yathibitisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waititu Kurudi Gerezani: Mahakama Kuu Yathibitisha Kifungo Na Yafungua Tena Mlango wa Mashtaka ya Utakatishaji Fedha

    Aliyekuwa Gavana wa Kaunti ya Kiambu Ferdinand Waititu, maarufu Baba yao, mkewe Susan Wangari Ndungu na washirika wao wamepata pigo tena baada ya Mahakama Kuu kuthibitisha hukumu zao katika rufaa iliyohusiana na ufisadi wa mkataba wa barabara wa shilingi milioni 588. Katika uamuzi uliotolewa...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Yathibitisha Kisa cha Kwanza cha Ebola Nairobi mtu mmoja afariki

    Kenya imethibitisha kisa cha kwanza cha Ebola nchini, huku Wizara ya Afya ikisema kisa hicho ni cha mtu aliyeingia nchini kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Waziri wa Afya, Aden Duale, alisema mgonjwa huyo ni raia wa Kenya ambaye amekuwa akiishi nchini DRC kwa miaka saba. Kwa...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TMA yathibitisha El Nino, mvua za awali zimeanza

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema hali ya El Nino nchini inaendelea kuimarika, huku kilele chake kikitarajiwa kufikiwa katika kipindi cha Novemba na Desemba. Ofisa Habari wa TMA, Ramadhan Omary katika taarifa yake Jumapili, Septemba 27, 2026, kwamba El Niño tayari imejijenga na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania DRC yathibitisha Tanzania kumkamata Mwanaharakati Denise Dusauchoy na kutoa shukrani

    Wizara ya Sheria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetoa taarifa rasmi ikithibitisha kukamatwa kwa Denise Dusauchoy nchini Tanzania tarehe 30 Agosti 2026 kupitia ushirikiano wa kisheria wa kimataifa. Muhtasari wa Taarifa Rasmi ya Wizara: Eneo na Tarehe: Mtuhumiwa alikamatwa tarehe...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Polisi: MC Pilipili alifariki dunia kwa kipigo. Mwili ulikuwa na majeraha

    Nani kamuua mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, maarufu MC Pilipili pengine ndio swali linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa. Nani amehusika kwenye mauaji yake na kwa nini amefikia hatua hiyo. Swali hilo linatokana na taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kuthibitisha...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Serikali yathibitisha kupatikana kwa mwili wa Joshua aliyeuwawa nchini Israel

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imethibitisha taarifa za kupatikana kwa mabaki ya mwili wa Mtanzania Joshua Loitu Mollel (21) aliyeuwawa nchini Israel. Joshua alikuwa miongoni mwa vijana 260 wa Kitanzania waliokwenda Israel kwenye mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara

    Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara na Mwandishi wa Times Oktoba 18, 2025 Wizara ya Nishati ya tanzania imethibitisha kugunduliwa kwa mashapo makubwa ya gesi asilia katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, vilivyopo mkoani Mtwara, takriban kilomita 500 kusini mwa...
  8. O

    JamiiForums Tanzania GE2025 Intelligence Insider Africa Yathibitisha Uwepo wa Vikosi Maalum vya Uchaguzi (Red Army) nchini Tanzania

    Mwanza, Tanzania - Kwa mtazamo wa haraka, wanaonekana kama vijana wa kawaida wanaofanya mazoezi ya kukimbia. Wakiwa wamevalia sare za mazoezi zinazofanana na wakiwa na vitambaa vyekundu shingoni, wanakimbia kwa mpangilio asubuhi na mapema, wakiandamana na askari waliobeba silaha. Kwa mtu asiye...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yaendelea Kung'ara Uimara wa kiuchumi: Ripoti ya IMF Yathibitisha Udhibiti Imara wa Deni la Taifa

    Ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuhusu hali ya deni la mataifa 186 duniani imeonyesha kuwa Tanzania inazidi kuimarika kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Katika ripoti hiyo ya Economic Outlook ya Oktoba 2024, Tanzania imeorodheshwa na uwiano wa deni...
  11. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Prof Kindiki Ruksa kuapishwa, Mahakama yathibitisha

