ashambuliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Waziri wa Michezo ashambuliwa kwa kujiweka kwenye Vipeperushi visivyo mhusu

    Waziri wa Michezo Ababu Namwamba ameshutumiwa kwa Mara Kwa Mara Kuweka Picha Yake kwenye Vipeperushi rasmi ambavyo havimuhusu Mfano: Vinavyowapongeza Wanamichezo au kuhusu Wizara yake Katika tukio la hivi karibuni, Wakenya hawakupendezwa na Waziri huyo kuposti kipeperushi chenye picha yake...
  2. MK254

    Msanii Diamond ashambuliwa kwa kusoma Biblia

    Yale yale, ukisoma comments za kwenye hii video yaani utadhani jamaa sijui kaua au kafanya nini yaani, watu wanaishi kimajungu majungu na hasira za kufa mtu. Mfuasi yeyote wa dini ya Kiislamu akisikika kataja chochote cha dini nyingine wanamjia juu balaa.
  3. Mjanja M1

    Baba Levo adai kushambuliwa na Harmonize

    Mwanamuziki na mtangazaji wa Wasafi Fm Babalevo adai kushambuliwa na mwanamuziki Harmonize. Baba Levo ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Pamoja na kutoa taarifa hiyo Baba Levo hajaweka wazi sababu ya kushambuliwa na mwanamuziki huyo.
  4. BARD AI

    Zanzibar: Askari wa JKU auawa, mkuu wa kituo cha polisi ashambuliwa

    Unguja. Askari wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU), Ramadhan Juma Hassan (24) ameuawa, huku mwenzake akijeruhiwa na kundi la watu wasiojulikana walipokuwa kwenye lindo katika sheli ya mafuta. Akizungumza na Mwananchi Digital kwa njia ya simu, leo Februari 6, 2024, Kaimu Kamanda wa Polisi...
  5. S

    Ashambuliwa na watoto wake baada ya kutaka kuuza ardhi ya familia

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 50, Kanu Mugwere, ameshambuliwa na watoto wake wakipinga uamuzi wake wa kutaka kuuza ardhi ya familia kwa shilingi milioni 1.5. Kulingana na taarifa, Mugwere alikuwa akilenga kutumia fedha hizo kugharamia matibabu ya mtoto wake mmoja mwenye ugonjwa wa akili...
  6. J

    Kikwete ashambuliwa vikali na Wakenya. Adaiwa mnafiki

    Mwanasiasa wa Kenya Mutahi Ngugi amemshambulia vikali Kikwete kwa unafiki, amedai Kikwete anaenda Kenya kila mara kuwahubiria kuhusu demokrasia huku nchi yake ikiongozwa na katiba ya kidikteta.
  7. Miss Zomboko

    Mwandishi wa Aya za Kishetani ashambuliwa kwa Kisu mkutanoni

    Salman Rushdie, mwandishi wa fasihi ambaye amekuwa akikabiliwa na kitisho cha kuuawa kutokana na uandishi wake, amechomwa kisu mjini New York. Taarifa za hospitali zimeeleza kuwa amefanyiwa upasuaji na yuko hali mahtuti. Shambulizi hilo dhidi ya Salman Rushdie limetokea jana mjini New York...
  8. Mukulu wa Bakulu

    Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

    Mwandishi wa vitabu na makala maarufu Profesa Salman Rushdie amevamiwa na kuchomwa kisu akiwa kwenye mhadhara na anaedhaniwa kua ni muumini wa dini ya kiislamu huko New York. Kwa Tusiofahamu Bwana Rudhdie ndie muandishi wa Kitabu cha Satanic Verses ambacho kinasema kua dini ya kiislamu na Quran...
  9. maatope

    Mkuu wa Mawasiliano wa Rivers Utd ashambuliwa Dar, wachezaji watano waliokutwa na corona waahidi kisasi

    Yes msemaji wao alipigwa na kitu kisichojulikana na wachezaji wao watano wa kikosi cha kwanza walikutwa na corona masaa mawili kabla ya mechi ingawa siku tatu zilizopita walipimwa mara mbili na kukutwa NEGATIVE. WAPOPO wameahidi REVENGE ya kutisha huko river state kwamba utopolo players kumi...
  10. Quavohucho

    Amber Lulu aonesha sura ya mtoto wake kwa mara ya kwanza

    Video vixen na msanii Amber Lulu ampost kwa Mara ya kwa mtoto wake. Hiyo ni baada ya week chache zilizopita kujifungua, mtoto huyo ameanza kupokea deals za matangazo mbali mbali, Mtoto Huyo ambae baba ake ajulikani ameanza kula shavu za kuwa brand ambassador wa kampuni za bidhaa za watoto...
  11. Analogia Malenga

    Mwandishi wa Mwananchi ashambuliwa na askari akitekeleza majukumu yake

    Mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) Zanzibar, Jesse Mikofu ameshambuliwa na askari wa vikosi vya SMZ wakati akitekeleza majukumu yake ya kazi leo asubuhi Jumatano Aprili 21, 2021. Mikofu amekumbwa na kadhia hiyo baada ya kuwapiga picha askari hao wakati...
Back
Top Bottom