Mimi ni dereva Bajaj kupitia Taksi Mtandao, juzi nilimfuata mteja maeneo ya Msimbazi A kumpeleka Fire, pale Sheli (kituo cha mafuta).
Nalipofika nilipark pembeni nikawasha double hazard, wakaja Mgambo wa Jiji wakaniambia ni wrong parking tukabishana pale, wakawa wanataka twende Lumumba au...
Wananchi tunahitaji ufafanuzi kuhusu nguvu na utendaji wa Mgambo wa Jiji, hususan katika eneo la Kariakoo, wakidai kuwa kumekuwa na ukamataji wa mali za wananchi unaosababisha kero kubwa.
Baadhi ya waendesha pikipiki wanakamatwa bila kupewa nafasi ya kujieleza au kusikilizwa, huku pikipiki...
Mimi ni mfanyabiashara wa simu na vifaa vyake katika maeneo ya Machinga na Karume, Dar es Salaam, Tarehe 25 Juni 2026, siku ya Alhamisi, mgambo wa Jiji walifika ghafla katika maduka yetu na kuondoa spika zetu za kutangazia biashara.
Hawakunipa maelezo ya kutosha wala hawakutoa hati yoyote ya...
Anonymous
Thread
dar
faini
jiji
kila siku
kuzitumia
mgambo
siku
spika
tunataka
Kuna migambo wanazunguka Kariakoo na gari aina ya Fuso wanakamata pikipiki na bajaji kisha zinapelekwa pale Lumumba kisha hutozwa fine Shilingi 50,000 na ikilala kila siku inaongezeka elfu 10.
Mimi ilinitokea nilikuwa nafunga mzigo pembezoni ya barabara yaani kwenye reserve parking ya jengo...
Mgambo wa maadili wa Sharia katika Jimbo la Katsina, Nigeria wakiwa na viboko na marungu wamevamia lodge mojawapo jimboni humo na kuanza kutandika wateja.
Majimbo 12 kati ya 36 ya Nigeria yana utawala wa Sharia wa Kiislamu ambapo huwa na mgambo waitwao Hisba kuhakisha Sheria ya Kiislamu...
Hotuba kamili ya Rais wa Marekani Donald Trump akitangaza vita dhidi ya Iran
Muda mfupi uliopita, jeshi la Marekani lilianza operesheni kubwa za mapigano nchini Iran. Lengo letu ni kuwalinda watu wa Marekani kwa kuondoa vitisho vinavyotarajiwa kutoka kwa utawala wa Iran, kundi katili la watu...
Mimi ni mzaliwa wa Kilimanjaro ila mkazi wa Tabata – Kimanga, Dar es Salaa. Kwanza ya yote nawashukuruni sana sana JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kutusaidia kutatua kero mbalimbali zilizopo hapa nchini kwetu Tanzania.
Mimi kero yangu ni Sungusungu / Police jamii wanaolinda usiku...
Habari Tanzania !
Salaam kwako Mtanzania; wewe ni mwema sana.
Ninaombi ambalo limekaa kama pendekezo; Naomba kuuliza Je, ni kwanini hawa wataalamu wa Ulinzi ambao ni Jeshi la Akiba wasitumike moja kwa moja kwenye maeneo ya Umma kama sehemu ya kutoa huduma ya Ulinzi na kuimarisha Usalama kwa...
Jeshi la Polisi mkoani Lindi linawashikilia askari mgambo wawili kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa mali mbalimbali, ikiwemo mali za raia mmoja anayeishi katika Manispaa ya Lindi.
Waliohusika ni Karimu Athuman Omari (29), askari mgambo namba MG. 512421, mkazi wa mtaa wa Raha Leo, na Zawadi Swedi...
Vijana waliohitimu mafunzo ya jeshi la Akiba wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa wametakiwa kuishi kiapo walichoapa pamoja na kutumia vizuri mafunzo waliyoyapata katika kipindi chote Cha mafunzo ili kuendelea kuwa wazalendo.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Ambrosi Lijualikali wakati...
Askari hawa wamekuwa wakibambikizia watu kesi na kukamatwa hovyo.
Tunaomba Mamlaka ziwachukulie hatua hawa matapeli kwa kivuli cha 'mgambo' ambao wanatembea na pingu ovyo na hatujui wanatoa wapi hizo pingu.
Askari mgambo hao ni Isaya na Mashada.
Anonymous
Thread
askari
halimashauri
kero
kijiji
kubwa
mgambo
mpimbwe
Alimapomaliza form 4 alipata division 2 lakini alipatwa na msiba, hakuweza kuendelea na shule kwasabau za kiuchumi.
Alienda mafunzo ya mgambo lakini alipomaliza kuna pesa za usimamizi wa mirathi zilitoka akaenda kusoma Diploma ya Mechanical Engineering
Je, akienda JKT anaweza kupewa kipaumbele...
Shamba lipo Tanga Korogwe ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100
Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150
dalali ukileta mteja 10% ya kwako
Miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14
0615636384
0653172333
Baadhi ya Watu ambao wanajitambulisha kuwa wao ni Askari Polisi wakishirikiana na baadhi ya Mgambo, usiku wanapita katika maeneo ya wazi kama Viwanjani na kukamata Watu ambao watakuwa wamesimama au kukaa maeneo hayo kuanzia Saa 12 Jioni.
Wanafanya hivyo karibu na maeneo ya Mbagala Zakiem kisha...
Nina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt.
Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti.
Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo wa kwenda kukamata wahalifu flani wanaotuhumiwa na jamii kuwa wanauza bangi na kusumbua wananchi...
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Simiyu, amethibitisha kwamba Binti Pendo Paul aliyedai kupewa kazi ya kumuua Mbunge Mpina hakuwa Askari wa JWTZ kama alivyojitambulisha bali alikuwa amepitia mafunzo ya Mgambo zaidi sikiliza Video hii.
https://youtu.be/gTzupuaYy7c?si=_wUYi4xRIAVxOMpi
Bonde la Mto Ruhila ambalo Serikali limeweka alama zao kama hifadhi ya mto, wananchi wanaendelea kutumia bonde hilo kwa shughuli za kibinadamu kama vile kilimo, kufua na kuoga hata baada ya kulipwa fidia.
Kuna sababu mbalimbali walizozitoa kwanini wanaendelea kutumia maeneo hayo kwa matumizi...
Good Morning my dear brothers and sisters out there.
MGAMBO WANAOFANYA KAZI SAMBAMBA NA POLISI NJE YA MIJI MIKUBWA (DAR, MWANZA, ARUSHA, MBEYA)
(1) Mgambo anakamata watu anaoishi nao mtaa mmoja. Polisi anakamata watu nje ya eneo analoishi yeye pamoja na familia yake. Hii ni nini kama sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.