wasiojulikana

  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya kikundi kidogo kuteka nchi yetu yame fail vibaya raia wamepiga kwenye mshono sasa hivi wanalala na viatu wanaogopa mapinduzi

    Majaribio ya kikundi kidogo kuteka nchi yetu yame fail vibaya raia wamepiga kwenye mshono sasa hivi wanalala na viatu wanaogopa mapinduzi. Wanaogopa kuwajibishwa kwa mauwaji waliyo yafanya wizi wa haki za wananchi na utekaji hadi maiti mahospital. Tumesha shinda tukutane D25
  2. G Sam

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dar: Fortunatus Buyobe adaiwa kutekwa na wasiojulikana

    Mwandishi wa makala za uchunguzi ndugu Fortunatus Buyobe anadaiwa kutekwa jioni ya leo maeneo ya Dar. Hata hivyo waliomchukua wamejitambulisha kwake kuwa ni Polisi ila haijajulikana alipopelekwa mpaka sasa. Soma pia: Fortunatus Buyobe: Maisha yangu yapo hatarini, nawindwa na Askari wenye...
  3. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Heche amjibu Msigwa 'SGR unamjengea nani kama mnaua watu'

    Yaani unataka tujadili SGR badala ya maisha ya watu?Shame on you!!! Hiyo SGR hata wakaloni walijenga, wewe Msigwa hujui reli ya kati iliyojengwa na wakoloni ilikua SGR wakati huo?Je unajenga SGR ili itumike kufanya nini kama mnaua binadamu wanaotakiwa kuitumia?Mnajengea wanyama au miti?Hivi...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Siku ICC ikiomba google itaje wasiojulikana walikuwa wanatumia google map location kujua makazi mtabaki midomo wazi. Nawapa stori ya kweli

    Hii ni kweli kuwa dunia unaweza kujiona umejificha kumbe hupo uchi. Kuna kijana mmoja huko Marekani mwenye asili ya asia raia wa Marekani, ni kijana mdogo wale vijana wanaopitia ujuaji na ujanja wa UVCCM mfano tu. Wakati wa matembezi alitokea kibaka na kupora simu yake ya iphone na ile simu...
  5. concordile 101

    JamiiForums Tanzania Jinsi kikundi cha watekaji cha wasiojulikana kinavyoweza kuja kuwa na nguvu kuliko JWTz tukizembea

    Katika miaka ya karibuni, baadhi ya matukio ya utekaji na vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu yamehusishwa na kile kinachoitwa kikundi cha wasiojulikana nchini Tanzania. Ingawa taarifa zao ni za kusikika tu bila ushahidi wa wazi, mjadala kuhusu uwezekano wa kikundi hiki uongezeka na tishio...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Amani kwanza, haki baadae ni Msingi wa dini mpya ya wasiojulikana?

    Salaam! Ni kama kuna dini na Imani mpya imeingia nchi ni, Kikundi na itikadi hii ya Siri imeingia kwa viongozi mbalimbali wa dini, wasanii, wanasiasa, polisi,waovu Katika makundi mbalimbali wakijaribu kuuaminisha umma wa watanzania kwamba AMANI ndio Msingi wa HAKI. Msemo huu unaoenezwa kwa...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sijui kama tunajifunza, kuna kitu tunaletewa na kitakuwa kigumu pale Serikali mbovu inapotengeza wasiojulikana mpaka kuwa kikosi chenye uwezo

    Mifano tumeona M23 kule congo, Sudani kwa Bashiri sababu ya uchu wa madaraka alitengeza kundi la kumlinda yeye RSF mwisho wa siku limekuwa na nguvu kuliko serikali. Yapo makundi mengi ambayo kudhibiti ni ngumu sababu yalianza kwa kutojulikana na kukanushwa ila duniani yametambulika rasmi. Kwa...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Mahsus kwa Watu Mahsus Kuhusu Watekaji, Watesaji na Wauaji 'Wasiojulikana' wa Watanzania!, Machozi, Jasho na Damu, Inakulilia!, Itoshe!, Iishe!

    Wanabodi Kwa muda mrefu taifa letu limekuwa linakabiliwa na hili jinamizi la watu wasiojulikana, ambao wanateka Watanzania, wanatesa Watanzania, na wanaua Watanzania bila huruma. Kila tukio wanalofanya, wakifanya mchana mbele ya watu, wanakuja na silaha nzito na magari kama ya polisi, na...
  9. Black Opal

    JamiiForums Tanzania GE2025 V8 ya ‘watu wasiojulikana’ yachomwa moto Kimara na waandamanaji

    Aloooo, V8 imekula moto inateketea bila habari! Yaani leo tena hawa wasiojulikana wanaojulikana wajitokeze vizuri, ili wafichuliwe. Siku iishe watekaji wote nao wawe wamejulikana. IKiwa katikati ya barabara wananchi wamepiga moto V8 ya watu wasiojulikana.
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

    Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sisi ndio watekaji na wauaji, tunawasingizia tu wasiojulikana

    SISI NDIO WATEKAJI NA WAUAJI TUNAWASINGIZIA TUU WASIOJULIKANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wasiojulikana! Kivipi yaani? Hawajulikani kwa namna ipi? Watekaji na wauaji ni sisi sisi Watanzania. Alafu tunajitia hawajulikani. Hawajulikani? 2. Mwaka wa kumi huu! Mnakimbizana na jambo...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania: Je, Mungu wa kwenye Quran na Biblia ameshindwa kutulinda dhidi ya wasiojulikana?

