kuimarisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Rais Cyril Ramaphosa kuzuru Uganda katika ziara ya kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili

    Rais wa Afrika Kusini anaanza ziara ya siku mbili nchini Uganda leo, miezi baada ya nchi yake kutuma wanajeshi chini ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kupambana na waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wizara ya Mambo ya Nje ya Uganda ilisema kuwa ziara ya...
  2. Mr Chromium

    Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

    Ethiopia inataka kujiunga na EAC? Nini madhara na faida? Je Tanzania na Kenya zitakua bado na sauti ndani ya EAC au ndio mvurugano utaongezeka?
  3. Venus Star

    Muktadha wa jinsi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alivyoweza kuimarisha ustahimilivu katika demokrasia ya Tanzania hadi wakati huu

    Kulingana na hali ya kisiasa na matukio ya awali, Huu ni muktadha wa jinsi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alivyoweza kuimarisha ustahimilivu katika demokrasia ya Tanzania hadi wakati huu. 1. Mwelekeo wa Kusikiliza na Kujenga Ushirikiano • Rais Samia ameonyesha mwelekeo wa kusikiliza...
  4. Tlaatlaah

    Ratiba ya tendo la ndoa kwa wanandoa na wachumba hudhoofisha upendo wa ndani ya ndoa na kuimarisha upendo nje ya ndoa

    Tendo la ndoa baina ya wanandoa na wachumba ni chachu na kiungo kimojawapo muhimu sana cha kuimarisha upendo, uaminifu, furaha na muunganiko wa wanandoa au wachumba. Ni tendo muhimu sana linaloweza kuimarisha na kuchochea zaidi uimara wa ndoa au uchumba likitumiwa vizuri, kwa hiyari, ubunifu...
  5. JanguKamaJangu

    Serikali yaipa NHIF miezi mitatu kuimarisha mfumo wa TEHAMA kuondoa usumbufu wa wagonjwa wa Bima

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, leo Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Geita Mjini, Constantine John Kanyasu (Kwa niaba ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu) aliyeuliza kwa nini NHIF inazuia matibabu ya baadhi ya wagonjwa wenye Bima za Afya wakiwa Hospitali. “Ni kweli...
  6. Suley2019

    Baraza la Mawaziri lapitisha Muswada wa kuimarisha uhuru na uwazi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu

    Baraza la Mawaziri limeidhinisha Muswada wa Marekebisho ya Ukaguzi wa Umma 2023, hatua inayolenga kuimarisha uhuru na uwazi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu. Rais William Ruto alitoa tangazo hili wakati wa hotuba yake katika tukio la Siku ya Kodi ya Mamlaka ya Mapato ya Kenya, akifichua...
  7. kavulata

    Kabla ya Tanzania kufungua mipaka kwa wageni, ni lazima kuimarisha mifumo kwanza

    Nchi zetu za kiafrika ni vigumu watu wake kutembeleana kwa urahisi bila kukutana na vikwazo mipakani/uhamiaji. Hili limetuchelewesha sana kiuchumi. Sababu kubwa ya kuzuia wageni kuja nyumbani kwako ni ushaghalabagala uliyoko nyumbani kwako. Kama nyumbani kwako ni kuchafu sana, hakujapangiliwa...
  8. King Nkondo

    Hongera Waziri Dotto Biteko kwa kuanza kuimarisha upatikanaji wa umeme

    Niende moja Kwa moja kwenye hoja, Kwa siku chache ulizokaa Wizara ya Nishati ndugu Biteko, Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa Geita na Shinyanga hatujakatiwa umeme. Huo ni mwanzo mzuri tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipokutia moyo, endelea kushikilia hapohapo mwamba, hakika mama kafunga goli...
  9. Roving Journalist

    Tanzania na Cuba kuimarisha Misingi ya Kisiasa

    Tanzania na Cuba zimekubaliana kushirikiana na kuimarisha misingi ya kisiasa, ujengaji wa uwezo kwa wanasiasa vijana, sekta za elimu, afya, utalii, biashara na uwekezaji Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.)...
  10. F

    Mfanano wa taarifa za habari za ITV na UTV (Azam). Je, kuna kuvujishiana habari ili kuimarisha Ushindani?

