uwepo wa mungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Raisi Ruto awafikia wale Msioamini uwepo wa Mungu (Atheists)

    Habari kwenu. Raisi wa Kenya William Ruto amewapa salamu wale wasioamini uwepo wa Mungu kwamba hawana utofauti na Wanyama. Najua hili linawagusa sana hasa wale wanaoishi nga'mbo au ugaibuni kwani wao baada ya kufika huko wengi wao wamempa Mungu Kisogo na ndio maana wengi wao wanishi kwa msongo...
  2. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu

    Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu (atheists) kunahitaji hekima, subira, na hoja zenye mashiko ya kimantiki badala ya kunukuu maandiko pekee. Katika mazingira ya Kiislamu, mjadala huu mara nyingi hujikita kwenye kutumia akili (Aql) na mazingira yanayotuzunguka (Fitra). Hapa kuna...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Sisi ambao tuna amini uwepo wa Mungu Tumewazidi vitu gani ambao hawaamini kabisa uwepo wa Mungu?

    Nadhani jambo la imani ni pana sana wakuu. Enzi za agano la kale kila Taifa lilikuwa na Mungu wao. Tunaona wakanaani walikuwa na mungu baali wengine walikuwa na mungu jua nk Huku Africa nasi tulikuwa na mizimu yetu. Mfano uliohai kabisa huku kwetu kulikuwa na mlima (upo hadi leo) wazee kipindi...
  4. buzitata

    JamiiForums Tanzania Wasioamini uwepo wa Mungu wasibezwe, ila nao wasituone sisi tunaoamini kama tumechanganyikiwa

    Habarini leo narudi tena Kumekuwepo na makundi mawili hapa duniani ambayo kwa sasa ni kama yanavutana hivi, lengo uzi huu sio kubeza watu ila ni kujaribu kuwekana sawa juu ya haya mambo ya muumba Kila mtu au jamii ina tafrsiri yake juu ya neno muumba.. kwakuwa mimi ninaamini juu ya uwepo wa...
  5. let the caged bird sings

    JamiiForums Tanzania Atheist anayeamini uwepo wa Mungu

    Yule Dogo ambaye Baba yake aliwai kuwa Mkuu wa 3 kwenye Taifa la Mcharo aliwai jisahau kuwa huwa anajitambulisha kama Atheist, akajikuta kaandika kitu kama hiki. Baada kuwa confronted na Umma wa JF, kumtuliza ilikuwa ni kipengere
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kumbe🤔 majibu kwa wanaopinga uwepo wa Mungu HAYA hapa

    https://youtu.be/pIDKfPpNJaI?si=rQ3POL_GJhuNKr3c
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati sitaki kuamini uwepo wa Mungu lakini maswali haya yananichanganya sana

    Kuna wakati nataka kuamini Mungu hayupo lakini kuna maswali ambayo najiulizaga mpaka leo sijawahi kupata majibu yake 1 Sayansi inasema ulimwengu ulianza (Big Bang) Kabla ya hapo hakukuwa na dunia, jua wala muda kama tunavyoujua. Swali ni hili kama ulimwengu ulianza, nani au nini kilianzisha...
  8. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Huu ni mjadala maalumu kuhusu uwepo wa Mungu na kutokuwepo kwake kwa ushahidi wa vitabu vitakatifu, history na science

    Ingawa wanasayansi wengi hawajawahi kusema wazi kuwa hakuna Mungu, tafiti na maelezo ya sayansi yanapokuja na majibu yanayotofautiana na maandiko ya dini, mara nyingi huleta tafsiri inayofanana na dhana ya kutokuwepo kwa Mungu au angalau kutohitajika kwa Mungu katika kueleza asili ya ulimwengu...
  9. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Naanza kupata wasiwasi na uwepo wa Mungu

    Mbona kama TAJIRI anaonekana ana nguvu na anaabudiwa kama Mungu? Mbona watumishi wa Mungu wanamuogopa Tajiri kuliko Mungu?? KAMA KWELI MUNGU UPO TAJIRI ASIMALIZE MIEZI 7 Kama Mungu yupo kweli Mbona anaacha TAJIRI anaabudiwa na kuombwa kama Mungu? Kwasasa TAJIRI ana nguvu kuliko Mungu huyu...
  10. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Wasioamini uwepo wa Mungu watazidi kuongezeka

