Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kwanza anaongea kama kakatwa kichwa
Pili hajitambui
Tatu hajielewi
Nne anajaribu kwenda na beet za anko Magu lakin hiyo karama hana
Tano ni mshamba na limbuken
Waziri mkuu hatuna
Full stop
LONDON BOY
Salut kwenu great thinkers wote wa JF.
Kama ilivyoada jana nimepandisha Uzi humu jukwaani kuiombea Mabaya klabu ya YANGA ili apoteze game yake dhidi ya Far Rabat ila Dua yao ikawa kubwa kushinda yangu wakapata matokeo. Ila nawaa nawaahidi hii timu ya YANGA haitatoboa kwenda stage inayofuata...
Trump amesema assasin wa Charlie Kirk ameshikwa tayari na amependekeza anyongwe kwa mujibu wa sheria.
Soma Pia: Marekani: Charlie Kirk afariki dunia baada ya kupigwa risasi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, imemhukumu Shabani Mohamed (27), mkazi wa Mchangani, kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya makosa mawili ya kumbaka na kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita. Hukumu hiyo imesomwa Juni 25, 2025 na Hakimu...
Mahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama.
Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa kuwaambia wafuasi "No Reforms No Election"
Hakimu ameeleza kuwa Mahakama inakuwa kamili pale...
Huyu mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga anatakiwa ashauriwe asiongee yote akasahau kesho. Mwanzo alisema CHADEMA walimpitisha Lissu kugombea Urais huku wakijua hawezi kushinda. Hii kauli ilikuwa inakivua chama nguo mbele za watu. Kuonesha kwamba CHADEMA haina haja ya kushika madaraka bali...
Mwamanaume mmoja huko Ufaransa amefungwa miaka 20 kwa kosa la kumbaka aliyekuwa mkewe na kualika wanaume wengine 50 kumbaka mkewe kwa muda wa miaka 10.
Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Dominique Pelicot alikuwa anambaka mkewe Giselle Pelicot (Mrs) baada ya kumpa dawa za usingizi kwa...
Marcus Fakana, kijana wa miaka 18 kutoka Tottenham, London Kaskazini, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani huko Dubai baada ya kufanya mapenzi na msichana wa London mwenye umri wa miaka 18.
Kwa mujibu wa taarifa, wawili hao walikutana wakati wa likizo wakiwa na familia zao. Msichana...
Samwel Anthony (34) mkazi wa kijiji cha Shilima wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 8.
Hukumu hiyo imetolewa jana tarehe 20 Novemba 2024 na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya wilaya ya Kwimba, Ndeko Dastan Ndeko ambaye ndio Hakimu...
Pesa haijawahi muacha mtu salama tangu enzi za mitume na manabii pesa ni sabuni ya roho,ukiona mtu anapiga kelele sana kuhusu rushwa hajaunganishwa kwenye mfumo,nani hataki raha toka aanze ni yeye na kupanda punda tu,
Sasa kapandishwa chopa anacheeka hatutosikia tena pesa za mama Abduli...
Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira.
Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja.
Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa.
Pia soma
Bobrisky , The famous and rich Gay in Nigeria
Bobrisky Amwanika Boyfriend wake Billionare...
Mchezaji yoyote wa Simba popote ulipo, natuma ujumbe kwenu kwa njia zote zinazowezekana.
"NENDENI KAPAMBANENI KUFA"
Kocha ameshaamini mnaweza, mbinu amewapa na sasa mnazifanyia mazoezi. Mwisho wa wiki kafieni uwanjani Mwarabu afe kwake.
Niwakumbushe wajibu wenu kwa mashabiki wenu esp...
Mahakama ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma imemuhukumu kifungo cha miaka 20 jela Kijana Mussa Ally Makandaje (32), Mkazi na Kijiji cha Msinjili Wilaya ya Tunduru baada ya kupatikana na hatia katika kosa la kukutwa na vipande 14 vya nyama ya mnyama aina ya pofu.
Akisoma hukumu hiyo ya kesi ya...
Machi 19, 2024 shauri la uhujumu uchumi Na 23/2022 dhidi ya PAULO NGILORITI TEVELI limeamriwa katika Mahakama ya Wilaya ya Same, mbele ya Mhe Hellen Hozza, likiendeshwa na wakili Suzan Kimaro.
Mshtakiwa ambaye alikuwa Mhasibu wa Mapato wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, ametiwa hatiani na...
Mahakama ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imemtia hatiani Dickson Mbwilo (42), mkazi wa Kitelewasi na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumlawiti mke wake.
Kulingana na maelezo ya mwanamke huyo mwenye umri wa miaka (32), mumewe alikuwa akimfanyia kitendo hicho pale anapokuwa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Mbeya imemhukumu kifungo cha maisha jela Mwalimu Johnwell Mwamboya (38) mkazi wa Iyela jijini Mbeya baada ya kupatikana na kosa la ubakaji wa mtoto mwenye umri wa miaka saba.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo Tedy Mlimba mbele ya...
Ni aliyewahi Mohamed Ould Abdel Aziz ambaye alikuwa Rais wa taifa hilo kati ya mwaka 2008 hadi 2019. Aziz amekutwa na hatia ya kujipatia mali kwa njia za haramu ikiwemo ubadhirifu.
Mstaafu huyo pamoja na Viongozi wengine 10 wakiwemo waliowahi kuwa Mawaziri Wakuu walikuwa kwenye uchunguzi juu ya...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Bahati Malila kifungo cha miezi sita jela baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matano, yakiwamo kughushi cheti kilichoonyesha kuwa kimeletolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Pia Mahakama hiyo imemuachia huru mshtakiwa Godfey Mtonyo baada ya upande wa...
Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, imemhukumu kifungo cha maisha jela, aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Msingi St Mathew iliyopo Kongowe, Livingston Kyarwenda (40), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka tisa.
Kyarwenda, mkazi wa Mbagala Chamanzi anadaiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.