    Jopo la majaji watatu - Mahakama Kuu nchini Kenya limetoa uamuzi kuwa Naibu Rais (Mteule) Professor Kithure Kindiki kuapishwa baada ya Gachagua kufukuzwa na Seneti. Source: Nation Media...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rasmi, Israel yathibitisha kumuua Hashem Saffiedine, kiongozi mpya wa Hezbollah aliyechaguliwa hivi karibuni

    Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limetangaza kumuua Hashem Safieddine, kiongozi wa kidini aliyekuwa anatajwa kuwa mrithi wa Hassan Nasrallah, kiongozi wa Hezbollah. Kifo chake kilitokea kwenye shambulio la anga lililofanyika karibu na Beirut, Lebanon, takriban wiki tatu zilizopita. IDF...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kifo cha mwanajeshi wake wa kwanza tangu uvamizi wa Lebanon

    Mwanajeshi wa kwanza wa Israel amethibitishwa kuuawa ndani ya Lebanon tangu uvamizi wa ardhini kuanza. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak Oster, 22, aliuawa ndani ya Lebanon siku ya Jumatano. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 22 alikuwa katika...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rasmi Hezbollah yathibitisha kuuawa kwa kiongozi wao Hassan Nasrallah

    Ni rasmi ameuawa jana kwenye Makao makuu ya Hezbollah -Beirut kwa mashambulizi ya ndege za F35 ambapo eneo alilokuwemo lilipigwa na bomu la bunker lenye pound tani 2000. Hassan Nasrallah ameongoza Hezbollah kwa miaka 32,kutoka mpiganaji wa mtaani mpaka kiongozi Mkuu.
  15. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania TLS yathibitisha kutishiwa maisha kwa wakili Tito Magoti, Peter Madeleka pamoja na Ole Nguruma. Yaitaka Serikali Kuchukua Hatua Kali!

    https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini Tanzania, Tito Magoti, Peter Madeleka, na Onesmo Ole Ngurumwa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na...
  16. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania CAF yathibitisha tarehe ya draw ya hatua ya mtoano ni Jumanne March, 12 mwaka 2024

    Tarehe ya drop Iko hapo chini Mwaka 1969 ilikuwa ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu Moja robo fainali ya klabu bingwa ambapo Yanga Afrika waliiwakilishw nchi. Mwaka huu 2024 ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu mbili mbazo ni Yanga Tena na watani zao Simba.
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas, yasema Israel

    Wanaukumbi. Watanzania wawili na raia mmoja wa Africa Kusini ni miongoni mwa mateka 224 wanaoshikiliwa na Hamas baada ya mashambulizi ya Oktoba 7 nchini Israel, serikali ya Israel inasema. Hakuna hata mmoja kati ya hao watatu aliyetajwa. Mamlaka ya Tanzania hapo awali ilikuwa imethibitisha...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama yathibitisha Stella Moses aliyepoteza maisha akiwa Kituo cha Polisi Mburahati alijinyonga

    Mahakama ya Korona Kinondoni Jijini Dar es Salaam, imetoa hukumu hiyo Ijumaa Septemba 22, 2023 imetoa uamuzi wa uchunguzi ilioufanya kuhusu mazingira ya kifo cha Stella Moses ambaye alifariki akiwa mahabusu katika Kituo cha Polisi Mburahati, Desemba 20, 2020, ambapo imesema kifo chake...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

    Ndugu Watanzania, Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali. Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa...
  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yathibitisha Wadukuzi wameingilia Mifumo ya Malipo, Taarifa za Uhamiaji na Upelelezi na Benki

    Kwa mujibu wa Waziri wa Mawasiliano na Uchumi wa Kidigitali, Eliud Owalo amesema shambulio hilo lililolalamikiwa na Wananchi kwa takriban siku 4 limefanywa na Wadukuzi waliojitambulisha kama 'Wasudan Wasiojulikana. Hata hivyo Waziri amesema Taarifa Muhimu za Watumiaji na Taasisi hazijachukuliwa...
Back
Top Bottom