wasiojulikana

  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tulia kutekwa ni kuchukuliwa kwa nguvu na watu wasiojulikana na kupelekwa sehemu isiyofahamika sio hadi uone akitekwa ndio tuseme ametekwa

    Nilimsikia tulia anasema "huwezi kusema mtu ametekwa wakati hujamuona" kwanza kutekwa ni kupi ? Tulia kutekwa ni kuchukuliwa kwa nguvu na watu wasiojulikana na kupelekwa sehemu isiyofahamika sio hadi uone akitekwa ndio tuseme ametekwa. Tuache kukwepa hoja siziso za msingi mtu aliyetekwa sio...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Matukio ya 'wasiojulikana', 90% yametoka Bara

    Ripoti ya Haki za Binadamu mwaka 2024 inaonyesha matukio ya wasiojulikana kwaukijumlisha matukio ya bara na visiwani Zanzibar, asilimia 80 mpaka 90, kwa ujumla wake wote yanakuwa yanatokea huku bara"
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Ripoti ya Haki za Binadamu 'Kurejea kwa watu wasiojulikana'

    https://www.youtube.com/live/IKo0vWFgOXo?si=VROW5KWJw-PEMKcw Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), leo Mei 5, 2025 kimezindua ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini kwa mwaka 2024. Ripoti hiyo imezinduliwa Jijini Dar es Salaam ikiwa ni ripoti ya 23 tokea walipoanza utaratibu...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kenya:kuna shaidi aliyetaka kutoa ushaidi kuhusu polisi kufanya mauwaji kwa mtindo wao wasiojulikana naye kafa.

    Polisi waogopeni sio tz wala duniani ni magenge ambayo kama yakikosa utawala bora ndiyo haya. Tukio lemetokea kenya huko kuna shuuda aliona kijana kutupwa mto mmoja kenya na polisi kwenye maandamano kenya yaliyotokea siku chache na yeye mda mda mchache alipotea. Jana alipatikana amefariki.
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC yalaani tukio la Mdude Nyangali kuvamiwa, kuchukuliwa na Watu wasiojulikana

    KUKEMEA NA KULAANI VIKALI SHAMBULIO DHIDI YA NDUGU MDUDE NYAGALI Dar es Salaam, 02 Mei 2025 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kukemea vikali shambulio dhidi ya ndugu Mdude Nyagali lililotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 Mei 2025 akiwa nyumbani kwake mkoa wa Songwe. Hivi...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Watu wasiojulikana wavamia na kuchoma moto ofisi ya mtendaji mtaa wa Msewe

    MKuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Twange amemuagiza Mkuu wa Polisi, Wilaya ya Kipolisi Kimara/Ubungo kuwatafuta na kuwakamata Watu wote waliovamia na kuchoma moto Ofisi ya Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Msewe, na kuteketeza nyaraka na samano zote za ofisi hiyo. Tukio hilo la kuvamia na kuchoma moto...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kitu ambacho wasiojulikana wanashindwa kumfanyia Lissu ni kwamba dunia na media zote zimekuwa GPS kwake

    Tukiendelea na masokwe watawala kupoteza watu na kubaki kujifanya kama hawa fahamu ila sasa kinacho washinda kuwa Lissu ni GPS ambayo wakigusa kila jambo tutajua.
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani walalamika kuibuka kwa "wasiojulikana" wakivamia na kuteka raia huku wakijifanya maafisa wa serikali

    Huko Marekani kumeibuka malalamiko wanazi wa MAGA wa mrengo kulia mkali wasiotaka wahamiaji wakijifanya ni maafisa uhamiaji(ICE) au wa wizara ya mambo ya ndani(DHS) wakivamia na kukamata watu wanaowahisi ni wahamiaji haramu na kuwashikilia kizuizini! Masikini US, kumekuwa kama utawala wa manyani!
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson kumjengea Nyumba Bibi aliyebakwa na watu wasiojulikana Mbeya

    Bibi wa miaka 72 mkazi wa mtaa wa Mwanyanje, kata ya Igawilo jijini Mbeya ambaye aliingiliwa na watu wasiofahamika nyumbani kwake anategemewa kujengewa nyumba na Dkt. Tulia Ackson Ikumbukwe bibi huyo ni moja ya watu wanaoishi katika mazingira magumu ambao walifikiwa na bendera ya Upendo...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Pwani: Watu wasiojulikana wakidaiwa kuwa ni polisi wabomoa nyumba na kuchoma moto mali za wananchi wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo

    Watu 'wasiojulikana' wamefika katika Kitongoji cha Mchango wa Hela, Pwani, na kubomoa nyumba kadhaa huku wakichoma moto baadhi ya vitu, wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo. Tukio hili limezua taharuki kubwa kwa wakazi wa eneo hilo ambao wamemlilia Rais Samia Suluhu Hassan awasaidie...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wasiojulikana wachoma gari la Mwenyekiti wa UVCCM Lindi

    Watu wasiofahamika wamechoma moto gari la Mwenyekiti wa vijana CCM wilaya ya Lindi bwana Frenk Mzani Menuka na kusababisha uharibifu mkubwa kwa gari hilo aina ya Toyota Cresta GX 100 lenye namba za usajili T 402 BCH ambalo lilikuwa limeegeshwa kwenye nyumba anayoishi Mwenyekiti huyo wa vijana...
  12. Nyoka kibisa

    JamiiForums Tanzania MGOGORO WA ARDHI RORYA: Makaburi mawili yajengwa inaposemekana hakuna makaburi kisha kuvunjwa na wasiojulikana

    Wadau mwaka jana mwanajf Suley2019 alileta habari hapa jf kuhusu mgogoro wa ardhi katika kijiji cha nyambogo wilaya ya rorya iliyopelekea mwili wa marehemu kutozikwa zaidi ya miezi 8. - Rorya, Mara: Mgogoro wa ardhi wasababisha marehemu kutozikwa tangu Januari 20, 2021 mpaka leo Naam kuna...
  13. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Dili la kumtetea limekata, wameshauriana wanamkataa sasa hivi wakiamini watamsafisha aliyepo sasa

    Uzi tayari?!? Yeah uzi tayari
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mtoto wa miaka 6 auawa kikatili na watu wasiojulikana

    Mtoto wa mfanyabiashara maarufu jijini Dodoma anayejulikana kwa jina la Jojo, Graison Kanyenye (6), anadaiwa kuuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani wakati mama yake akiwa matembezini usiku wa kuamkia jana. Mbali na hilo, Jeshi la Polisi limesema mwili wa mtoto huyo ulikutwa ndani ya nyumba...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mambo manne ambayo yanaonesha uwezekano wa Mzee kibao kwamba alitekwa na wasiojulikana kwa kushirikiana na CHADEMA

    1.Nchimbi alimsafisha Mbowe mapema sana https://youtube.com/shorts/VuTy8LLhe4s?si=PHahPqXk2sRY40B_ 2.Mzee kibao hakuwa mtu wa mitandaoni na msemaji sana kama tulivyoona kwa watekwaji wengine 3.Kauli ya Tundu lissu kuwa alikuwa na ushahidi wa Rushwa ya Abdul 4.Historia za matukio ya nyuma ya...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!

    Wakuu Jana kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu ambaye pia ni Mgombea Uenyekiti wa Chama hicho, alisema watu wasiojulikana wanapanga njama za kumuumiza kisha wamsingizie Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Soma, Pia: Tundu Lissu: Watekaji...
  17. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

    Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
  18. ILAN RAMON

    JamiiForums Tanzania Mwanasayansi wa Missiles wa Urusi alambishwa udongo na wasiojulikana

    Russia's top missile expert gunned down in Moscow park Mikhail Shatsky, who is said to have overseen the modernisation of Kh-59 and Kh-69 missiles used by Russia against Ukraine, was reportedly shot dead near his home...
  19. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Tegeta, Dar: Maafisa wa TRA washambuliwa na wananchi kwa mawe

    Gari ya serikali namba STL 9923, Usiku huu imeshambuliwa kwa mawe na wananchi wenye hasira butu, na watumishi waliokuwemo ndani wameumizwa. Chanzo cha kizaa zaa hicho inasemekana hilo gari la serikali lilikua linaifuatilia gari nyingine ndogo aina ya BMW. Baada ya kufika maeneo ya tegeta kwa...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mbeya: Mwenyekiti wa UVCCM Makongorosi, Michael Kalinga akutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wake kukutwa Kata ya...
Back
Top Bottom