biblia

Byblos (Arabic: جبيل‎ Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko wa vitabu vya biblia kadiri ya katekisimu ya komunio na kipaimara ya jimbo katoliki Moshi

    Mgawanyiko wa vitabu vya biblia kadiri ya katekisimu ya komunio na kipaimara ya jimbo katoliki Moshi Anaujua mgawanyiko huo tafadhali atuwekee hapo
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Biblia ilituficha kuhusu uzao wa majitu/Wanefili?

    Tangu mwanzo hadi ufunuo sijawahi ona biblia imetamka wazi kuwa manefili yalitokana na uzao wa mtu fulani sijawahi ona hilo andiko.Badala yake maandiko yanakuwa yanaibuka ghafla tu na kuwataja wanefili. Sote tuna soma mwanzo 6 hadi9 na kuona ya kwamba Mungu aliingamiza dunia na viumbe vyake...
  3. hamis77

    JamiiForums Tanzania Sir Isaac Newton alivyoichambua BIBLIA

    Sir Isaac Newton tumemzoea kwenye maswala ya Sayansi, na amefanya mabadiliko makubwa katika Ulimwengu huu Je wajua aliwahi pia kukichambua kitabu cha Daniel kwa undani zaidi? Leo nitakuonesha kidogo tu Sir Isaac Newton alifanya tafsiri ya kina na ya kipekee kuhusu unabii wa Biblia, hasa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Wasabato wanachofanya Mapadre kwenye sala ya kitubio ni kwa mujibu wa Biblia, sawa na kazi ya ukuhani anayoifanya Yesu hekaluni mbinguni muda huu.

    Moderator naomba uache Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Sabato njema Naye akiisha kusema hayo, akawavuvia, akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu. Wowote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wo wote mtakaowafungia...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ati Mungu Mwenyezi ni jina la Mungu? Hizi PhD za biblia hawa wahubiri wetu huwa wanazipata wapi?!

    Nimemsikia nabii mmoja wa Arusha ambaye ana cheo cha daktari wa falsafa (PhD) akifundisha kwenye radio yake kwamba Mungu hujifunua kwa majina tofauti kila anapofanya agano. Sasa ananukuu pale Mungu anapoongea na Musa kumwambia alimtokea Ibrahimu kama Mungu mwenyezi lakini hakujulikana na...
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ni mstari gani wa kwenye biblia ukiosoma unaona unamfaa Dk Bashiru Ally Kakurwa

    Zab23 Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu ...nijapopita katika bonde la mauti sitaogopa. Yeremia 17:5 Amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadamu
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mstari huu ndani ya Biblia wachungaji wa kileo hawaupendi, wanauruka kama haupo kabisa, ingawa ndio msingi mkuu wa Ukristo

    Wachungaji, mitume, manabii, walimu na Wainjilisti ambao ni viongozi wa makanisa ya kileo huu mstari wanauruka kama haeauoni. Huu mstari unawahukumu, maana wanajikusanyia sadaka kisha kufungua maduka makubwa, kusomesha watoto wao nje ya nchi , wananunua range , v8 n.k huku waumini wakiambiwa...
  8. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Biblia inasema fungu la kumi litolewe mara moja tu kwa mwaka, hawa wanaodai fungu la kumi kila wiki ni wezi. Fungu la 10 waweza kulinywea hata pombe

    Kumbukumbu la Torati 14:22 [22]Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka. Thou shalt truly tithe all the increase of thy seed, that the field bringeth forth year by year. Kumbukumbu la Torati 14:22,24-26 [22]Usiache kutoa zaka ya...
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Nimeona wakati Trump anaapishwa leo kuwa Rais wa Marekani sikuona akiwa ameshika Biblia. Hii ipoje?

    Donald Trump ameapishwa kuwa Rais wa 47. Lakini sijamuona akiwa ameshika kitabu chochote kile mfano Biblia. Lakini mwishoe kasema Mungu nisaidie. Kwa huku bongo viongozi wakiwa wanaapishwa kama Mkristo atapewa Biblia na Muislamu atapewa Msaafu. Je hii imekaaje kutoka kwenye mataifa mengine?
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Moses Magembe , Kwa Makanisa ya Jumapili, ndio Mchungaji Pekee mwenye Mafundisho yanayotokana na BIBLIA

    Kuhusu Mafuta ya Upako na mavitu ya aina hiyo https://youtu.be/xx8rWWCIg6c?si=nbltSobDGPsezWPO https://youtu.be/I4OtZ1AoGcU?si=2XR4Yn3OPD2ZLN8l Msikilize hapa kuhusu Hawa wahuni wa Sadaka za kuvunja laana ,kukomboa familia https://youtu.be/FkDv56OFfU4?si=jN_fOWdHzX-6RLlY
  11. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watu Bado Wanaendelea Kuomba Kwa Nafsi za Wafu?

