Siku Watu Wasiojulikana walipoharibu magari ya Mbowe huko Hai

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
LEO TENA KTK UNTOLD STORIES OF ZAMA ZA GIZA by Boniface Jacob

Tuelekee huko Kaskazini Mwa Tz, Mkoani Kilimanjaro,Wilaya ya Hai.
Ilikuwa Siku ya Ijumaa ya Tarehe 30 October 2020 ikiwa ni Siku 2 tuh baada ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Kufuatia Kuharibika kwa Uchaguzi Jimbo la Hai, Mwenyekiti Freeman Mbowe aliondoa Mawakala wake wa Chadema ktk Jimbo la Hai,Saa 3 Asubuhi katika Vituo Vyote Vya Kupiga na kuhesabu kura.

Na hatua Iliyofuata ilikuwa ni kutawanya Kambi yake ya Uchaguzi iliyokuwa Aishi Machame,Watu warejee majumbani na Kwenye majukumu yao.

Basi bhanaaa,Kijana mmoja aitwaye Junior ambaye alikuwa ni Dereva katika Kampeni za Mbowe Ktk Jimbo la Hai, alipangiwa Jukumu la kupeleka gari aina ya Land Rover Defender TDI gereji Arusha ambayo Siku moja wakiwa kwenye Kampeni waliikuta ina Dalili ya Kuwekewa chumvi kwenye Injini.

Basi Junior akafanya kama alivyo elekezwa. Akachukua gari nzima nyingine Ford Ranger nyeupe aweze kuvuta Land Rover Defender TDI kwenda gereji huko Arusha.

Akamchukua Kijana Mwengine wa Chadema apande kwenye Land Rover kwa ajili Kusaidia inapokuwa inavutwa Barabarani.

Basi Junior na Mwenzie walipokuwa Wanatoka na Magari yanayovutana Aishi Machame Kushika njia kuu ya Kwenda Arusha, Pale maeneo ya Mashine Tools wakapishana na msafara wa Mkuu wa Wilaya,Si Mwingine ni Jenerali Ole Sabaya.

Wakaogopa Kidogo lakini ule Msafara uliwapita kwa Kasi. Junior na Mwenzie waliendelea Kujikongoja kwa Kuvutana wakielekea Arusha.

Walipofika nje Kidogo ya Mji wa kwa Sadala, Sehemu inaitwa kwa Wauza Mboga, Zilikuja gari mbili za Landcruiser Hardtop kama wanazo tumia Polisi zikiwa na namba za nje ya Nchi Walishuka watu wenye Bunduki.

Junior na mwenzie Wakapandishwa katika zile Landcruiser Hardtop zilizokuwa na Watu wenye Silaha Kwa Vipigo Vikubwa.

Wakiwa ndani ya ile gari ya Watekaji wao, Walishuhudia watekaji Wengine Wakipanda zile Gari na Kuzivuta Kurudi Boma Ng'ombe. Wao wakapigwa Vitambaa Usoni wasione.

Junior na Mwenzie Walikuja Kuvuliwa Vitambaa ndani ya fensi ya Mkuu wa Wilaya,Jenerali Ole Sabaya.

Waliteswa na Kupigwa sana hadi Majira ya Jioni ya Saa 12,Walitolewa wakaenda Kutelekezwa palepale walipochukuliwa Mwanzo.

Hatua yao ya Kwanza ilikuwa kwenda Polisi Kuripoti kwa OCD. Junior na Mwenzie walipokuwa Kituoni Kutoa Maelezo Polisi (OCD), alikana Kuhusika na tukio hilo Kabisa.

Lakini pale polisi wakiwa wanaongea na OCD, OCD alitaarifiwa kuwa Magari wanayo ya tafuta Junior na mwenzie yameonekana Maeneo ya nje ya Mji wa Sadala.

Junior,Mwenzie na baadhi ya Polisi walienda Kuyatambua Magari
lakini kwa bahati mbaya walikuta Yameibiwa matari mapya wakaweka ya zamani,Taa za Magari,Redio zote ziliibiwa.

