kukwepa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kukwepa kwao hata kutaja neno ‘mauaji’ ni jibu tosha kabisa

    Leo imezinduliwa tume nyingine kuhusu kilichotokea Oktoba 29! Sijui hizo tume zinazohusu Oktoba 29 zimefika ngapi na sijui ngapi zitaendelea kuundwa. Hii ya leo inaitwa “Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria” katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Huwezi Kukwepa Historia Hii na Ukabakia na Historia ya TANU

    Wajenzi Halisi" wa Tanganyika "Harakati hizi za kudai uhuru zimeanza Dar es Salaam Kariakoo Gerezani... na walioanzisha hizi harakati ni wazee wangu." "Mbona hizi historia zimepishana hivi?" (Swali la kijana aliyesoma historia shuleni dhidi ya maelezo ya Mohammed Said). "Mbona mnaweka historia...
  3. bless on

    JamiiForums Tanzania Siri 3 za Mabilionea Kukwepa Kodi Kisheria

    Kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuwa maskini, kuwa mtu wa kipato cha kati, na kuwa billionaire. Mfanyakazi wa kawaida wa kila siku anayeamka asubuhi kwenda kupambana chini ya jua akipata mshahara au faida ya duka, serikali inakata kodi yake kabla hata hajaigusa. Lakini matajiri wakubwa duniani...
  4. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kama Kuna mbinu za kukwepa kifo Cha mapema

    Sijachanganyikiwa lakini nimefikiria TU maana sielewi kuishi ni bahati au Kuna Nini. Mbona Toka kuzaliwa kwangu nimezika na kusikia misiba mingi. Je? Kuishi ni bahati TU. Maana kama mabasi nimepanda Sana pikipiki boti kutembea Kwa miguu barabarani kuogelea nk. Kwanini Bado naishi?
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeharibu maadili ya Taifa letu. Siasa zao zimejikita kwenye matusi, upotoshaji, vurugu na ufitinishaji; kama Taifa tuseme NO

    Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema. Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema. Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani Raphael Tuju aliyedaiwa kutekwa alikuwa amejificha kukwepa madeni

    Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) imemtia nguvuni Waziri wa Zamani Nchini Kenya, Raphael Tuju, ambaye Familia yake ilidai ametekwa kabla ya kujitokeza na kukiri alikuwa mafichoni siku ya Jumamosi baada ya kuhisi kuwa kuna watu waliokuwa wakimfuata. Akizungumza baada ya Tuju kuonekana...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Asiyekuwepo na lake halipo Samia kukwepa kumbukizi la Magufuli

    Kwa namna hayati John Pombe Magufuli alivyomtengeneza Samia Suluhu Hassan kIsiasa, wengi walidhani angekuwa mstari wa mbele kuhudhuria kumbukumbu yake. Kweli, binadamu tu viumbe wenye kusahau kirahisi na haraka. Kwanini Samia hakuhudhuria kumbukumbu ya mwendazake? Ama kweli, asiyekuwepo na...
  8. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Paul Dirac Alitaka kuikataa Tuzo ya Nobel kwasababu ya kuona Aibu na kukwepa attention na umaarufu

    ‎ Paul Dirac anajulikana kama mmoja wa waanzilishi wakuu wa quantum mechanics, lakini simulizi za watu waliomfahamu zinaonyesha alikuwa mtu mwenye aibu sana na aliyekwepa attention na umaarufu kwa gharama yoyote. ‎ ‎Katika kumbukumbu na wasifu wake zilizohifadhiwa Cambridge alipokua...
  9. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Je, Kukosekana kwa Uadilifu wa Kitaaluma katika Taasisi za Dini ni Sababu ya Wanaume Kukwepa Ibada?

    Wanabodi katika jamii yetu, taasisi za dini zimekuwa zikitarajiwa kuwa mfano wa maadili mema, uadilifu, uwajibikaji na haki. Hata hivyo, katika miaka ya karibuni kumekuwepo na malalamiko ya wazi na ya siri kuhusu baadhi ya viongozi wa dini kujihusisha na vitendo vinavyokwenda kinyume na misingi...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Sasa turudi kuijenga nchi TRA iwe jeshi usu, hakuna mwananchi wa kukwepa kulipa kodi

    Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi. Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye...
  11. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Polisi yakanusha Magari kuhamishwa Tunduma kukwepa hasara wakati wa maandamano

