Mh. Tundu Antiphas Lissu katikati ya wasiojulikana hanyamazi!
Pamoja na kumiminiwa risasi zaidi ya thelathini hakunyamaza
Pamoja na kupitishwa kwenye bonde la mauti hajanyamaza
Pamoja na kusubiri kunyongwa kabla ya hukumu hatanyamaza
Mh. Tundu Antiphas Lissu ni mtu na nusu...NO REFORM, NO...
Jamii ya Kindi Juu, wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, imeingia kwenye taharuki kubwa baada ya watu wasiojulikana kufukua kaburi la Victoria Mmasi, aliyekuwa mlemavu wa ngozi (albino), na kuondoka na baadhi ya viungo vya mwili wake.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia Juni 21...
Serikali kwa maana ya kwamba viongozi husika (Raia nambari 1 hadi 10) wanawajibu wa kuleta majibu yenye mashiko juu ya maswali haya.
Niliwahi kuona mbele ya muda exactly nini kitatokea na kikaja kutokea na nikaandika;
"Thread 'Hukumu ngumu(bias) katika mashtaka mepesi' Hukumu ngumu(bias)...
Vijana wanne wasiojulikana majina yao wala makazi wameuwawa kwa kupigwa na kisha kuchomwa moto na watu wenye hasira kali katika Mtaa na Kata ya Mhongolo Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya uhalifu na kupora watu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, SACP...
Wakuu
Tusimame pamoja tupaze sauti tusiyakalie kimya haya yanayoendelea, kama jirani yako hayupo salama ina maana hata wewe haupo salama.
===
Msanii wa muziki Vitali Maembe ametoa wimbo kupinga mauaji yanayotokea na watu kutekwa afrika Mashariki unaoitwa "KIMYA''
na kuambatisha ujumbe...
Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku.
Akiongea na...
Gwajima amemaliza/ametengua kitendawili without shadow of doubt kuwa wasiojulikana sasa wanajulikana na anayewapa GO AHEAD ni fulani with a million certainty!
Ni matter sasa ya nani apeleke mauaji haya ICC
Kenyatta Case
The Prosecutor v. Uhuru Muigai Kenyatta
ICC-01/09-02/11
Case closed...
"....Tanzania imetekwa na kakikundi kanakojiita serikali ndani serikali maarufu kama "Futungo State" kama ilivyokuwa kule Congo au "Parallel State" kama ilivyokuwa kule Angola
Hivi ni vikundi vya watu wachache (serikali ya wasiojulikana) waliounda kiserikali chao ndani ya serikali tunayoijua...
Wasalaam
Tarehe 6 Sept 2017 alimuonya tundu lissu asiende dodoma atapigwa risasi. Lakini kama tujuavyo nabii hakubaliki kwao hivyo lissu talikaidi na Sept 7 alishambuliwa kwa marisasi mengi.
Hii ni wazi baba askofu anawajua wasiojulikana ni vema akawaanika wazi ikibidi kwa majina yao ili...
Kabla jogoo hajawika atanikana Mara tatu huu ulikuwa ni ujumbe wa Yesu kwa wanafunzi wake'.
Kuna mashaka na wasiwasi kuwa muda ujao ndani ya ziara za kasikazini Heche atasalitiwa kwa kuchomwa na mtu wake wa karibu na kuchukuliwa na wasiojulikana na watakao itwa majambazi badae kwenye report...
Sintofahamu iliibuka kati ya walinzi wa Simba na wageni ambao hawakufahamika katika chumba cha waamuzi kubadilishia nguo baada ya mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika kumalizika kati ya Simba na RS Berkane.
Unaposema wasiojulikana, ni muhimu kuweka maelezo sawa kuwa wasiojulikana kwa nani!
Hawawezi kuwa wasiojulikana kwa waliowatuma!
Hawawezi kuwa wasiojulikana kwa vyombo vya dola! Vinginevyo, tungeamini kuwa tuna vyombo vya dola vya hovyo kupitia kiasi. Vyombo vya dola vinawajua lakini havina la...
Kumbe Inawezekana wanaharakati ni wabaya sana kuliko wasiojulikana!
Na pia sijawahi kusikia neno kulinda uhuru na haki za Watanzania ila nasikia kulinda amani kumbe huenda haki haina umuhimu kiviile ama mwenzenu bado sijakua!
Ili kurahisisha kupatikana kwako ukiwa HAI au MWILI wako ukiwa umekufa au kuuwawa
KURAHISISHA KUPATIKANA kwako kwa haraka pindi inapotokea kutekwa/kupotea katika mazingira mbalimbali mfano AJALI mtu amezama ndani ya maji baharini kufuatia ajali ya boti,n.k.
ndege kutopoteza uelekeo na kupotelea...
Nilimsikia tulia anasema "huwezi kusema mtu ametekwa wakati hujamuona"
kwanza kutekwa ni kupi ?
Tulia kutekwa ni kuchukuliwa kwa nguvu na watu wasiojulikana na kupelekwa sehemu isiyofahamika sio hadi uone akitekwa ndio tuseme ametekwa.
Tuache kukwepa hoja siziso za msingi mtu aliyetekwa sio...
Ripoti ya Haki za Binadamu mwaka 2024 inaonyesha matukio ya wasiojulikana kwaukijumlisha matukio ya bara na visiwani Zanzibar, asilimia 80 mpaka 90, kwa ujumla wake wote yanakuwa yanatokea huku bara"
https://www.youtube.com/live/IKo0vWFgOXo?si=VROW5KWJw-PEMKcw
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), leo Mei 5, 2025 kimezindua ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini kwa mwaka 2024.
Ripoti hiyo imezinduliwa Jijini Dar es Salaam ikiwa ni ripoti ya 23 tokea walipoanza utaratibu...
Polisi waogopeni sio tz wala duniani ni magenge ambayo kama yakikosa utawala bora ndiyo haya.
Tukio lemetokea kenya huko kuna shuuda aliona kijana kutupwa mto mmoja kenya na polisi kwenye maandamano kenya yaliyotokea siku chache na yeye mda mda mchache alipotea.
Jana alipatikana amefariki.
KUKEMEA NA KULAANI VIKALI SHAMBULIO DHIDI YA NDUGU MDUDE NYAGALI
Dar es Salaam, 02 Mei 2025
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kukemea vikali shambulio dhidi ya ndugu Mdude Nyagali lililotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 Mei 2025 akiwa nyumbani kwake mkoa wa Songwe. Hivi...
MKuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Twange amemuagiza Mkuu wa Polisi, Wilaya ya Kipolisi Kimara/Ubungo kuwatafuta na kuwakamata Watu wote waliovamia na kuchoma moto Ofisi ya Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Msewe, na kuteketeza nyaraka na samano zote za ofisi hiyo.
Tukio hilo la kuvamia na kuchoma moto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.