msanii

1. Mbunifu, mtu anayejishughulisha na kazi za sanaa kama vile kuchora, kuchonga, kuimba.

2. Mtu muongo au mjanja mjanja, asiye mwaminifu.
  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Mochwari tu ndizo zinafanya kazi - Msanii DJ Shitti Aikosoa Serikali na SHA kwenye mazishi ya Babake

    Mchekeshaji na Muigizaji DJ Shiti amezua mjadala kuhusu mfumo wa afya nchini baada ya kutumia hotuba yake katika mazishi ya babake, Richard Ndege, kuikosoa Serikali kuhusu utekelezaji wa Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) na changamoto zinazowakabili wagonjwa katika Hospitali za Umma. DJ Shiti...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa "nipo tayari" tangazo la voda umeimbwa na Msanii/Wasanii gani?

    Wimbo ananivutia kusikiliza, natamani kujua umeandikwa na kuimbwa na Msanii/Wasanii gani?. Anayejua anijuishe tafadhali.
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eric Omondi: Msanii lazima asimame na Wananchi ni kioo cha jamii, Si busara Msanii kuongea kwa niaba ya Serikali

    Akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa na Citizen TV Kenya, Septemba 30, 2026, Mchekeshaji maarufu kutoka Kenya, Erick Omondi, amesema Msanii au Influencer lazima asimame na wananchi kwani ni kioo cha jamii. Eric Omondi ameeleza kuwa viongozi wa kisiasa huja na kuondoka, lakini wasanii...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kuna msanii anachukuliwa poa Tanzania kama Micky Singer?

    Kuna huyu msanii anaitwa Micky Singer Ana nyimbo kali sana. Kuna Wanijue Naroga Mama Wee Nobody Na nyinginezo nyingi
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwa Pesa gani Msanii Kumiliki G63 AMG? Wacha wakae nayo tu!

    Ushuru tu Mil 400+ na Bado ulifanyie customization liwe unique, plus CIF. Kwa muziki gani? Tupogo? Note: Picha ni za Mfano tu.
  6. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania OKTOBA 1, SAA SITA USIKU

    Nitatambulisha msanii wangu mpya, jina lake, sura yake, jina la record label. NITATOA TAREHE PIA YA KUACHIA KAZI YANGU YA KWANZA HIT SONG, DUNIA ITASIMAMA NA MVUA ISIYO NA MADHARA ITANYESHA KWA UWEZO WA MUNGU KUASHIRIA BARAKA TELEEEE. Pia tafanya press conference humu jamii forum kwani ni...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Video: Msanii Mkubwa Wa Marekani Na Dunia Rick Ross Ampongeza Rais Samia Kwa Kuiweka Tanzania Katika Ramani ya Dunia. Kutua Nchini Muda wowote

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni chaguo la Mungu, Ni Mbarikiwa, ni Mkono Wa Mungu Ndani ya Taifa Letu , Ni nuru na Mwanga Wa Taifa letu ,Ni Mtu na Nabii aliyepewa kibali na Mungu . Usishindane na Aliye inuliwa na kupewa kibali na Mungu . Usipigane na Aliye pewa Mamlaka na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwanadada Lisa ambaye alikuwa mke wa ndoa wa Msanii Mabeste ameachwa na mpenzi wake ambaye alikuwa rafiki wa Mabeste

    Mwanadada Lisa ambaye alikuwa mke wa ndoa Takatifu na Msanii Mabeste hatimaye ameachwa na mpenzi wake ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa mumewe wa zamani Mabeste na mwanaume huyo kuoa mwanamke mwengine baada ya kudumu na Lisa kwa muda mrefu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya; msanii aliyechagua kupigana vita vigumu kwa njia ya wazi

    Kwa wale wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii wanafahamu namna Dudu Baya alivyoamua kupambana na ushoga na tabia za kishoga hadharani Wapo wanaosema kwamba huenda ni namna alivyochagua kuendelea kujadiliwa kwenye media (ku trend) kwasababu uhai wa msanii hutegemea pia kusemwa semwa Hata hivyo...
  10. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza ni msanii gani anaweza kufanya hili

    Katika nchi iliyojawa na kukosa haki nani anayeweza kwenda jukwaani na kusema free Tanzania 🇹🇿 Nani anayeweza kupaza sauti free Lissu, free nchimbi, free pole pole? Sio kwamba hawapo ila wote ni machawa, wote wako insecure kukosa ugali wao, kutekwa, kuwa wamfano. It's not that hatuko free...
  11. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna msanii mwenye vocals kumzidi Mariah Carey?

