Salaam, shalom!!
Kwa kuanza, naomba kudeclare, Rabbon ni mwalimu wa neno la Mungu katika ngazi ya watoto.
JAMII ya kitanzania, inatahamaki kushuhudia mmomonyoko mkubwa wa Maadili na wanaolaumiwa ni wazazi.
Nichukue fursa hii kuwakumbusha JAMII kuwa, watoto wetu, wanakaa mashuleni masaa mengi Kwa wiki kuliko masaa wanayokaa nyumbani au katika nyumba za Ibada.
Sikuhizi Hadi unakuta mtoto wa miaka mitatu anapelekwa shule Ili mzazi apate time ya kwenda kazini.
Kwa kuwa familia nyingi hata kupata muda wa kusali Kwa pamoja na kusoma neno la Mungu kama familia Kila usiku kabla ya kulala imekuwa mtihani,
BIBLIA ikifundishwa mashuleni katika level zote hata mara Moja Kwa wiki, tutapata wasaa kurudisha Maadili katika JAMII zetu.
Rabbon nilipokuwa sekondari, palikuwa na somo linaitwa Divinity, nilitokea kupenda sana kusoma BIBLIA Ili nifaulu somo ninalolipenda Divinity. Muda mwingi nilitumia kusoma na kutafakari Neno la Mungu, jambo hili lilinipa upenyo ufuatao, sikuwahi kupata muda wa kusoma masomo mengine muda wa ziada zaidi ya kumsikiliza mwalimu akifundisha darasani, lakini Cha kushangaza, nilifaulu na kuwa the best katika darasani Zima tangu kidato Cha tatu Hadi namaliza.
Kuruhusu divinity ifundishwe mashuleni Si kuchanganya dini na Elimu, Bali kufanya hivyo, ni kumkaribisha Mungu asimamie ELIMU na Maadili ya JAMII yetu Kwa Urahisi zaidi maana shuleni ndipo mtoto anakokaa zaidi kuliko nyumbani maisha yote ya shule.
USHAURI: DIVINITY Irudishe katika mitaala na liwe somo lenye kuhesabiwa katika ufaulu kama zamani na kufundishwa Kwa bidii mashuleni.
NB: Sijaongelea vitabu vingine vya dini Sababu havinihusu,tuvumiliane.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni.🙏