mhasibu

 1. M

  TANZIA Mfanyabiashara Subhash Patel (mmiliki wa Hoteli za Sea Cliff na White Sands) afariki Dunia

  Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa Mabilionea wachache nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel inadaiwa amefariki leo. UPDATES: MFANYABIASHARA maarufu wa Tanzania ambae ni Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group, Subhash Patel...
 2. Money Penny

  Usiombe ukatolewa out na Mwanaume Mhasibu

  Jamani wahasibu wenzangu mnafeli wapi? Nipo na mrembo kawe Leo, mara akapita Kaka mmoja rafkiangu akasonya. Nikamwuliza shida nini, jibu nililojibiwa sikuamini Mrembo: huyu Kaka bwana alinitoa out weekend, nikaenda nae huko Kwa hotel, tumeongea vizuri, tumekuwa, tumekunywa, tumefurahi...
 3. D

  Mapokezi na Mhasibu anatakiwa Lahe Hotels

  Hotel ya Lahe Mwanza inazo nafasi za receptionist 2 barman 1 mhasibu 1 na records 1. Tafadhali tuma maombi yako kabla ya tarehe15.10.2020 kwa HR Manager kwa email lahehotels@gmail.com au slp 6129 Mwanza. Mshahara majadiliano.
 4. Nyendo

  Mhasibu wa zahanati ya Tambukareli mbaroni kwa kuisababishia serikali hasara ya Tsh. Milioni 14

  Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Temeke Jijini Dar es salaam imefanya uchunguzi dhidi ya mhasibu wa zahanati ya Tambukareli iliyopo katika kata ya Azimio, kwa makosa yafuatayo: (1) Kuisababishia hasara serikali kinyume na kifungu namba 284 cha sheria ya kanuni ya adhabu sura...
 5. dubu

  Kisutu: Mhasibu wa Ubalozi wa Tanzania nje ya Nchi, kupandishwa Kizimbani

  Wakuu, TAKUKURU kwa kushirikiana na DPP mchana huu wanatarajia kumfungulia kesi mhasibu wa moja ya ubalozi wa Tanzania nje ya nchi. Bado jina la Mtuhumiwa na Ubalozi anaofanyia kazi haujawekwa wazi. Stay tuned.
 6. JIMZ GROUP

  Finance Assistant at Jimz Technologies Co. Ltd

  Job Title: Finance Assistant Company overview: Jimz Technologies Co. Ltd is a Technology Company, delivering technology-driven solutions and hardware that meet the strategic objectives of our clients. We deliver unmatched business value to our customers through a combination of processes that...
Top Bottom