    Kwa wale wapenzi wa muziki mzuri, Nafikiri mnamjua Mariah Carey Ni moja kati ya wasanii, hatari sana asiye imbwa ila ana vocals ambazo Sidhani kama kuna msanii anayeweza kumpiku, kwa hii generation She's a topnotch singer, Ni moja kati ya artists nilioanza kuwazingatia hivi karibuni.. Ila...
  12. bless on

    JamiiForums Tanzania Sauti ya MJ: Kwanini hakuna msanii atakayekuja kumpita kwa uimbaji

    Watu wengi wanamkumbuka Michael Jackson kwa ajili ya kucheza (Moonwalk), lakini sauti yake ndiyo iliyokuwa silaha ya hatari zaidi iliyoteka dunia: Sauti Bila Auto-Tune: MJ alikuwa na uwezo wa ajabu wa sauti (4-octave vocal range). Alitoka kwenye sauti ya chini ya upole mno hadi kwenye kelele za...
  13. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania MSANII G SOLO - MUDA WA VITENDO

    🔥 JE, HIP HOP YA ZAMANI ILIKUWA SAUTI YA JAMII? Kuna kipindi Hip Hop haikuwa burudani pekee, bali ilikuwa pia kioo cha jamii. Wasanii walitumia kalamu zao kuzungumzia maisha ya wananchi, siasa, uchumi, rushwa, elimu, ajira na changamoto mbalimbali zilizokuwa zikiikabili Tanzania. Leo...
  14. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania Full interview na msanii bab lee mzee wa kizizi

    Ukwaju wa kitambo hapa 0767 542 202 Akiwa na msanii bab lee full story fuatilia interview hii
  15. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania Ukwaju wa kitambo na msanii dollo full interview

    Full interview na msanii dolo kutoka tmk & wachuja nafaka
  16. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa msanii Maua Sama wazua gumzo, mimba iheshimiwe, Wema ana mwili mzuri hata akunenepa uso

    Ukimuona Maua Sama sasa hivi huwezi hata kuaminisha yani kabadilika sura ilivo Pana ukikutana nae njiani unampita asee. Maua na Zuchu hatari SANA, wamenenepa sana, kwenye ujauzito ilihali Wema yeye alikua kawaida tu, hizi picha ni kabla na baada ya ujauzito.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu ambazo hupelekea wakati mwingine umeme kukatika katika

  18. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Rasmi najiingiza kwenye mziki kama msanii wa bongo fleva. Save the date, 7 October

    Nimelelewa katika familia yenye maadili, wazazi wangu walipenda nisomee mashaallah kitu ambacho nimekikamilisha japo bado sija fika wanapo taka. Kutokana na changamoto za hapa na pale rasmi, nimeona nijaribu na kwingineko, nimefanya sana biashara lakini naona kila kitu na mtue, hivyo rasmi...
  19. Pakome

    JamiiForums Tanzania Trey Songz ni msanii wa bei ya jioni, Diamond Platnumz kaokota kopo la maji

    Diamond Platnumz kamkaribisha Trey Songz kutoka Marekani pengine lengo lake nikufanya collabo Ukweli ni kwamba huyu msanii alishashukaga thamani miaka mingi sana iliyopita na amesha ejected kwenye soko la Marekani Kushirikiana na msanii kama huyu hakuletagi matokeo makubwa kwasababu hana...
  20. Vien

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Msanii aliyedharaulika zaidi kwenye muziki wa Tanzania? – Kisa cha Rashidi Ziada (KR)

    Ukizungumzia wasanii ambao hawajawahi kupewa heshima inayolingana na mchango wao kwenye muziki wa Tanzania, kwangu jina la kwanza ni Rashidi Ziada (KR). KR alianza muziki tangu miaka ya 90. Amepitia makundi mbalimbali kama GWM, Wachuja Nafaka, hadi kuwa sehemu ya TMK Wanaume Family. Licha ya...
Back
Top Bottom