    Manabii akina Mwamposa, Lusekelo, Kakobe nk mko wapi watu wenu wanaowatajirisha wakiangamia? Masheikh kama Sule, Kishiki nk mko wapi watu wenu wanaowapa pesa wanaangamia? Ni wazi Mungu wenu wa uongo wa vitabuni hayupo kabisa. Tunaomba viongozi wa kimila kusanyikeni kwa maombi kwa Mungu wa...
  13. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ZCO na mambo yake. Wasiojulikana ni kina nani?

    Wakati wa Chuma, tukilalamikia vitendo vya utekaji na the so called “Task Force” kupoteza watu (Kina Ben Saanane etc), kesi za ajabu ajabu (kina Kabendera, Maxence, Eyakuze etc) Wambura alikuwa ZCO na sasa ni IGP. Wakati huo, ndo ukaibuka msemo wa “Wasiojulikaka”. Kama mtakumbuka, hadi kesi za...
  14. Lattafa

    JamiiForums Tanzania Je, Polepole ni Honey Pot ya wasiojulikana?

    Ndugu wa Balozi amehojiwa na tumemsikia. Kuna maneno na yanayozungumzwa mitandaoni hasa hili la 'chip' ambayo ndio theory yangu inapokuja. Je, ni kweli Balozi ana bug katika mwili wake au ni scare crow tactic aliyotumia mtoa taarifa kuwatisha watekaji. Je, kama ni kweli Ana bug basi Lazima...
  15. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Watu wasiojulikana tunaoamba msiwe na upendeleo, hebu mkamateni Tesha anamletea nywi nywi mama yenu

    Eti wakuu, sio wanawakamata kina Mdude sijui wanaharakati mpaka mx Mello wetu mkamtishia kumpoteza sasa kajitokeza Tesha wazi wazi na zaidi ametaja mpaka alipo ni pale SAK inshort kawarahisishia kizi tunaoamba watu msiojulijana msiwe na upendeleo hebu kamtekeni Tesha analeta nywi nywi.
  16. britanicca

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuijadili sana interview ya Maxence Melo kuhusu sababu ya kufungia JF, The Chanzo walazimishwa kufuta Hiyo interview Mara moja

    Nchi hii ni ya maajabu sana , Nimekuwapo wakati wa Tawala zote ila sasa hii imekuwa ya maajabu mno! Katika interview ile aligusia: 1. Kuhusu mtu mzito kumpigia simu kuhusu kwamba atapotezwa na watanzania watapiga kelele miezi kadhaa na kusahau 2. Akagusia kwanini JF imefungiwa Sasa baada ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Aisee!! Maandamano ya 29.10.2025, mambo ni moto. Hongera kwa wapigania haki

    Kuanzia matukio na maeneo yaliyopangwa, muda na mbinu zitakazotumika kutekeleza kila tukio vimekaa vizuri sana. Tunaweza kuamshwa asubuhi ya 29.10.25 na breaking newz za kutosha sana ambazo zitaibua shangwe kwa umma. Itoshe tu kusema usiku wa 28.10 ni mzito kuliko mchana wa 29.10
  18. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Week chache zijazo Chawa na Wasiojulikana wanakwenda kupoteza ajira

    Moja la jambo kubwa sana tunakwenda kulifanya kwa mustabali wa nchi yetu
  19. Damaso

    JamiiForums Tanzania Polisi wetu: Walinzi wa amani au watu wasiojulikana?

    Katika kila taifa linalojitambua, Jeshi la Polisi ndilo nguzo kuu la amani, usalama na mshikamano wa kijamii. Polisi hupewa jukumu la kulinda raia na mali zao, kuhakikisha sheria zinafuatwa, na kuwa ngao dhidi ya vitisho vya ndani na nje. Hata hivyo, maneno yanapotoka kinywani mwa viongozi wa...
  20. PLOII

    JamiiForums Tanzania Watu Wasiojulikana mnasubiri nini kumtafuta na kumkamata Vladimir Lopez mpate USD 15M kutoka Marekani?

    Happy Wednesday Guys, Niende kwenye Mada Kwa ufupi (remember this article is full of figures of speech for a purpose) Nimewaza kwa kina sana tena sana kuhusu hiki kikundi cha Utekaji na Kuua - Tanzania, ni kama Taasisi kwa Sasa hapa Nchini. Hawa jamaa wamekuwa wakiteka watu wasio hodari...
Back
Top Bottom