zaka


 1. N

  Kiwango kinachowajibika kwa Zaka ya nafaka na matunda

  1. Yalazimu kutoa ushuri (10%) Kwa (mavuno) ambayo kwamba hayakunyunyiziwa maji Kwa kuenezewa (na mtu) au kwa kugharamika (kwa mtu), kama vile yaliyonyunyiziwa kwa maji ya mvua au mito. 2. Yalazimu kutoa nusu ushuri (5%) kwa yaliyo nyunyiziwa kwa kuenezwa (na mtu) na kugharamika, kama yale...
 2. N

  Sampuli ya Mali Yasiyopaswa Zaka

  Mali yanayo toka baharini kama lulu, na marijani, na Samaki, ila yakiwa ni Mali ya kufanyia biashara hutolewa zaka za Mali ya Biashara. - Mali yaliyo tayarishwa kuajirishwa kama majumba na magari hayana zaka, zaka zake ziko kwenye ijara lake likifikia kiwango cha zaka na kupitiwa na mwaka. -...
 3. N

  Hukumu ya zaka ya Mali ya biashara.

  Ni lazima; kwa kauli ya Mwenyezi Mungu U: {Enyi mlioamini! Toeni katika vile vizuri mlivyovichuma, na katika vile tulivyokutoleeni katika ardhi} (Al-Baqarah: 267). Jumla ya wanavyuoni wametaja kwamba makusudio ya aya hii ni: Zaka ya mali ya biashara, na kwa kauli ya Mwenyezi Mungu U: {Chukua...
 4. N

  Zaka ya Mali Haramu

  Mali ya Haramu Kila mali iliyokatazwa na sheria kuichuma, au kuitumia, sawa uharamu wake ni kule kupatikana madhara au uchafu kama maiti na tembo, ama uharamu wake.kwa sababu ya tumo lake ama kuchukuwa mali bila ya ruhusa ya mwenyewe, au kuchukuwa kwa njia isio kubalika kisheria hata kama...
 5. N

  Adabu za sadaka za kujitolea

  1. Adabu za lazima 1. Kufanya kwa ajili ya Mwenyezi Mungu U (Ikhlaas) – Anatoa Zaka kwa lengo la kutaka radhi ya Mwenyezi Mungu, sio kwamba aonekane au atajwe vizuri na watu. 2. Kujiepusha na kujisifu (kwamba ni mtoaji) na kuudhi watu (kwa kutoa kwake) kwa kauli ya Mwenyezi Mungu U: { Enyi...