Kulingana na ufaulu wa kidato cha sita kuendelea kupanda na kuwa juu kadri miaka inavyozidi.Ni muda muafaka sasa mamlaka husika zikafanya jitihada za kimakusudi kutanua wigo wa masomo ya kozi za afya nchini.
Katika nchi ya Tanzania bado wahitimu wengi wa kidato cha sita tahasusi ya PCB...
Habari humu ndani!
Mimi ni mwanamke miaka 29, elimu yangu form four. Natokea dar es salaam(goba).Nilikuwa na uhitaji wa kazi hasa shuleni ninauzoefu nayo,hasa kulea watoto na usafi.Kama kuna mtu ana connection pleas naomba anisaidie.
Wakuu, nimefanikiwa kutembea baadhi ya mikoa vijijini kama Dodoma, Kagera, Kigoma, na Mara.
Hali ya watanzania wenzetu vijijini hairidhishi, nawaza hata tungeanzisha visanduku vya misaada ya nguo ambazo hatuna matumizi nazo ili ziwasaidie wengine huko.
Najua wengi tuna nguo ambazo zipo tuu...
Hello Family JF Family members! It's been a while, kwa wale wanaonifahamu humu nimekuwa member toka 2023 nadhani, kipindi bado najitafuta mimi ni nani na hadi leo hii nipo katika hatua nzuri namshukuru Mungu.
Kwa sasa kulingana na maisha niliyoamua kuishi natambulika sana kama Videographer...
Mashirika hasa ya dini kama KKKT na RC pamoja na wawekezaji binafsi watusikie Wazazi wa Dodoma.
Dodoma kuna uhitaji mkubwa sana wa Shule bora za Sekondari za kutwa, kwa sababu Mwakani 2027 Watoto watamaliza shule ya msingi wakiwa wadogo wengi katika wastani wa miaka 10 mpaka 11.
Hivyo, wazazi...
Anonymous (e1e0)
Thread
dodoma
mashirika
mkubwa
shule
taasisi
uhitajiuhitaji mkubwa
Aprili 2, 2026 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema nyumba zinazojengwa kwaajili ya watu wenye uhitaji zinajengwa kulingana na mahitaji ya familia husika.
Dkt. Tulia ameyasema hayo...
Wakuu, natumai mko vyema, na kama kuna mwenye madhila Mwenyezi Mungu ampe faraja.
To make a long story short, nilikua niko mkoa X for the long good six years nikiwa nimeajiriwa kwenye miradi lakini nikiwa nafanya ujasiriamali wa ufugaji (Tanga Region). Kufuga, kutotolesha, kuuza mayai, kuuza...
Karibu Leo, Linda na kuza biashara yako nasi.⚖️
Huduma zetu ⚖️
1. Ushauri WA kodi
✓ Kufanya makadirio ya 2026 ( January -March)
✓kutuma return za PAYE, SDL, VAT na WHT ( January - December)
✓ Ukaguzi WA kodi
✓ kufanya mapingamizi ya KODI
✓ kusajili VAT
2. Huduma nyinginezo
✓ leseni za biashara...
Merry Xmas !
Kuna mdada anaomba kama Kuna mtu mwenye uhitaji wa mdada wa kazi ajitokeze
Ana miaka 25
Anajua kupika
Anajua kufua
Anaweza kupanga nyumba vizuri
Kazi ya duka anaweza pia.....
Mshahara mtaelewana kulingana na kazi za nyumbani au duka
Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote.
Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ?
Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
ipi
katika
kitaifa
kuchochea
kuhusu
kutekeleza miradi
maendeleo
mchango
mgawanyo
mikoa
mikoani
miradi
miradi ya serikali
mtazamo
namna
serikali
tathmini
uhitaji
usawa
wake
yako
Habari ndugu zangu kwa mtu mwenye sehemu nzuri yenye mzunguko wa watu dar es salaam aniunganishe nataka nifungue juice point. Mjasiliamali mwenzenu nimejipigapiga nimekusanya ka'mtaji sasa najaribu kupangilia niweze kifanikiwa kuanza kwa hiki kidogo nilicho nacho kwa sasa.
NINA SHIDA NA;
1...
Tumsifu Yesu Kristo ndugu zangu.
Ndugu zangu mimi ni mwanaume, miaka 40 natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mume ili kuishi maisha ya kumpendeza Mungu kwa kufunga ndoa na kujenga familia bora pamoja.
Elimu yangu ni ya Chuo, nina kibarua cha kunipatia kipato cha kuendesha familia vizuri...
Hbr wanajamvi nahitaji Nyumba ya kisasa ambayo sio complete finished
SIFA KUU
Offered 10 to 17M
Kuanzia kibaha maili moja (NIDA) HADI MLANDAZ STENDI KUU
LEss to km 4.5 from morogoro road
RUM3 (MASTER RUM NA P.TOILET)
IWE NA DESIGN YA KISASA
AT LEAST IWE IMEPAULIWA LAKIN SI BAUTI NYEUPE...
Pale unapokua na uhitaji wa kitu, au huduma Fulani we ndo Fulsa kwa Wengine.
Ktk Maisha mambo ni mawili tu.
Jambo Lenye kutoa pesa mfukoni mwako, na jambo Lenye kuingiza pesa ktk mfumo wako.
Leo J2 Kumbuka wewe ni Fursa kwa Wengine.
Habarini?
Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kufuatilia mpambano baina ya Iran na Israel ambapo tunayo mengi ya kujifunza kutokana na teknolojia za hali ya juu zinazotumika na nchi zote mbili katika mzozo huo.
Ni leo ikiwa siku ya tatu tangu bajeti ya serikali ya mwaka...
Habari
Nimeandaa Uzi huu katika jukwaa hili Kwa lengo kuu Moja kutoa msaada na huduma Kwa wale wote ambayo watakuwa wanahitaji kuagiza magari nje ya nchi
Mosi watapewa ushauribwa kitaalamu na kuweza kuchukua uamuzi WA busara lkn pia watapewa Elimu ya Kodi ili kujua kipi wafanye kabla ya...
Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano: 0719789087
Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40.
Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana.
Mawasiliano: 0719789087
Mimi sio Mkristu ila najua kwamba His Excellence King David, the King of the United Kingdoms of Israel and Judah aliposema " Bwana ndie mchungaji wangu, sintopungukiwa na kitu" ( The Lord is my shepherd I shall never want a thing),alikuwa anazungumzia hiki ninacho kiandika hapa.
" Kuonyedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.