Injini zote waliweka maji na chumvi sehemu ya Oil ili yafe kabisa.
Wale Polisi wakaondoka Wakamuacha Junior na Mwenzie

Gari zote mbili ambazo ni mali za Mbowe zilikuwa zimeharibika Vibaya Sana

Hakuna Kesi Iliyoendele pale Kituo cha Polisi Wilaya ya Hai wala Hakuna aliye kamatwa na Polisi kuhusika na makosa hayo.

Ford Ranger Mpaka sasa haijafanikiwa Kupona,lakini ile Land rover imerudi Barabarani.
 
Corona ilitufaa sana Watanzania
 
Bora lilikufa lile haramia, just imagine viongozi wa opposition parties (in particular CDM) wanaongea na rais kiustaarabu huku wakitofautiana mitazamo ya kisiasa.

This was unthinkable enzi zile za giza ambapo kuuawa, kutekwa, kuteswa, kunyang'anywa au kuharibiwa mali zako kama una mitazamo tofauti ya kisiasa na utawala ilikuwa ndiyo kawaida.

Zimwi lile lilisababisha mpasuko mkubwa sana katika nchi hata kufikia watu(baadhi) kufurahia wenzao wakiuawa, wakijeruhiwa, wakiporwa biashara zao au wanapofanyowa unyama mwingine wowote.

Paliibuka kundi la untouchables kama hao akina Sabaya, Musiba, Makonda na wengineo wengi ambao kwenye zama hizo walikuwa juu ya sheria za nchi kwani waliweza kufanya lolote, kumtukana yoyote au kumzushia mtu chochote na polisi waliwaogopa wakijua ya kuwa ni vijana wa Zimwi.

Lile Zimwi life tena huko lilipo, ingepangwa hata ratiba ya watu kuwa wanapiga fimbo kaburi lake au watu wawe wanakunya pale au pawe dumping site.
 
LEO TENA KTK UNTOLD STORIES OF ZAMA ZA GIZA by Boniface Jacob

Tuelekee huko Kaskazini Mwa Tz, Mkoani Kilimanjaro,Wilaya ya Hai.
Ilikuwa Siku ya Ijumaa ya Tarehe 30 October 2020 ikiwa ni Siku 2 tuh baada ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Kufuatia Kuharibika kwa Uchaguzi Jimbo la Hai, Mwenyekiti Freeman Mbowe aliondoa Mawakala wake wa Chadema ktk Jimbo la Hai,Saa 3 Asubuhi katika Vituo Vyote Vya Kupiga na kuhesabu kura.

Na hatua Iliyofuata ilikuwa ni kutawanya Kambi yake ya Uchaguzi iliyokuwa Aishi Machame,Watu warejee majumbani na Kwenye majukumu yao.

Basi bhanaaa,Kijana mmoja aitwaye Junior ambaye alikuwa ni Dereva katika Kampeni za Mbowe Ktk Jimbo la Hai, alipangiwa Jukumu la kupeleka gari aina ya Land Rover Defender TDI gereji Arusha ambayo Siku moja wakiwa kwenye Kampeni waliikuta ina Dalili ya Kuwekewa chumvi kwenye Injini.

Basi Junior akafanya kama alivyo elekezwa. Akachukua gari nzima nyingine Ford Ranger nyeupe aweze kuvuta Land Rover Defender TDI kwenda gereji huko Arusha.

Akamchukua Kijana Mwengine wa Chadema apande kwenye Land Rover kwa ajili Kusaidia inapokuwa inavutwa Barabarani.

Basi Junior na Mwenzie walipokuwa Wanatoka na Magari yanayovutana Aishi Machame Kushika njia kuu ya Kwenda Arusha, Pale maeneo ya Mashine Tools wakapishana na msafara wa Mkuu wa Wilaya,Si Mwingine ni Jenerali Ole Sabaya.

Wakaogopa Kidogo lakini ule Msafara uliwapita kwa Kasi. Junior na Mwenzie waliendelea Kujikongoja kwa Kuvutana wakielekea Arusha.

Walipofika nje Kidogo ya Mji wa kwa Sadala, Sehemu inaitwa kwa Wauza Mboga, Zilikuja gari mbili za Landcruiser Hardtop kama wanazo tumia Polisi zikiwa na namba za nje ya Nchi Walishuka watu wenye Bunduki.

