Kumbe wasiojulikana bado wako kazini?

sammosses

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,682
1,110
Pamoja na utawala wa mwendazake kutamatika, bado mbinu chafu zinazoongeza hofu dhidi ya wnanchi na mali zao zinaendelea kwa kasi.

Takribani wiki moja sasa imepita,siku ya Ijumaa iliyopita watu wasiojulikana wakiwa na gari nyeusi tinted, walimteka kijana mmoja mwendesha Toyo, maeneo ya kwa Mathias Kibaha na kumtupia kwenye buti ya gari na kuondoka naye. Kijana huyo kwa jina anaitwa Shahibu Saidi, mkazi wa mtaa wa Bungo, mwenye imani ya dini ya kiislamu dhehebu la Sunni.

Ndugu wa mhanga huyo wamejaribu kufuatilia vituo vyote vya polisi Kibaha bila mafanikio kwa kuambiwa kuwa,Jeshi la Polisi Wilayani Kibaha halina taarifa hizo. Hili ni tukio la kumi ndani ya wiki mbili sasa,likiwalenga vijana hao wa Kisunni.

Matokeo kama haya yanaongeza hofu kwa wananchi na familia zao, lakini yamezua taharuki kubwa kwanini walengwa wanekuwa ni vijana wenye imani ya kiislamu dhehebu la Sunni tu.

Nachukua fursa hii kuhisihi serikali ya JMT kulitazama kwa umakini mkubwa jambo hili,kwani licha ya kuongeza hofu kwa wananchi linaongeza chuki ya wananchi dhidi ya serikali yao. Pia niwakumbushe kuwa madaraka na mamlaka ya serikali yatatoka kwa wananchi na msingi mkuu wa serikali ni ustawi kwa wananchi wake,kama nchi haikaliki ni mbadala wa kuwahakikishia amani wananchi.

#bringbackShahibunawenzake
#peaceandharmony
 
MKUU

Usishangae Sana, Tawala zote WATU wa system wapo Sana macho!!

Kuna alerts kutoka ubalozi wa america kuhusu Hali ya usalama lilitolewa hapo kabla!

Sasa kama una Ndugu MWENYE dhehebu hilo mwambie akae kwa uzalendo ZAIDI!

YAANI kuna ujasusi wa kidola na kitaifa!

Kuna WADOGO zangu wa kiislamu huwa nawaambia WAWE MAKINI na mienendo yao!

Hasa jinsi wanavoratibu maisha yao ya KILA siku!!

Tuwe makini, system ipo kazini kufanikisha usalama wetu!
 
Kama anajihusisha na siasa kali za mrengo wa makhawaarij basi usihangaike hata kumuulizia, watu watii utawala uliotawalishwa juu yao, muda wa kuwa hawajatuamrisha kufanya madhambi na maovu.

But usichafue masunni kwasababu hayo mambo ya extremism hujificha nyuma ya usunni lakini hawana fungu huko.
 
Pamoja na utawala wa mwendazake kutamatika,bado mbinu chafu zinazoongeza hofu dhidi ya wnanchi na mali zao zinaendelea kwa kasi.

Takribani wiki moja sasa imepita,siku ya Ijumaa iliyopita watu wasiojulikana wakiwa na gari nyeusi tinted,walimteka kijana mmoja mwendesha Toyo,maeneo ya kwa Mathias kibaha,na kumtupia kwenye buti ya gari na kuondoka naye. Kijana huyo kwa jina anaitwa Shahibu Saidi,mkazi wa mtaa wa Bungo,mwenye imani ya dini ya kiislamu dhehebu la Sunni.

Ndugu wa mhanga huyo wamejaribu kufuatilia vituo vyote vya polisi Kibaha bila mafanikio kwa kuambiwa kuwa,Jeshi la Polisi Wilayani Kibaha halina taarifa hizo. Hili ni tukio la kumi ndani ya wiki mbili sasa,likiwalenga vijana hao wa Kisunni.

Matokeo kama haya yanaongeza hofu kwa wananchi na familia zao,lakini yamezua taharuki kubwa kwanini walengwa wanekuwa ni vijana wenye imani ya kiislamu dhehebu la Sunni tu.

Nachukua fursa hii kuhisihi serikali ya JMT kulitazama kwa umakini mkubwa jambo hili,kwani licha ya kuongeza hofu kwa wananchi linaongeza chuki ya wananchi dhidi ya serikali yao. Pia niwakumbushe kuwa madaraka na mamlaka ya serikali yatatoka kwa wananchi na msingi mkuu wa serikali ni ustawi kwa wananchi wake,kama nchi haikaliki ni mbadala wa kuwahakikishia amani wananchi.
#bringbackShahibunawenzake
#peaceandharmony
Chama kimeshika hatamu
 
Kuna wapuuzi waliwaaminisha kwamba yale yalikuwa maagizo ya magufuli,tunaojua haya tunajua yapo toka enzi,na hayahusiani na rais wala waziri mkuu au kiongozi yeyote wa muhimili.

Ni matokeo tu ya kazi mbali mbali zinazoendelea,za kiusalama nk.
 
