Je, wasiojulikana walichangia chochote kwenye upatikanaji wa Fedha awamu ya Tano?Je, waliopotezwa thamani Yao inaweza kulinganishwa na miradi?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Awamu iliyopita kuliibuka kikundi cha wasiojulikana, wanapewa nguvu kubwa kiasi kwamba binadamu walioripotiwa kupotea au kutokuonekana au kutekwa vyombo havikuona umuhimu wakuwatafuta Kwa kigezo kwamba wamejiteka wenyewe.

Kisiasa tulielezwa kwamba KAZI NI moja Tu, miradi ya maendeleo. Hakuna value ya fedha ya miradi iliyoweza kusubiri kisa kuna MTU kafa au kateleza; rasilimali zilielekezwa kwenye miradi na siyo walioitwa wasiojulikana.

Swali, tunaamini miradi hiyo ilikuwa na thamani kuliko uhai WA binadamu wenzetu? Waliohusika wasamehewe just Kwa Sababu kuna miradi ilikuwa inafanyika? Je, Nani akitekwa au akapoteza maisha Ndipo tutatambua kwamba uhai hauna replacement?
 
Back
Top Bottom