Junior na mwenzie Wakapandishwa katika zile Landcruiser Hardtop zilizokuwa na Watu wenye Silaha Kwa Vipigo Vikubwa.

Wakiwa ndani ya ile gari ya Watekaji wao, Walishuhudia watekaji Wengine Wakipanda zile Gari na Kuzivuta Kurudi Boma Ng'ombe. Wao wakapigwa Vitambaa Usoni wasione.

Junior na Mwenzie Walikuja Kuvuliwa Vitambaa ndani ya fensi ya Mkuu wa Wilaya,Jenerali Ole Sabaya.

Waliteswa na Kupigwa sana hadi Majira ya Jioni ya Saa 12,Walitolewa wakaenda Kutelekezwa palepale walipochukuliwa Mwanzo.

Hatua yao ya Kwanza ilikuwa kwenda Polisi Kuripoti kwa OCD. Junior na Mwenzie walipokuwa Kituoni Kutoa Maelezo Polisi (OCD), alikana Kuhusika na tukio hilo Kabisa.

Lakini pale polisi wakiwa wanaongea na OCD, OCD alitaarifiwa kuwa Magari wanayo ya tafuta Junior na mwenzie yameonekana Maeneo ya nje ya Mji wa Sadala.

Junior,Mwenzie na baadhi ya Polisi walienda Kuyatambua Magari
lakini kwa bahati mbaya walikuta Yameibiwa matari mapya wakaweka ya zamani,Taa za Magari,Redio zote ziliibiwa.

Injini zote waliweka maji na chumvi sehemu ya Oil ili yafe kabisa.
Wale Polisi wakaondoka Wakamuacha Junior na Mwenzie

Gari zote mbili ambazo ni mali za Mbowe zilikuwa zimeharibika Vibaya Sana

Hakuna Kesi Iliyoendele pale Kituo cha Polisi Wilaya ya Hai wala Hakuna aliye kamatwa na Polisi kuhusika na makosa hayo.

Ford Ranger Mpaka sasa haijafanikiwa Kupona,lakini ile Land rover imerudi Barabarani.
Kila ubaya utalipwa
 
Na ndio maana yule jamaa ilivyotangazwa kuwa ametwaliwa.. Kuna watu walichanganyikiwa..

Wale task force ya TRA.. Wengi wao sasa hivi wanakula mishahara yao tuu...
Wakati wa giza Task force mmoja analaza ndani kati ya million 3- 5 .. Yaani unafanya biashara anakuja na makadirio ya miaka 7 nyuma anakwambia hii clearance uliyolipia ilikuwa kidogo...

Unakadiriwa upya na faini juu unaambiwa lipia 48 m... Kumbe wao wanataka uwabembeleze mshuke hadi 30 m... Kwakuwa wameshaona salio lako benki...
Ukikubaliana 30 m ...wao wanakwambia lipia 10 m na hii 20m ni yakwetu.. Hapo wapo kama 6 hivi na askari.. Wanagawana...

Huu ulikuwa ujambazi mkubwa sana kwa raia wa Tanzania..

Watu walikimbilia nchi jirani kwa ujinga huu.. Na usipolipa unapewa uhujumu uchumia/ utakatishaji nk..
 
Inasikitisha sana

Halafu unamkuta mtu analaumu maafikiano yanayoendelea kati ya chadema na ccm akilaumu kwa kejeri kuwa ni walamba asali.

Watu hasa wasukuma gang wanatamani hali hiyo ingeendelea hapa nchi kwetu kwa miongo kadhaa, watu wakitekwa, wakiuwawa,

Kifupi dhehebu la samia ndilo linaloileta hii amani kwani mafundisho ya dini yake yanamfanya aziogope siasa za dictator JPM the devil

Dictator JPM the devil alikuwa ni shida kama angeendelea kuishi, he was a real devil
 
LEO TENA KTK UNTOLD STORIES OF ZAMA ZA GIZA by Boniface Jacob

Tuelekee huko Kaskazini Mwa Tz, Mkoani Kilimanjaro,Wilaya ya Hai.
Ilikuwa Siku ya Ijumaa ya Tarehe 30 October 2020 ikiwa ni Siku 2 tuh baada ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Kufuatia Kuharibika kwa Uchaguzi Jimbo la Hai, Mwenyekiti Freeman Mbowe aliondoa Mawakala wake wa Chadema ktk Jimbo la Hai,Saa 3 Asubuhi katika Vituo Vyote Vya Kupiga na kuhesabu kura.