Usalama kwanini uteke wananchi,kwanini usitumie njia ya kiungwana na kuwakamata kama wana mashaka nao,ili familia zao ziweze kujua ndugu zao wamehifadhiwa wapi. Kinachofanyika ni kuzua taharuki pasi na sababu. Wananchi wakinyamaza ndiyo wamepotea kabisa,just imagine Mtanzania eti usalama ana mteka Mtanzania mwenzake raia halali,hii haingi akilini abadani

Mmefungua kesi polisi? Mpelelezi wake anasemaje? Kama mpelelezi na yeye anakwepesha kwepesha basi ujue ni watu wasiojulikana kama anatoa ushirikiano katika kumtafuta basi jua kuna kitu kingine huyo jamaa yenu kawafanyia watu wengine.
 
Angekuwa mmoja sawa,idadi imefika kumi wamenyakuliwa kwa style moja,kuna mmoja aliwauliza vipi mbona mnateka ndugu yangu,wakasema wao askari polisi,lakini hawakuwa kwenye uniform ya kazi,jamaa alipokomaa nao wakachomoa bisibisi kweny boda boda yake wakamwambia tutakuuwa acha kutifuatilia ikabidi jamaa akimbie. Hii hatari.
 
Wote ni waislam? Weka majina yao Askofu Mwamakula apaze sauti.
 
Kuna wapuuzi waliwaaminisha kwamba yale yalikuwa maagizo ya magufuli,tunaojua haya tunajua yapo toka enzi,na hayahusiani na rais wala waziri mkuu au kiongozi yeyote wa muhimili.

Ni matokeo tu ya kazi mbali mbali zinazoendelea,za kiusalama nk.
Magufuli alikuwa anamiliki kundi la WASIOJULIKANA yeye mwenyewe likiongozwa na Makonda, Musalika Makungu, Heri Kisanduku, Bwire, Sabaya.
 
Magufuli alikuwa anamiliki kundi la WASIOJULIKANA yeye mwenyewe likion. N gozwa na Makonda, Musalika Makungu, Heri Kisanduku, Bwire, Sabaya.

Awamu yetu pendwa sana ya nne.

Ulimboka alingolewa meno kwa nyundo , kibanda kumwagiwa tindikali na mwandishi wa habari kuuwawa kwa kulipuliwa bomu tumboni.

Hayo ni moja wapo ya mafanikio ya awamu ya nne.
 
Hao wote uliowataja angalao hata ripoti za uchunguzi au faili la Polisi lilifunguliwa. Na kwa mwandishi Mwangosi hata watu walifikishwa Mahakamani.

Ila yule aliyemiliki kikosi cha WASIOJULIKANA hakuna uchunguzi wala RB ya yeyote kati ya matukio ya Tundu Lissu, Ben Sanane, Azzory Gwanda na wale wa kwenye viroba
 
Pamoja na utawala wa mwendazake kutamatika, bado mbinu chafu zinazoongeza hofu dhidi ya wnanchi na mali zao zinaendelea kwa kasi.

Takribani wiki moja sasa imepita,siku ya Ijumaa iliyopita watu wasiojulikana wakiwa na gari nyeusi tinted, walimteka kijana mmoja mwendesha Toyo, maeneo ya kwa Mathias Kibaha na kumtupia kwenye buti ya gari na kuondoka naye. Kijana huyo kwa jina anaitwa Shahibu Saidi, mkazi wa mtaa wa Bungo, mwenye imani ya dini ya kiislamu dhehebu la Sunni.

Ndugu wa mhanga huyo wamejaribu kufuatilia vituo vyote vya polisi Kibaha bila mafanikio kwa kuambiwa kuwa,Jeshi la Polisi Wilayani Kibaha halina taarifa hizo. Hili ni tukio la kumi ndani ya wiki mbili sasa,likiwalenga vijana hao wa Kisunni.

Matokeo kama haya yanaongeza hofu kwa wananchi na familia zao, lakini yamezua taharuki kubwa kwanini walengwa wanekuwa ni vijana wenye imani ya kiislamu dhehebu la Sunni tu.

Nachukua fursa hii kuhisihi serikali ya JMT kulitazama kwa umakini mkubwa jambo hili,kwani licha ya kuongeza hofu kwa wananchi linaongeza chuki ya wananchi dhidi ya serikali yao. Pia niwakumbushe kuwa madaraka na mamlaka ya serikali yatatoka kwa wananchi na msingi mkuu wa serikali ni ustawi kwa wananchi wake,kama nchi haikaliki ni mbadala wa kuwahakikishia amani wananchi.

#bringbackShahibunawenzake
#peaceandharmony
Sema pia ndio hao wa dhehebu hilo waliobize kuongoza vikundi vya kigaidi huko msumbiji
 
Usalama kwanini uteke wananchi,kwanini usitumie njia ya kiungwana na kuwakamata kama wana mashaka nao,ili familia zao ziweze kujua ndugu zao wamehifadhiwa wapi. Kinachofanyika ni kuzua taharuki pasi na sababu. Wananchi wakinyamaza ndiyo wamepotea kabisa,just imagine Mtanzania eti usalama ana mteka Mtanzania mwenzake raia halali,hii haingi akilini abadani

Ingekuwa rahisi namna hiyo kutekwa hata mimi ningeshatekwa.
 
Kuna wapuuzi waliwaaminisha kwamba yale yalikuwa maagizo ya magufuli,tunaojua haya tunajua yapo toka enzi,na hayahusiani na rais wala waziri mkuu au kiongozi yeyote wa muhimili.

Ni matokeo tu ya kazi mbali mbali zinazoendelea,za kiusalama nk.
NAKAZIA.
 
Back
Top Bottom