    Utangulizi: Katika maandiko matakatifu, tunapata maagizo ya wazi kuhusu hali ya wafu na jinsi tunavyopaswa kushughulika nao. Aya za Mhubiri 9:5-6 na Kumbukumbu la Torati 18:10-12 zinatupa mwongozo wa moja kwa moja ambao unaweza kutumika katika mjadala huu. Hata hivyo, bado kuna desturi miongoni...
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Je, kwa mujibu wa Biblia kumwagia nje wakati wa tendo la ndoa ni dhambi?

    Jf Amani iwe kwenu nyote. Kama kichwa cha habari kinavyosema je ni sawa ama sio sawa kumwangia nje wakati wa kugonoka? Katika hali ya kawaida kabisa ktk jitihada za kupanga uzazi wa mpango leo hii njia tunautumia tofauti na hii njia ya kumwagi nje ni mojawapo na ni kongwe ya enzi na enzi...
  13. goswe

    JamiiForums Tanzania Biblia: Wanawake na Wanyamaze katika kanisa

    Nawasalimu katika jina pendwa la Bwana wetu Yesu Kristo . Mfalme wa utukufu. Nimewaandikia hili kuwakumbusha hila za ibilisi,na njia yake kuu anayoitumia yakugeuza maandiko. Nakufanya watu waishi kinyume cha neno la Mungu. Yeye amefanya hivyo mara zote, kufanya watu waone hamna shida. Lakini...
  14. Knock life

    JamiiForums Tanzania Maisha ni ubatili! Mnataka kusema sisi wenye miaka 50 tumebakisha miaka 20 kuondoka hapa duniani kama umri wa Biblia unavyosema?

    Now I'm doing 50+ Leo nimesoma Bible nikaona umri wa binadamu kuishi ni miaka 70 Nimegundua I have only 20 yrs kuwepo hapa Jamvini na duniani. Nilichoamua kufanya nimeona nianze Kuwa Karibu na jamii na kuangalia namna ya kuacha legacy yoyote ile.
  15. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Jumapili yako.. Tuandikie neno moja la Biblia likupendezalo

    Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso.Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.Katika habari ya upendano, hamna haja niwaandikie; maana ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu kupendana. 1 Wathesalonike 4:7-9
  16. kwisha

    JamiiForums Tanzania Canada is the next india

    Sio kila unachokipanga ndicho kitakacho kamilika Msemo uo umemkuta waziri mkuu wa Canada Justin trudeau Aliingia madarakani mwaka 2015 - mpaka sasa Justin trudeau alivyoingia madarakani akaja na system yake ya immigration. Kwa maono yake alikuwa anataka kuingiza temporary immigration kama...
  17. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Andiko hili katika Biblia ndio kifungu katili zaidi kuwepo Duniani. Je, ni kweli Mungu aliamrisha ukatili wa namna hii?

    Mzuka Wana jamvi. Bila kupoteza muda naombeni Maarifa na uchumbuzi wa kina juu la andiko hili NB : Lengo la huu Uzi ni kupata Maarifa kama hauna hoja na Maarifa yanayohusiana na Uzi pita kushoto mapema. Kwa wasiojua Kiswahili au Foreigners nimewarahisishia kazi.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini kitabu cha Henoko kilifichwa/ kiliondolewa kwenye Biblia? Je, ilikuwa ni mpango wa shetani??*

    Je, Ilikuwa ni mpango wa shetani?? 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Ndugu mpendwa, watu wengi hawajui ya kuwa wakati Biblia inaandaliwa/ inakusanywa ili iwe mjumuiko wa vitabu vya pamoja, kuna vitabu vingine havikuingizwa. Na vingine viliingizwa halafu baadae vikatolewa tena...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Hivi why watawa au mapadre wako exempted kutoa sadaka? Mi sijui sababu na probably hata kwenye Biblia haimo

    Nimeshangaa sana leo wakati naenda kutoa sadaka. Yule msimamizi anayesimamia kunyanyuka bech kwa benchi alipofika walipo masista na ilikuwa robo ya watu wote , aliruka as if wao siyp watu kama sisi. Huu unyonyaji jamani mpaka kanisani! Halafu hawa watawa wanaendesha mikoko ya maana mitaani na...
  20. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Usijizime data! Wewe kama ni msomi unaijua fika kuzimu hile ya Biblia ikoje!

    Utangulizi: Katikati ya kiini cha dunia kuna joto kali sana, na halijoto ni kuanzia 7200–9000℉ (4000–5000℃) linasababisha kuungua na kufanya uji wa mawe, miamba na madini magumu kama nickel. Hapa kwenye kiini (core/mantle) kuna joto lenye shinikizo (pressure) kubwa kiasi cha kuweza kutoka nje ya...
Back
Top Bottom