Na hatua Iliyofuata ilikuwa ni kutawanya Kambi yake ya Uchaguzi iliyokuwa Aishi Machame,Watu warejee majumbani na Kwenye majukumu yao.

Basi bhanaaa,Kijana mmoja aitwaye Junior ambaye alikuwa ni Dereva katika Kampeni za Mbowe Ktk Jimbo la Hai, alipangiwa Jukumu la kupeleka gari aina ya Land Rover Defender TDI gereji Arusha ambayo Siku moja wakiwa kwenye Kampeni waliikuta ina Dalili ya Kuwekewa chumvi kwenye Injini.

Basi Junior akafanya kama alivyo elekezwa. Akachukua gari nzima nyingine Ford Ranger nyeupe aweze kuvuta Land Rover Defender TDI kwenda gereji huko Arusha.

Akamchukua Kijana Mwengine wa Chadema apande kwenye Land Rover kwa ajili Kusaidia inapokuwa inavutwa Barabarani.

Basi Junior na Mwenzie walipokuwa Wanatoka na Magari yanayovutana Aishi Machame Kushika njia kuu ya Kwenda Arusha, Pale maeneo ya Mashine Tools wakapishana na msafara wa Mkuu wa Wilaya,Si Mwingine ni Jenerali Ole Sabaya.

Wakaogopa Kidogo lakini ule Msafara uliwapita kwa Kasi. Junior na Mwenzie waliendelea Kujikongoja kwa Kuvutana wakielekea Arusha.

Walipofika nje Kidogo ya Mji wa kwa Sadala, Sehemu inaitwa kwa Wauza Mboga, Zilikuja gari mbili za Landcruiser Hardtop kama wanazo tumia Polisi zikiwa na namba za nje ya Nchi Walishuka watu wenye Bunduki.

Junior na mwenzie Wakapandishwa katika zile Landcruiser Hardtop zilizokuwa na Watu wenye Silaha Kwa Vipigo Vikubwa.

Wakiwa ndani ya ile gari ya Watekaji wao, Walishuhudia watekaji Wengine Wakipanda zile Gari na Kuzivuta Kurudi Boma Ng'ombe. Wao wakapigwa Vitambaa Usoni wasione.

Junior na Mwenzie Walikuja Kuvuliwa Vitambaa ndani ya fensi ya Mkuu wa Wilaya,Jenerali Ole Sabaya.

Waliteswa na Kupigwa sana hadi Majira ya Jioni ya Saa 12,Walitolewa wakaenda Kutelekezwa palepale walipochukuliwa Mwanzo.

Hatua yao ya Kwanza ilikuwa kwenda Polisi Kuripoti kwa OCD. Junior na Mwenzie walipokuwa Kituoni Kutoa Maelezo Polisi (OCD), alikana Kuhusika na tukio hilo Kabisa.

Lakini pale polisi wakiwa wanaongea na OCD, OCD alitaarifiwa kuwa Magari wanayo ya tafuta Junior na mwenzie yameonekana Maeneo ya nje ya Mji wa Sadala.

Junior,Mwenzie na baadhi ya Polisi walienda Kuyatambua Magari
lakini kwa bahati mbaya walikuta Yameibiwa matari mapya wakaweka ya zamani,Taa za Magari,Redio zote ziliibiwa.

Injini zote waliweka maji na chumvi sehemu ya Oil ili yafe kabisa.
Wale Polisi wakaondoka Wakamuacha Junior na Mwenzie

Gari zote mbili ambazo ni mali za Mbowe zilikuwa zimeharibika Vibaya Sana

Hakuna Kesi Iliyoendele pale Kituo cha Polisi Wilaya ya Hai wala Hakuna aliye kamatwa na Polisi kuhusika na makosa hayo.

Ford Ranger Mpaka sasa haijafanikiwa Kupona,lakini ile Land rover imerudi Barabarani.

So sad
 
Back
Top Bottom