, na mchango wako wa hali na mali...
Habari da Mai, huyo kaka alie muua mkewe Iko hivi, huyo kaka alienda kupiga akabainika na saratani ya utumbo, baada ya kumjuza mkewe ndio likaibuka sakata la kubadili hati ya nyumba, kumbuka hapo jamaa haja jua hata anatibiwaje mke kesha anza kabadili hati ya nyumba Ina mana alikua kesha jua...
Wakuu, naomba uzoefu na facts kutoka kwa watu waliowahi au wanaofanya kazi kwenye taasisi mbalimbali Tanzania, hasa kwenye eneo la Procurement/Supply Chain.
Kuna taasisi ambazo kwa nje zinaonekana kawaida, lakini ndani yake zina salary scales nzuri, procurement activities nyingi, field...
Bodi ya Tumbaku Tanzania (TTB) imekutanisha wadau wa Sekta ya Tumbaku nchini kwa lengo la kutafakari na kuweka mikakati ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 pamoja na Mpango Kabambe wa Kilimo wa mwaka 2050 (Agricultural Master Plan 2050 – AMP 2050).
Kikao hicho kimewakutanisha...
Utambulisho wa JamiiSound: Platform ya Kusambaza na Kusikiliza Muziki (Music streaming platform) katika hatua zake za awali.
Tunafurahi kuwatambulisha Watanzania wenzetu JamiiSound, moja kati ya bidhaa zetu nyingi ya kidijitali inayolenga kurahisisha usikilizaji, ugunduzi na usambazaji wa...
Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imekabidhi jumla ya Sh bilioni 2 kwa wanufaika wa shughuli za utalii na uhifadhi wa wanyamapori, hatua inayolenga kuwawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi zinazotokana na rasilimali za utalii. Fedha...
Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini, taarifa hiyo inaweza kusaidia katika kumtambua au kumkamata mwizi wa gari hilo?
Kwa kuwa tukio la...
Anonymous
Thread
baada
bila
gari
katika
kuibiwa
leseni
madeni
magari
mfumo
mjini
mtu
naomba
wadau
wizi
wizi wa magari
Toka asubuhi nimekuwa nikijaribu kufanya malipo kupitia Control Number, lakini kila ninapojaribu malipo yanashindikana. Nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio, hali ambayo imenifanya nikose huduma ninayohitaji.
Naomba kujua, ni mimi tu ninayepata tatizo hili au na wengine pia mnakutana nalo...
Zaidi ya washiriki 3,000 kutoka mataifa mbalimbali wanahudhuria Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Idadi hii kubwa ya wageni ni kielelezo tosha cha jinsi utalii wa mikutano mkoani humo unavyozidi kushika...
Kila mwaka ifikapo Septemba 10, dunia huungana kuadhimisha Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani, siku maalum iliyoasisiwa mwaka 2003 na Jumuiya ya Kimataifa ya Kuzuia Kujiua (IASP) kwa ushirikiano na Shirika la Afya Duniani (WHO).
Lengo kuu la siku hii ni kuongeza uelewa wa umma kuhusu afya ya akili...
Asasi za Kiraia (CSOs) zipatazo Hamsini (50) zimesaini tamko la kuomba SADC Pannel of Elders kuja nchini Tanzania kukutana na kufanya mazungumzo na wadau mbalimbali waKIwemo Serikali ,Vyama vya Siasa,viongozi wakuu wastaafu,viongozi wa dini,Asasi za Kiraia kama sehemu ya juhudi za kutatua...
🚨 NAOMBA UFAFANUZI: HII NI HAKI KWELI?
Nimeamua kuandika hili kwa sababu naamini kuna watu wengi wanaweza kuwa wamepitia hali kama yangu bila kujua cha kufanya.
Nilienda kuomba mkopo benki, nikafanyiwa CRB check na nikakuta nina deni la Songesha. Nilipoanza kufuatilia, nikagundua kwamba deni...
Na vipi kuhusu michango waliokusudia kuomba kuchangiwa na waTanzania.
kuna mwenye updates yoyote kwamba wamefikia wapi mpaka sasa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Katika ulimwengu wa siasa kuna watu wanaitwa wazee wa mfumo,hili ni kundi la watu linalojumuisha wafanya biashara wakubwa katika taifa ,hapa kwetu mfano mzuri ni Rostam Aziz,Mohamed Dewdji,GSM,Kiziga,na wengineo.
Sifa kuu ya hawa watu ni kuwezesha wanasiasa na chama cha siasa ili kishike dola...
Leo nlikuwa napitia baadhi ya mitihani yangu ya shule ya Chekechea nimekumbuka sana wadau au classmates zangu wa Chekechea katika kindergarten ya Step Up Nursery School, tulikuwa tunavaa shati za pink na kaptura au sketi za light bluu, dah kitambo sana.
Binafsi nlimaliza 1997, nlisoma Nursery...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.