haki za wanawake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    Wanawake muolewe. Wanawake waliofanya mambo makubwa katika Biblia walikuwa ni wake za watu

    Ni Ibris ndio anakudanganya eti ukiwa siglemama ndio utafanikiwa, utakuwa huru na utajitawala. Wale ambao kama mimi wameruhusu akili zao ziathiliwe na Biblia watajua wanawake wenye ushawishi, matajiri na wanawake wa maana wenye adabu walikuwa ni wake za watu, sio Masingle mama au wanakejeli...
  2. Anonymous77

    SoC03 Usawa wa Jinsia, Haki za Wanawake, Watoto, Vijana, na Wazee Tanzania

    Tanzania ni nchi yenye idadi kubwa ya watu, takriban watu milioni 57. Kati ya idadi hiyo, wanawake wanaunda asilimia 51. Hata hivyo, wanawake nchini Tanzania bado wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwemo: Ukosefu wa usawa wa kijinsia katika elimu, ajira, na siasa. Ukatili wa kijinsia, ikiwa...
  3. G-Mdadisi

    ASASI ZA KIRAIA PEMBA: Mkakati wa pamoja wa ufuatiliaji rasilimali za umma katika jamii utasaidia kuongeza uwajibikaji kupatikana Haki za Wanawake

    ASASI za kiraia kisiwani Pemba zimeeleza kuwa kuwepo kwa mpango na mkakati wa pamoja wa ufuatiliaji wa rasirimli za umma katika jamii utasaidia kuongeza uwajibikaji wa taasisi za umma katika kusimamia rasilimali hizo kwa maendeleo ya nchi. Walisema hayo wakati wa mkutano wa asasi za kiraia...
  4. I

    Wanawake hawajui haki zao

    Hadithi ya hii inatokana na maisha ya mwanamke asiyejua thamani yake na haki zake. Imagine mpaka Leo kuna wanawake wanaishi maisha ya mateso. Mwanamke ameachana na mume wake na kila mtu anaishi maisha yake. Hii hainishangazi ila kinachonishangaza ni kwamba Mwanaume baada ya kuacha a na mke...
  5. Kijakazi

    Unapigania Haki za Wanawake huku ukiwakatia Maji na Umeme

    Hakuna watu wanaoteseka na ukosefu wa maji na umeme kama Wanawake, wao ndio wanaohangaika visimani na ndoo kutwa nzima kutafuta maji kwa sababu wewe unayesimama jukwaani na kusema unawapigania umewakatia maji, sielewi hapa ni haki ipi hiyo ya Mwanamke unayoipigania ? Hivi haya mambo huwa...
  6. Z

    Kwanini kitabu cha Muongozo wa Utoaji Haki za Wanawake kimeandikwa kwa Kiingereza

    Jana Mhe .Rais Samia alizindua Kitabu cha muongozo kwa Majaji na Mahakimu kinachohusu jinsi ya utoaji wa Haki za wanawake na watoto ktk kesi za mirathi ndoa na talaka n.k. Sisi wananchi tunashukuru kwa hatua hiyo lakini tumeshangaa sana kuona kitabu hicho kuandikwa kwa lugha ya kizungu wakati...
  7. C

    Je, haki za wanawake ni pamoja na kuridhishwa kingono?

    Hivi sasa katika nyakati zetu, haki za wanawake zimekuwa zikipigiwa upatu na makundi mbalimbali ya kijamii wakiongozwa na wanawake wasomi. Wote wamekuwa wakipambana na kitu kinachoitwa mfumo dume. Mapambano hayo ya kudai haki, yameleta maumivu kwa watu wengi wakiwemo wanaume, wanawake na...
Back
Top Bottom