walevi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Meya: Kwanini umeacha bar ya bambataa iendelee kufanya kazi na iko barabarani inahatarisha usalama wa walevi

    Kuna Bar inaitwa Bambataa iko barabarani kiasi kwamba walevi ndani wakijaa wengine wanasimama barabarani , nimefatilia kwa nini yenyewe haipo katika list ya Bar hatarishi nikaambiwa ni ya Kigogo mmoja ambae hawezi kuguswa na so called Meta wa jiji
  2. Isenye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

    Fresh wakuu? Mficha maradhi kifo humuumbua. Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle lite) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole. Note:majukumu yake kama mwanamke...
  3. Marcy

    JamiiForums Tanzania Kwanini walevi hawang’atwi na mbwa?

    Kuna uhusiano gan kati ya mlevi na mbwa Huwez kuta mlevi anakimbizwa na mbwa badala yake humuona kama mpuuzi fulani kama alikuwa anabweka basi atasitisha Walevi tupeni siri
  4. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Walevi nawaomba hapa leo

    Una jisikiaje ukisha kunywa bia zako au wine au pombe kali kisha uka shushia na mlo kama huu pilipili ikiwa nyingiii
  5. je parle

    JamiiForums Tanzania Mbinu mpya za kuibiwa walevi kupitia wanawake wa mjini

    Walevi wa mwanza kuweni macho acheni kubeba kila mwanamke bar kwa kuwa ana makalio makubwa. Kisa kifupi nlichosimuliwa na kijana tuliekutana mlango wa kutokea lodge mwanza. Nimetoka zangu safari nikapoa lodge ilia asubuhi nifanye mishe zangu hapo mwanza then nigeuke Asubuhi nafunga mlango wa...
  6. kyagata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wife kasema "Ndani kwangu sitaki watu walevi" ina maana gani hii haswa?

    Ccm oyeee!!!!!!! Wakuu, last weekend nilikua na jamaa zangu tukapiga vyupa mpaka mida mibovu. Nikarudi home salama wife akanifungulia mlango fresh me nikaoga then nikachapa mbonji mpaka kesho yake saa 6 mchana hata church sikwenda siku hiyo. Sasa kesho yake nikiwa niko zangu chumbani nakula...
  7. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Leseni kwa walevi

    Habari ! Naomba kuuliza, Hivi ikitokea siku TRA wakawatoza kodi wanywaji wa vileo hapa nchini inaweza kuwa ni wazo zuri, bora na njia nzuri ya kuzuia wimbi kubwa la unywaji wa pombe na vileo kiholela? Kwamba iwe kwa kila mpenda unywaji pombe au kileo sharti awe na Leseni ya yake ya kugida...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Peer Pressure: Uliwezaje kuachana na marafiki waliokuzunguka walevi ama kuishi nao bila kutumia vilevi

    Vilevi nikimaanisha pombe, bangi, sigara, nk Mfano unakuta mpo out, mnapiga story au mpo nyumbani Wao wanakunywa na kuvuta
  9. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Nakwazika mtu kila mkikutana anaomba buku 5 akatoe Lock

    Kuna wale jamaa hela alizotafuta yeye ni zakufanyia maendeleo ila ulizotafuta wewe anachukulia kama ni zakunywea pombe. MNASHINDA MAZINGIRA YENYE FURSA SAWA KWENU, NA AU MDA MWINGINE YEYE MDA WOTE YUPO KIJIWEN ANAPIGA STORY Ila kila mkikutana anakwambia "nipe buku5 nikatoe lock HUWA WANANIPA...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania SIO RASMI: Kati ya vijana wa tano wawili ni walevi chakari, mmoja anakunywa kistaarabu, mmoja ndio ameanza kugusa gusa na mmoja ndio afikirii kabisa.

