Kuna jambo linanichanganya Waislamu wanaposema Injili/Biblia na Taurati vimeharibiwa au kupotoshwa,
Ikiwa Qurani inasema mambo mengine waulizwe wayahudi au watu wa Kitabu wakati Taurati na Injili zinapingana nayo, basi Quran inajipinga na hivyo ni ya uongo. Ikiwa Taurati na Injili zimeharibiwa...
Mambo ya Imani magumu sana
"Una uhuru wa kumuingilia mkeo kwa staili yoyote, kaifum hiyo ni tafsiri ya kwanza na ni lugha ya kiarabu fasaha sio masuala ya ushia. Tafsiri ya pili aina mahala popote kama ni nyumbani, kama ni barabarani, kama ni sokoni. Tafsiri ya tatu ni harituma sehemu wake zenu...
Huwa nashangaa sana Watanzania wengi wanaokuja na rejea za Biblia au Quran katika kujenga hoja kwa mijadala ya kijamii/ umma inayobishaniwa au kujadiliwa.
Nafikiri hii ni mojawapo ya ishara ya akili ndogo na ujinga mwingi katika taifa.
Nimetengeneza app ya Kurani ya Kiswahili inaitwa Dini Pro
Unaweza kufanya yafuatayo kwenye app yangu
Kurani Tukufu (Soma na Usikilize):
Soma Surah zote kwa urahisi na usikilize sauti popote ulipo.
Mwelekeo Sahihi wa Qibla:
Pata mwelekeo wa Qibla kwa haraka na usahihi mkubwa haijalishi uko...
Kulingana na imani za kidini, hasa kwa kurejelea Biblia Takatifu na Qur'ani Tukufu, jibu la msingi ni kwamba shetani anaweza kutumia uganga na uchawi kusababisha magonjwa au madhara, lakini hawezi kufanya hivyo kwa mamlaka yake mwenyewe—lazima kuwe na ruhusa au makadirio ya Mungu.
Katika vitabu...
Mm nasema hamna kama kuna mwenye aya au ushahidi wowote aje nao nimpe 300,000 usiku huu
Muhammad (60) kwa Aisha ilikua sahihi
Na Joseph (63) kwa bikira Maria ni sawa
Hiyo 18 ni mbwembwe za waja, kama unaushaid iweke mbele weka lipa namba
Uchambuzi wa maandiko matakatifu ya Biblia na Quran unaonyesha kuwa neno Israel lina mizizi ya kina na ya wazi katika vitabu vyote viwili, huku neno Palestina likikosekana kama jina la nchi au taifa ndani ya maandiko hayo ya asili.
Katika Biblia, neno Israel linatokea zaidi ya mara 2,500. Jina...
Leo nimekutana na mwanazuoni mmoja mbobevu kwenye masuala ya dini amenihakikishia kuwa hakuna hata mtu mmoja mitaani mwenye Biblia au Quran halisi.
Mwanazuoni huyo kaniambia mitaani kuna nakala tu za vitabu hivyo wala si vitabu halisi. Kaniambia ni uchochezi wa kidini tu kuzitakatifusha hizo...
Waandishi wa Quran walikuwa ni wa kina nani na baada ya uandishi wake kukamilika nani walioithibitisha kwamba maudhui yake ndio Yale yale yaliyotoka kwenye kinywa cha Muhammad bila kupotoshwa au kukosewa kwa bahati mbaya kibinasamh au kwa makusudi na waandishi wenyewe?
Bila shaka hii aya sio ngeni.
Quran 46 : 29 - 33
"Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani. Basi walipo ihudhuria walisema: Sikilizeni! Na ilipo kwisha somwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya."
"Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada...
Neno Hijra maana yake ni Kuhama au kuondoka sehemu moja na kwenda nyingine.
Hijra ya Mtume Muhammad ya kutoka Makka kwenda Madina
Ilitokea mwaka 622 BK.
Mtume Muhammad alianza Uislamu Mwaka 610 BK.
Akiwa na umri wa miaka 40
Huu ndio mwaka Wahyi wa kwanza ulimshukia
Tukio lilitokea pangoni...
Jina la Quran na Biblia tumetohoa toka lugha zake za asili. Ni kawaida kwa mambo haya ya lugha.
Jee Kwa kiswahili hivyo vitabu vinatafsiriwaje. Neno Biblia na Quran kwa kiswahili ni nini?
WAISLAM WATANZANIA LICHA YA QURAN KUWAAMBIA WAITAFUTE ELIMU MPAKA CHINA LAKINI MPAKA LEO WANA CHUO KIKUU KIMOJA TENA CHAKUPEWA. MNATIA AIBU BHANA! PYEE!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Leo acha niwavae hawa ndugu maana bila kuwachana wataendelea kuwa hivihivi wamezubaa au wapo...
Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema
Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.
Sasa...
Anzia kusoma Quran 7 : 155 - 157
Ila nakuwekea mstari mmoja ambao ndio una hoja yangu.
Quran inasema kuwa Mussa alimtabiria Mohamed kuwa ataandikwa katika Torati na Injili.
Je Mussa alijua kutakuwa na Injili?.
100% Mohamed kabun hiki kitabu kwa kutumia janja janja tu.
Kaunganisha unganisha...
Kwenye imani yenu mnasherekea sikukuu ya kuzaliwa mtume wenu Muhammad wala hakuna kosa lolote wakristo walisema ni kosa kwao.
Huku kwenu mumekuwa na makatazo sana kwamba kusherekea happy birthday ya yesu ni haramu.
Naomba kuuliza kwenu kwani Quruan ina yesu gani maana mliyemtaja kwa jina lenu...
Waislamu mnisaidie hapa. Allah alikuwa na nani kipindi wanawaumba majini na mtu?
Quran 15:26
Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura.
15:27
Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto.
Quran 7:11
Na hakika tulikuumbeni, kisha tukakutieni sura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.