wawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku mbili, Wanaharakati wawili: Collins Otieno Apatikana akiwa hai.

    Mwanaharakati mwengine Collins Otieno amepatikana akiwa hai, siku moja tu baada ya mwanaharakati mwenzake Boniface Mulinge Muteti pia kupatikana baada ya kuripotiwa kutoweka. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Hussein Khalid wa Vocal Africa, Collins alipatikana kando ya Thika Road majira ya saa...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Harusi za Dar: Watoto wawili, wameishi miaka 10 alafu nichange 200,000/-?

    Vijana wa Dar es salaam, mara tu baada ya kuingia chuuo kikuu, mwaka wa kwanza , ananza kuishi na mwanamke kama mume na mke, baada ya miaka 2 wanakuwa mke na mume kisheria(presumption of marriage). Wanahitimu na kupeana mimba maana huwa wanafanya mapenzi kila siku bila kutumia kondom. Wanapata...
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mmoja atupwa jela, wawili waachiliwa kwa Plea Bargain kwa kutengeneza pombe feki Arusha

    Arusha. Mtu mmoja amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na Mahakama ya Wilaya ya Arusha, huku wengine wawili wakiachiliwa huru kwa Plea Bargain baada ya kukutwa na hatia ya kutengeneza na kukutwa na pombe feki pamoja na stempu feki za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Adhabu hizo zimetolewa...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Bifu la kisiasa baina ya team Lema dhidi ya team Heche, nani hasa ni changamoto baina ya mafahali hawa wawili ndani ya CHADEMA?

    Kwa maoni na mtazamo wako, unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema, Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano? Nani anaweza kua changamoto zaidi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji awatenganisha hadharani wana ndoa ambao walikuwa Mme mmoja wake wawili

    Mume ni mmoja, lakini ana wake wawili: mke mkubwa na mke mdogo. Mke mkubwa aliokoka. Baada ya mume wake kusikia mafundisho ya Injili, alimwacha na kukimbia, akamuacha kanisani.Baadaye, alipooa mke mwingine, huyo mke naye akaokoka. Anafanya kazi katika eneo lake, anachanga na anashiriki katika...
  6. Supapawa

    JamiiForums Tanzania Tukiwachunga hawa 👇mabwana wawili tutaishi vizuri na Dunia itakuwa salama

    Mmoja ulimi, mwingine dushelele! 😎 Wawili hawa wala hawana mfupa lakini shughuli yao huwa ni pevu. Basi nyote nawasihi muwachunge hawa mabwana wasije wakaleta mabalaa. Ni hayo tu kwa leo.
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Tanzania ina Makamu wawili wa Rais? Mmoja ni halali na mwingine ni batilifu hadi Septemba 4 ndipo anakuwa halali. Rais na VP Sio Wabunge!

    Wanabodi Je wajua kuwa hapa tunapozungumza, Tanzania tunao Makamu wawili wa rais?,kati ya hao wawili,mmoja ni halali hadi tarehe 4 September, na mwingine ni batili kwa ubatilifu hadi tarehe 4 September ndipo anakua halali! Kwa mujibu wa barua ya kujiuzulu ya Dkt. Nchimbi aliwasilisha barua...
  8. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Deo Ndejembi kuanza katiba mpya

    Naambiwa huyu jamaa ni mmoja wa waumini waku wa wa katiba mpya. Bila shaka mwezi wa kwanza kazi I ataanza na hili
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Pwani: Polisi wawili wagongwa kwa mkupuo na kufariki

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi, Izdory George Michael na Rehema Juma Magawa, wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Noah katika barabara kuu ya Dar es salaam - Morogoro kwenye eneo la Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani. Jeshi la Polisi mkoani Pwani limesema baada ya ajali...
  10. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Je inakupa tafsiri gani makamu wa rais wawili wanajiuzulu ndani ya miaka miwili ?!

    honest truth, no 1 ni .....
  11. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Mfiwa aanguka kwa mshituko baada ya mdada kuja na watoto wawili msibani na Lawyer akionesha WILL kuwa mdada na watoto hao wamegawiwa ardhi na nyumba

    Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo. Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo na mtu mwingine kabisa mwanamke inamuuma kuwa walivitafuta pamoja na mmewe na hata kuna kipindi...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu wawili washikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kuiba Mita 14 za MUWSA, Moshi - Kilimanjaro

    Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili wakiwa na jumla ya mita 14 walizoziiba usiku wa kuamkia Agosti 22, 2026 kwenye Mji Mdogo wa Himo. Akizungumza na waandishi wa habari Mhandisi Kija...
  13. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kama sio Football Video Support (FVS) basi wachezaji wawili wa Simba wasingepewa redcard

    Huu ni ukweli ambao ni wachache wanauona kama sio Football Video Support (FVS) basi leo hii watu wangeishia tu kulalamika kwamba jabar na duchu walistahili redcard sana sana watu wangesubiria kamati ya masaa 72 itoe hukumu Viongozi wa simba miaka nenda rudi wamekuwa wakilalamika kwamba...
  14. O

    JamiiForums Kenya Baba wa watoto wawili akamatwa kwa kujifanya Kasisi wa Kikatoliki Lodwar

    Mwanamume kutoka Kisii, Jones Bogonko Onchonga, amekamatwa baada ya kudaiwa kujifanya kuwa kasisi wa Kanisa Katoliki katika Kaunti ya Turkana. Kulingana na Kanisa Katoliki la Jimbo la Lodwar, Onchonga alitumia nyaraka zinazodaiwa kuwa za kughushi ili kujitambulisha kama kasisi aliyeidhinishwa...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Homa Bay yatikiswa na ghasia: Watu wawili wafariki, Polisi 7 wajeruhiwa, na watu 22 wakamatwa

    Homa Bay imekumbwa na ghasia wakati wa mkutano wa kisiasa wa Linda Mwananchi, zilizosababisha vifo vya watu wawili, wakiwemo polisi, na kujeruhiwa kwa maafisa saba wa polisi. Mmoja wa waliofariki ni afisa wa polisi aliyekuwa akirejea kituoni baada ya kushiriki katika kuimarisha usalama wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Haki ya Mtoto Kutunzwa na Wazazi Wote Wawili Baada ya Utengano – Funzo Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania

    Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto. Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza (Rufaa ya Ndoa Na. 03 ya 2021) kati ya Aloyce Masalu Mapembe na Paulina Romanus...
  17. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Malaika wanatulinda bila sisi kuwaona, binafsi nimeona malaika wakinilinda mara kadhaa na kuniepusha na mauti ya ajali barabarani

    Yani ile ajali ya barabarani ya pikipiki ilinirusha juu baada ya kufunga breki ya pikipiki ghafla ili kukwepa kugonga gari za mbele na ya pembeni baada ya gari ya mbele yangu kufunga breki gafla tukiwa kwenye mwendo.Gari iliyokuwa nyuma yangu ikanipushi pikipiki yangu kushoto ilipelekea kukosa...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Grade 9 Learner mbaroni Kisii kwa tuhuma za unyama, abaka na kuua wanafunzi wawili wa PP2

    Wadau , hili sakata ni la kusikitisha sana na limewaacha wakazi wa eneo la Suneka kule Kisii County kwa mshtuko mkubwa mno. Polisi wamemtia mbaroni kijana mmoja anayesoma Grade 9 kwa tuhuma za kufanya unyama wa kutisha kuwabaka na kisha kuwaua wasichana wawili wadogo sana wa darasa la PP2...
  19. venchwa

    JamiiForums Tanzania Kule Vietnam sasa nikakutana na wadada wawili ma nes kutoka Marekani, club inaitwa Blue bar

    Mwaka ule ule napata connection ya kisanga cha Mnyarwanda kabla ya hapo nawaleta kati Katika Uzi uliopita niliiongelea Vietbam nikasema itakuwa story ya siku ngingine Kifupi Vietnam nimeenda Mara mbili Moja ni awali kabla sijampata mnyarwanda Na ya pili nilimpeleka mnyarwanda aka pate kutoa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kuchoma moto chumba na kusababisha kifo cha mabinti wawili kisa aliachwa na mmoja wapo

    Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia Filbert Philimon (23), mwanachuo wa Chuo Kikuu cha St. John's kwa tuhuma za kuchoma chumba moto na kusababisha vifo vya watu wawili, Rebecca James na Felister Peter katika Mtaa wa Kikuyu, Juni 7, 2026. Polisi wamesema mtuhumiwa alikamatwa katika...
Back
Top Bottom