    Au inatakiwa watu wateseke kiasi gani ndio Mungu aje kuwasaidia??
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazofanya nisiamini uwepo wa Mungu ni hizi

    1. Mungu anapenda kusifiwa kama Mhaya. 2. Mungu hana huruma (hukumu kwa wasiokuwa na hatia, vita sehemu nyingi za dunia, watu kufa kwa njaa na umaskini). Kuna sababu nyingi ila leo tuishie hapo.
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao hamuamini katika uwepo wa Mungu au miujiza, hii nini kwa kweli

    Haya mataifa yote yenye rangi ya kijani ni ya kiislamu, wote wana chuki dhidi ya Wayahudi, ambayo ilianza tangu enzi za Mohammad ambaye aliwahi kusababisha mauaji kwa Wayahudi na hata kuuza watoto wao utumwani. Na hata ukisoma maandiko yao kwenye "sahih muslim 2921" waislamu wameamrishwa...
  13. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hili tukio nikilikumbuka kwa mbali naanza kuamini uwepo wa Mungu

    Asalamaleku jukwaa! Kwa kile nilichokiona labda kweli Kuna Mungu maana fikra zilinijaa kichwani pasina jibu sahihi. Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa maeneo fulani natembea tembea maeneo ya mto weruweru, kama mnavyojua kule Kuna fresh water yanayotoka katika kilele cha mlima kilimanjaro na watu...
  14. Setfree

    JamiiForums Tanzania Atheists, leo mtajua hamjui. Jibuni haya maswali—mkishindwa, msilete tena hapa nyuzi za kuhoji uwepo wa Mungu

    You atheists claim there is no God, that the universe is a product of chance, and that morality and purpose need no Creator. You trust science and reason—but have you truly tested your beliefs? Let’s put it to the test—answer these 25 questions. If your atheism is as solid as you claim, these...
  15. Now and then

    JamiiForums Tanzania Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli

    Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli. Maana watu walilalamika juu ya utawala mbovu Ila baadae Mungu aliamua kujibu Ahsante Mungu
  16. aise

    JamiiForums Tanzania Mtazamo walionao watu wa Dini juu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu

    Kuna mtazamo potofu wanao watu wa dini, wanaamini mtu ambaye haamini uwepo wa Mungu basi ni mtenda maovu, hana maadili n.k Mtazamo huu ni potofu. Maadili ya mtu hayaamuliwi na imani yake ya kidini, bali misingi yake ya utu, malezi na jamii inayomzunguka. Kuna sehemu tulikuwa tunafanya kazi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hapa ndio ninapokuwa na walakini na uwepo wa Mungu

    Habari za siku ya leo WanaJamiiForums? Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa. Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa, Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu. Sio...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Mungu yupo, basi hana nguvu

    Habari zenu Wanajamiiforums. Kwa mda niliotumia kumuomba Mungu na kutokupata majibu yoyote, nahitimisha kuwa nguvu za Mungu si nyingi kama tulivyoaminishwa. Aisee nataka kuamia Mizimuni, Anayejua namna ya kutambikia Mizimu anielekeze, Mungu aliyeletwa na meli kwenye maisha yangu amefeli (Hana...
  19. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha mtoto mdogo kuukataa uwepo wa mungu ni dalili kuwa critical thinker

    Ewe mzazi ukiona mtoto wako mdogo anapinga uwepo wa mungu usimshangae au kumwadhibu kwa sababu hiyo ni dalili kuwa mtoto wako anajaji Kila kitu anachoambiwa na mtu mwingine hata kama anamuheshimu kwa mfano mzazi. Kwenye utamadauni wa kiafrika mtoto hatakiwi kipinga mawazo ya mtu mzima au mtu...
  20. kevoomarcus

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaoamini uwepo wa Mungu

    Kwanini mnaomba maisha marefu hapa duniani wakati kuna maisha mazuri mbinguni kwa baba? Kwanini kifo kinaogopwa wakati ni njia ya kwenda kwa baba kula raha, kufurahia maisha mazuri yasiyo na dhiki?
Back
Top Bottom