Habari za wakati huu mabibi na mabwana, waungwana wote kwa ujumla, wale tulio kwenye mfungo, hongereni kwa hilo na natanguliza kheri na salamu za sikukuu ya Idi.
Itakumbukwa kuwa Jumanne ya...
Habari wana JF,
Kama tulivyoahidi tarehe 19/11/2012 katika Jukwaa la Siasa (katika thread hii), leo tumemkaribisha Mhe. Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia CHADEMA, Zitto Zuberi Kabwe kama mgeni...
Sehemu ya I
Bandiko Duru: Hatima ya Muungano na dalili za kuvunjika mapema tulisema bila kura ya maoni na Katiba ,tuna ahirisha tatizo la Muungano kwa muda.
Kuna 'utatu' wa ''Katiba, Muungano...
HISIA ZAJITOKEZA, UTAIFA WATAWALA ''WATANGANYIKA WAKITOA YA MOYONI HAPAKALIKI' WAZANZIBAR WATAWANYIKA, HAWANA KAULI, SASA NGUMI MKONONI
SEHEMU YA I
Ndugu wanaduru Bunge la katiba la CCM au...
Ni Mungu
Zaburi 76:12
Yeye huzikata roho za wakuu;
Na kuwatisha wafalme wa dunia.
Mungu humtumia mtu yeyote amtakaye Kufanya jambo lake, Hata Farao wa Misri alitumikia shauri la Mungu pia kwa...
SHERIA YA LESENI MIAKA 45
Kauli ya waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Mh Isack Kamwelwe kuhusu umri wa madereva kuendesha malori na vyombo vya abiria imepamba habari za wiki hii
Ni...
Pengine ukitoa Biblia na Quran, hakuna kitabu kingine kilichokuwa na impact kubwa katika maisha ya watu kama The communist manifesto. Miaka ya katikati ya 1800 wakomunisti ndiyo walikuwa magaidi...
MGOGORO WA NCCR
CHADEMA WACHUKUE TAHADHARI
Mgogoro wa CUF ulianza kwa mwenyekiti aliyejiuzulu kutaka kurudi katika kiti chake
Tukio halikuwa la kawaida katika siasa za Tanzania lakini limetokea...
Habarini.
Habari za nchi kukimbilia matumizi ya dhahabu zimekuwa nyingi sana siku za karibuni. Ghana baada ya kuzidiwa na madeni na kuishiwa akiba ya fedha za kigeni, imeamua kutumia dhahabu...
COVID-19 is historical in Tanzania: Why don't USA, UK, EU and others copy from TZ how to fight against Coronavirus?
Basically the title: Here in Tanzania, COVID-19 is spoken about by using...
US President in 2021
False Fraud Allegations
True Fraud Allegations
Remarks
President Biden
Jamii itawaona chama cha Republican na Rais Trump ni ving'ang'anizi...
Wanabodi,
Kitendo cha Kamati Kuu ya Chadema kuwavua uanachama madiwani wake wa Arusha, is "A Big Mistake"!, and there is a price to pay, so Chadema must pay very dearly and the price which is...
Kwa akili zetu tunatengeneza baadae ya taifa hili, ili ndio jambo la msingi tunalopaswa kulitambua, Baadae ya taifa hili itategemea mwelekeo wa fikra zetu. kila wakati lazima tutambue tutavuna...
PROCEEDINGS OF THE INTERNATIONAL CONFERENCE ON
8-9 August 2002
Peace, Unity and People – Centred Development
The Legacy of Mwalimu Julius K Nyerere
OFFICIAL CLOSING ADDRESS
By
Ambassador...
Kesi ya ugaidi ya Mwenyekiti wa Chadema Mbowe na Wenzake imeondolewa mahakamani
Si sahihi kusema kesi imekwisha, Mahakama inaonyesha 'kuna kesi ya kujibu''
Si sahihi kusema kesi imekwisha...
Katika aliyofanya Rais SSH tangu achukue madaraka ni 'kuacha watu waonge' .
Rais alisema watu wakiongea viongozi wanaelewa nini kinaongelewa.
Katika kufungua uhuru wa maoni/habari uliofinyangwa...
Hatimaye Spika aliyeongoza kwa 'mkono wa chuma'' anguko lake limetimia. Mh. anaondoka akiacha historia ya Spika wa kwanza kujiuzulu tangu uhai wa Taifa hili
Spika asingeweza kutekeleza majukumu...
Ni wazi kuwa ziara za Rais kwenye nchi jirani au kokote kule ni kuboresha mahusiano kati ya nchi hizo na Tanzania ili watanzania tufaidike. Sasa ili wananchi wafaidike wanatakiwa kwenda huko...
Nini Maana ya Utawala Bora?
Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi kijamii au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi kwenye ngazi zote. Utawala bora ni matumizi ya mamlaka...
Takribani siku kadhaa mitandao ya jamii imegubikwa na hoja ya utata wa akiba ya Taifa (6,253B)
Hoja kubwa si kiasi si thamani ya kiasi bali neno Bilioni katika dollar ya kimarekani badala ya...
Kwanini tunataka kuiondosha CCM ? Hili ni swali ambalo napenda kujiuliza na pengine wananchi Wengine makini wangependa kueleweshwa hadi kuelewa pasipo kuweka propaganda zisizo na maana, Ili...