Kenya: 'Wasiojulikana' wavamia Studio za Redio na Bunduki huku kipindi kikiendelea

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Untitled-design-%2844%29-og_image.webp

Watangazaji wa Kituo cha Redio cha Mwinjoyo FM kutoka Nakuru Nchini Kenya wamejikuta kwenye wakati mgumu baada ya wanaume waliovalia nguo nyeusi na Viziba Sura kuwataka wazime matangazo na kulala chini.

Baada ya maagizo hayo waliwataka Watangazaji kueleza kama kuna mtu mwingine kwenye jengo la Redio na pia kama ndan kuna mfumo wa Kamera za CCTV.

Kamanda wa Polisi wa Nakuru, Martin Wekesa amethibitisha kuripotiwa kwa tukio hilo na kueleza kuwa tayari uchunguzi umeanza bila kueleza taarifa zaidi kuhusu kilichotokea.

=============

A radio station in Nakuru County was reportedly robbed while presenters were live on air on Thursday night.

The robbery at the Mwinjoyo FM studios, which was caught on camera in a now viral video, occurred as the presenters were going about their show normally.

Midway through the video, a group of gun-wielding men in dark clothing and masks are seen storming the studio and ordering the presenters to switch off the transmission and lie on the floor.

At some point, one of the thugs confronts one of the presenters who is already lying down, asking them “nini unafanya wewe?” (what are you doing?) before stepping on them.

They then proceed to query the presenters on whether there is somebody else in the premises, presumably at an office upstairs, and whether there are CCTV cameras installed.

Nakuru East OCPD Martin Wekesa has since confirmed the incident, adding that it was already reported and a probe is underway.

CITIZEN DIGITAL
 
Back
Top Bottom