Hii nimeikuta huko kwenye majukwaa menginem imezoeleka hapa Tanzania kuyaita mabasi luxury endapo yakiwa na:
Vimulimuli kwenye roof
Taa za mapambo nje na ndani
Muziki mkubwa
Carpet
Rangi nyingi
Wheel caps
Dereva na wahudumu wamevaa tai
GARI KUWA NA CHOO PEKEE SIO KIGEZO CHA GARI HILO KUWA...
Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi.
Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona.
Millennials wengi wakaingia kwenye...
Katika jamii za wamatumbi tuishiyo, kuna hii dhana kuwa mtu akiwa mdogo kiumri basi hata executive function yake na akili zake haiwezi kufanya makubwa.
Ila hii ni dhana mbaya sana, ambayo wamatumbi wengi wamekuwa nayo, hasa makazini. Ukienda kufanya kazi na ukawa mtu wa kutoa output ya kazi...
Yaani mwanamke mweupe akisifiwa tu yy mzuri.unaweza mla hata bure.
Ni tofauti sana na wanawake weusi.
Mara nyingi huchukuliwa kama sio warembo.
Na hasa hawa wadada wa KIRANGI ,ndo wanagawa sana kama njugu.
Yuko radhi kumtumuku mume.wa ndugu yake papa.
Eee..niongeze sauti au nipunguze...
Wadau, nimeona maoni ya wadau mbalimbali kuhusu kile kinachoitwa Maridhiano, wengine wakipinga, wengine wakiyaunga mkono na kila kundi likitoa sababu zake. Nimeona CHADEMA wametoa Masharti ya awali (pre conditions) kama 3 za Maridhiano
1. Mwenyekiti Lissu Aachiwe huru pamoja na wafungwa wote...
Kuna tetezi zimegaa mitaani kuwa serikali ya CCM inataka kuanza kufanya figisu.
Figisu zenyewe ni kutaka kuifuatlia michango ya Cdm ambayo mpaka sasa imefikia Tsh 90 mil+
Wanataka kuleta zengwe kuwa michango hiyo ni fedha haramu na kuna utakatishaji fedha ambao utatumika kufanya uharamia.
Tuwe wakweli kabisa Je Mzazi wako kama akipimwa na Samia Suluhu Hassan kwa mizania
1. Uzalendo
2. Elimu hata kama si degree
3. Maamuzi yenye busara kutoumiza watu
4. Uelewa wa Mambo ya Jamii
Je mzazi wako anaweza shindwa iongoza Tanzania kama Rais?
Maana zamNi cheo cha Urais was a...
Kwanza nikiri huyu dada ni chuma haswa yani ni mzuri mpaka mzuri tena
Ana rangi ya chocolate, macho mazuri na shape pia mashaallah anayo.
Ana biashara yake ya kusimamisha maziwa na yeye mwenyewe ndiye anayefanya kama sampuli kuvutia wateja ila sasa kukaa kifua wazi kabisa bila chochote...
Unaweza kumfundisha mtoto wako kutafuta na kutumia pesa kwa kuanza kumjengea tabia ya kuweka akiba, kuelewa thamani ya kazi kupitia shughuli ndogo za nyumbani, na kumshirikisha katika maamuzi ya kifamilia ili kueleza tofauti kati ya matakwa na mahitaji ya msingi
Kujenga akili ya kifedha...
Bei haionyeshi ubora tena, feki na original vinauzwa sawa sokoni
Zamani ilikuwa rahisi kutambua biashara ya bidhaa feki. Wafanyabiashara walikuwa wanauza vitu hivyo kwa bei ya chini kabisa, na mnunuzi alikuwa anajua kabisa kwamba anachonunua si original. Ilikuwa kama makubaliano ya kimya kimya...
Mimi ni kijana ninayeomba ajira zilitolewa TAKUKURU lakini kuna sharti la Cheti cha Darasa la Saba, ukweli mtupu kuwa tuliohitimu Mwaka 2015 Darasa la Saba hatukupata vyeti hadi sasa havipo.
Hii inatia ugumu kupata nafasi kwa kigezo hiki kwani miaka mingine wana vyeti, hii itatukosesha nafasi...
Anonymous (c258)
Thread
ajira
cheti
darasa
darasa la 7
kigezo
takukuru
vizuri
Kwa miaka ya karibuni, mjadala kuhusu hatma ya jamii ya Wamaasai ndani ya Ngorongoro Conservation Area umeendelea kuchukua sura mpya. Kauli ya Samia Suluhu Hassan kwamba Ngorongoro ni moja ya maeneo machache sana duniani yaliyo ya kipekee ndani ya UNESCO World Heritage Sites imezua mjadala...
Ni Watanzania wengi ambao bado tuna michango yetu katika Mfuko wa PPF kabla ya kuunganishwa katika mfuko mmojs ns mifuko mingine kadhaa kuwa PSSSF, licha ya kwamba tumechangia pia NSSF.
Sasa endapo, umekosa Ajira na kupata malipo ya 33.3% ya mshahara wako wa Mwisho wa Six month (Lump sum) na...
Huyu jamaa hana tofauti na akina mwijaku na wengine.
Wana JF huyu jamaa amepandikizwa na kulipwa ili kumsifia Samia huku JF
Tukae nae mbali hana uzalendo na taifa hili ni mnafki
Yes , lazima ukubali kuliwa ubongo. Ukiwa na Ubongo huwezi kupata vyeo au nafasi flani flani. Lazima kwanza uliwe Ubongo. Msikilizwe Msigwa msikilize PM utagundua bongos zao zimeliwa
Habari wakuu nimekuja kwenu kuomba uelewa nimeajiriwa na diploma lakn nina cheti changu cha degree bado sijakichukua chuoni naomba kujua je itachukua muda gan kazini hadi niweze kukitumia cheti cha degree na kisheria ya utumishi pia inasemaje ni kosa au,
Kwa anaejua naomba maelezo niweze...
Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika
Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani
Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.