    Ongezeko la unywaji limekuwa kubwa. Zamani ulikuwa ukikutana nae anayumba bara barani ni mzee mlevi ila siku hizi ni vijana wabichi. Wadada nao wamekuwa walevi kupindukia tena wake za watu wanakunywa kuliko faza haus. Sio kwamba pesa imeongezeka mifukoni vya vijana. Ila ni kwamba vilevi...
  11. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu hii ndo mikoa inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya walevi

    1.Kilimanjaro 2.Mbeya 3.Arusha 4.Njombe 5.Iringa 6.Dar es salaam 7.Mwanza 8.Dodoma 9.Morogoro 10.Mara 11.Songwe 12.Kagera
  12. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Hivi Nini kinapelekea walevi ( wakishalewa ) kulia, hasa zikipigwa nyimbo za gospel

    Nimekutana na scenarios tatu za namna hii kwenye mikoa tofauti. Mara nyingi inatokeo Ile mida mibovu yaani saa7 usiku kuendelea watu washachangamka, nashindwa kuelewa Nini Huwa inapelekea hii hali kutoka Nishashuhudia mkoa Fulani huko Kanda ya ziwa, Dj alipiga nyimbo za gospel bar mzima watu...
  13. PSL god

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiwe na mahusiano ya kudumu(malengo) na mwanamke mlevi (cha pombe) utanishukuru baadae

    Habarini za weeknd wana JF Mimi swali langu ni moja tu kuna uhusiano gani kati ya unywaji pombe na umalaya au uchepukaji wa wanawake walio kwenye mahusiano ? Yaani kama demu wako au mke wako anatumia pombe umeliwa mkuu we jua tu unagongewa vya kutosha wahuni wanamuinamisha vya kutosha niamini...
  14. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Walevi awakosi sababu ya kulewa

    Tuseme ukweli, walevi wana kipaji cha hali ya juu cha ubunifu. Wakati sisi wengine tunahangaika kutafuta sababu za maana za kufanya maamuzi maishani, wao hawana muda wa mawazo magumu—maisha ni mepesi tu: Kila siku ni sababu ya kunywa. Jumamosi? Ni siku ya kupumzika. Jumapili? Yesu alikunywa...
  15. Tundazuri

    JamiiForums Tanzania Nawapenda walevi mafisi yaan walaji vitu vitamu

    Nawasalimu rafiki, nawapenda walevi jaman wanaojua kula vitu vitamu kwa usafi wake. Ni hilo tu, tufanyeni kazi tukutane jioni japo tupige story mbili tatu maeneo ya Shoppers tunywe kahawa nitalipa bill mimi kwa mtu mmoja, ni karibu na maeneo ya Morena wenyeji mtaelewa
  16. Fallback

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Walevi : Pombe mbaya jamaa jana nimetukanwa sana na Mlevi

    Na huu ni ushauri kwa walevi wote wanaoishi Duniani. Walevi naongea na walevi wote dunia nzima wale wastaarabu nawaweka pembe ila walevi ambao sio wastaarabu huu uzi unawahusu, mkishalewa tafadharini sana ndugu zangu walevi nendeni mkalale acheni matusi na kuongea lugha chafu na kumtukana mtu...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno. Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa . Kushindwa...
  18. Dr hyperkid

    JamiiForums Tanzania Unakuta mtu anaeleza changamoto za ndoa yake kwa vitoto vya 2000 counter

    unakuta mtu anaeleza changamoto za ndoa yake kwa vitoto vya 2000 counter,huyo bar med atakusaidia nini zaidi kujizalilisha..wengine wakunywa pombe kali hawajala matokeo yake wanajisaidia haja kubwa mitaani mambo ya hovyo kabisa. kesho tena linaingizana likiwa timamu watu wanalisanifu tuh. huu...
  19. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania National crisis: Vijijini hakuna watu kabisa, wamebaki wazee wachache na vijana walevi wa visungura

    Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life. Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

    Huwa siielewi Tabia za walevi. Yaani ghafla mtu anang'ang'ania kuvua shati... Nini hutokea? Mwingine akilewa ndiyo Sasa ataanza kuimba nyimbo na kucheza Ngoma za kwao. Pombe ndiyo imemkumbusha hizo nyimbo na Ngoma? Kuna tabia za walevi hushangaza Sana.
Back
Top Bottom