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limekanusha taarifa zinazosambazwa mtandaoni kuwa magari yanahamishwa kutoka Tunduma ili kukwepa hasara, na kwamba taarifa hizo zinalenga kuleta hofu kwa umma. Aidha, limetoa onyo kali kwa wote wanaotengeneza na kusambaza taarifa za upotoshaji.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kukwepa aibu: Sefue, Chande na Mwema jitoeni kwenye tume fake

    Kukwepa aibu: Sefue, Chande na Mwema jitoeni kwenye tume fake. Kesho CNN wanatoa report yao ya mauaji Dunia nzima. Je ni nani atawapa viza, nani atawapa kazi za kimataifa na mtabaki kuonekana ni machawa na kuvunja heshima zetu mlizojenga kwa muda mrefu
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, waziri mkuu anajikomba kujifanya anatembelea hospitali kwa kushtukiza ili kukwepa ghasia za wananchi

    je, waziri mkuu haramu anajikomba kijifanya anatembelea hospital kwa kushtukiza ili kukwepa ghasia za wananchi. Mimi nafikiri huu ndio mwisho wake hawezi kutembelea wananchi uso kwa uso nchi imeshagawanyika hii. Hayupo na hata kuwepo mtu atakaye kuwa na ubavu wakuingia mitaani kwa watu ambao...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Njoo tuchat Kwa code ili kukwepa kesi za uhaini

    Kupewa kesi ya uhaini huko nchini Azabaijan ni jambo kawaida Wahuni wamekuwa wakidukua sms za kawaida na chatting za Whatsapp, Nawapa mbinu mpya za group letu Mfano maneno 9D Kutembelea Sister p 00001 77777p Mrembo p 3337j S pq6 j 37 TLTq81m 🔥 TK Yuf5d1 N K T 0 R V F y W A Tj 💣 M 3 k 7 😹 N...
  15. SuperEnthusiasis

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kutumia mbinu hii kukwepa kodi na tozo kwa biashara yangu mpya.

    HAbari zenu wakuu. Binafsi nataka nimfungulie mama watoto biashara, basi nikatarget sehemu fulani kwa ajili ya biashara hiyo. katika kufanya maulizo ya hapa na pale nikaambiwa natakiwa niwe na kama milioni nane(8) ili niweze kumvua mtu fremu, bado tra, pia kodi ya hiyo fremu ni 300k kwa mwezi...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Udini Dhidi ya Maaskofu ni Hoja Potoshi za Mafisadi wa CCM Kukwepa kuambiwa ukweli

    GT Hawa viongozi wetu maaskofu hawajawahi kupoa hasa linapokuja swala la uadilifu na kutenda haki, huwa hawacheki na yeyote. Hivi sasa kumeibuka hoja kwamba eti ni wadini this is BIG NO kiufupi hawa jamaa siyo wanafiki. Mafisadi wanakuja na propaganda hii kukwepa kusikia Ukweli. Kama ingekuwa...
  17. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Tushauri vijana tunaotaka kukuza mitaji, tufanye nini ili kukwepa matumizi ya pesa yatokanayo na msukumo wa kihisia/ngono?

    Nakumbuka nilikuwa nauza mtumba, mtaji wangu ulikuwa 50k nikiyumba unapungua kidogo nikiwa vizuri unaongezeka kidogo. Kimsingi faida yangu ilikuwa kati ya 6,000 hadi 12,000. Basi bwana nikampata bonge la mdada chibonge mrefu na mweusi. Kufupisha stori Baada ya wiki tu mtaji ulikata. Kuna...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Jemedari wa Iran akionesha namna ya kukwepa Mabomu ya Israel na Marekani

    Huyu ana demonstrate kitaalamu jinsi ya kukwepa wasiuliwe na mabomu ya makafir ya Mayahudi na Mamarekani kwa kupiga msamba aka kusambika. Hii mbinu imeonekana ni nzuri na inafaa. Na ukimwangalia jemedari. Si haba. Mashallah.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa "system" kutumia mbinu zao zote kukwepa hii mitego miovu ya WEST (US) kuhusu nchi yetu.

    Wakuu kwa sasa sio siri tena kwamba wamarekani wanasukuma kete zao kwa umakini mkubwa kutimiza agenda zao ovu dhidi ya nchi yetu. Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya hadi sasa. Martha Karua, Boniface Mwangi na hao wanaharakati wengine wanatumika tu kwenye hii mikakati ya wamarekani. Tayari US...
  20. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kukwepa deni kwenye account Yangu.?

    Nilikopa boom advance bhana, Sasa hili boom ndio la mwisho na hela ikiingia tu kwenye account inakatwa automatically na system Wazee wa IT nitumie njia gani kukwepa deni hili ??
Back
Top Bottom