    Ukiondoa TBC, taarifa za habari za saa mbili usiku za ITV na UTV zinafanana karibia kila kitu. Habari zinazotangazwa ni zilezile. Kuna habari sio mbaya kufafanana kama vile habari iliyotoka kwa Rais, Mawaziri nk. Sasa shida ni kufanana hadi habari ndogondogo. Katika zama hizi za upatikanaji...
  11. B

    Rais Mwinyi aipongeza Benki ya CRDB kwa kuimarisha afya nchini

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Ali Mwinyi ameiopongeza Benki ya CRDB kwa juhudi inazozionyesha kuboresha afya nchini na kuzitaka kampuni nyingine binafsi kujitoa ili kuongeza nguvu kwani mahitaji ni makubwa. Rais Mwinyi ametoa pongezi hizo kwenye kilele cha...
  12. Stephano Mgendanyi

    Vijana Fanyeni Michezo Ili Kuimarisha Afya Zenu na Kutimiza Malengo na Ndoto Zenu

    NAIBU WAZIRI CHILO: VIJANA FANYENI MICHEZO ILI KUIMARISHA AFYA ZENU NA KUTIMIZA MALENGO NA NDOTO ZENU Mbunge wa Jimbo la Uzini Muheshmiwa KHAMIS HAMZA CHILO Amewataka Vijana (Wanamichezo) wa Jimbo la Uzini kufanya Michezo kama sehemu ya Kuimarisha Afya zao na Kukuza Vipaji na Kitimiza Ndoto...
  13. D

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika kuimarisha usawa wa kijinsia

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUIMARISHA USAWA WA KIJINSIA Utangulizi Usawa wa kijinsia ni moja ya malengo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii na kuimarisha taifa kwa ujumla. Ili kufanikisha lengo hili, uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu yanayohitajika...
  14. D

    SoC03 Uwajibikaji wa vyombo vya habari katika kuimarisha demokrasia na utawala bora

    UWAJIBIKAJI WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUIMARISHA DEMOKRASIA NA UTAWALA BORA Utangulizi Vyombo vya habari vina jukumu muhimu katika kukuza demokrasia na utawala bora katika jamii. Uwajibikaji wa vyombo vya habari unahusisha jukumu la kutoa taarifa sahihi, kuelimisha umma, na kushughulikia...
  15. D

    SoC03 Uwajibikaji wa Kiongozi: Njia ya kujenga imani na kuimarisha utawala bora

    UWAJIBIKAJI WA KIONGOZI: NJIA YA KUJENGA IMANI NA KUIMARISHA UTAWALA BORA Utangulizi Uwajibikaji wa kiongozi na utawala bora ni mambo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii na kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi. Kiongozi anayejali uwajibikaji na kutenda kwa haki na...
  16. Francis001

    SoC03 Kuimarisha Utawala Bora Tanzania: Kukuza Uchumi na Ajira kwa Vijana

    Utangulizi Tanzania, kama nchi inayoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kufikia Utawala Bora. Hata hivyo, kwa kuzingatia mabadiliko na utekelezaji wa mikakati sahihi, Tanzania inaweza kufungua fursa mpya za maendeleo katika nyanja zote za kiuchumi na kijamii. Makala haya...
  17. M

    SoC03 Kuimarisha Uwajibikaji na Utawala Bora Katika Sekta Yote: Mwongozo wa Hatua za Mabadiliko

    Kichwa Cha Andiko: Utasaidia kuongeza uwajibikaji na kuboresha utawala bora katika sekta yoyote kwa kuzingatia hatua zifuatazo: 1. Kuunda mfumo wa uwajibikaji: Fanya uhakiki wa muundo wako wa uongozi na uwajibikaji. Hakikisha kuwa majukumu na wajibu wa kila mtu wanaeleweka wazi. Weka njia za...
  18. godfray_grace

    SoC03 Kuimarisha Huduma za Usafi

    Utangulizi: Sekta ya huduma za usafi ni muhimu sana katika kukuza afya na ustawi wa jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania, kuna changamoto nyingi linapokuja suala la kupata huduma bora za usafi. Kuna hitaji la kuwa na jukwaa la kisasa na lenye ufanisi ambalo litawawezesha wateja kuwasiliana na...
  19. Mwl.RCT

    SoC03 Mchango wa Taasisi za Dini katika Kuimarisha Utawala Bora: Jinsi ya Kushirikiana na Taasisi za Dini

    MCHANGO WA TAASISI ZA DINI KATIKA KUIMARISHA UTAWALA BORA: JINSI YA KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA DINI Imeandikwa Na: Mwl.RCT UTANGULIZI Je, unajua kuwa taasisi za dini zina mchango mkubwa katika kuimarisha utawala bora nchini Tanzania? Taasisi za dini ni mojawapo ya nguzo muhimu za jamii...
Back
Top Bottom