Trump atoa biblia yake.Ina bendera na katiba ya US pamoja na mwimbaji ampendae

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,172
10,899
Huku uchaguzi wa Marekani ukikaribia na Donald Trump akikabiliwa na matatizo mengi kisiasa pamoja na ukata wa kifedha,ameona achapishe biblia yake ya kizalendo ambayo juu imepambwa na bendera ya Marekani na kuandikwa Mungu ibariki Marekani.

Ndani ya biblia hiyo Trump ameweka mistari ya katiba ya nchi yake yenye kuhimiza uzalendo.

Trump yayari ameanza kuiuza biblia hiyo kwa thamani ya dola za kimarekani 59.9

Pamoja vitu vipya hivyo vilivyoongezwa kama biblia zilizopita.Trump vile vile ameongeza na mistari ya nyimbo za mwanamuziki ampendae, Lee Greenwood ambaye ndiye aliyeimba Mungua ibariki Marekani.

The Christian reaction to Trump’s Bible endorsement goes deeper than you think

Trump Bible.jpg
 
Uzuri wakristo hawanaga mihemuko na hakuna atayeandamana au kufanya fujo. Zaidi watazidisha maombi ili kama amepotoka arudi kwenye wokovu
 
Huku uchaguzi wa Marekani ukikaribia na Donald Trump akikabiliwa na matatizo mengi kisiasa pamoja na ukata wa kifedha,ameona achapishe biblia yake ya kizalendo ambayo juu imepambwa na bendera ya Marekani na kuandikwa Mungu ibariki Marekani.
Ndani ya biblia hiyo Trump ameweka mistari ya katiba ya nchi yake yenye kuhimiza uzalendo.
Trump yayari ameanza kuiuza biblia hiyo kwa thamani ya dola za kimarekani 59.9
Pamoja vitu vipya hivyo vilivyoongezwa kama biblia zilizopita.Trump vile vile ameongeza na mistari ya nyimbo za mwanamuziki ampendae, Lee Greenwood ambaye ndiye aliyeimba Mungua ibariki Marekani.

The Christian reaction to Trump’s Bible endorsement goes deeper than you think

Ukiristo ukoje? kitabu chao kinachoingizwa nyimbo na mistari mipya ya kuongezewa na katiba ya nchi hii inamaanisha nini kwa wakiristo wenye kitabu chao
 
Hakuna mwenye uwezo wa kuharibu neno la Mungu,wengi wamekuja na kufanya waliyofanya lakini neno la Mungu halijaharibiwa.
Neno halipo tena.Hata Trump keshatia yake juu ya yale yaliyoongezwa kabla.
Kuna biblia za mayahudi pia ambazo zimeongezwa mistari ya ushoga
 
Yeye ahangaike na yake cha muhimu wakristo tuna biblia ya neno la Mungu linaloeleweka....hicho cha Trump ni kitabu tu kama vitabu vingine vya chinua achebe
Nazungumzia biblia yenu ya neno la Mungu linaloeleweka Trump ametangaza kuweka mistari mipya na nyimbo, mbona Wakiristo hamuna hisia yoyote
 
Trump amendika kitabu chake, haimaanishi watu wataacha biblia wafuate kitabu cha trump....hatuna maamuzi ya mihemko neno la Mungu linajulikana tayekengeuka na aende ila neno la Mungu halisi la kwenye biblia litaendelea kuhubiriwa. Kitabu cha Trump hakina tofauti na hadithi za Edwin Semzaba
 
Lakini mbona kitabu chenu kinachezewa namna hiyo, hatuoni umoja wa Wakiristo wakimpinga na kumlaani Trump kuchezea neno la Mungu biblia? tena yanafanyika hayo US ambako ni kitovu cha Ukiristo na icho kitabu kinauzwa $56.9, Kulikoni Wakiristo?
 
Nimelia sana....
 
Hiyo ndiyo tofauti yetu sisi wakristo na nyie.. adui yetu mkumbwa tunapambana naye kiroho wala sio kimwili.. tutamuombea arudi katika mstari.. wakati mwingine inaweza ikawa ni propaganda kutumia neno Bible kueneza chuki wa kundi fulani Hii haitabadilisha kweli iliyokatika biblia walikuwepo wakina Voltaire waliochoma biblia lakini sasa hawapo .. sisi hatuwezi mhukumu atakayemhukumu ni Mungu tu
 
Lete mstari japo mmoja basi neno lenu la Mungu likichezewa mnatakiwa mupambane kiroho na sio kimwili
 
Back
Top Bottom