auawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Raia wa China Auawa na Walinzi wa Kampuni Yake, na kuondoka na Milioni 10

    Mtu mmoja raia wa China aliyefahamika kwa jina la Baozhang Ge, Mkurugenzi wa kiwanda cha Xin Li Company Ltd kinachojihusisha na Urejeshaji wa Makopo, kilichopo Mabibo jijini Dar es Salaam amekutwa ameuawa na watu wanaodhaniwa kuwa ni walinzi wa Kampuni hiyo Morani wa Kimasai, kisha kutomekea...
  2. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Auawa na mabaunsa kisa Tsh 8000

    #HABARI Kijana mmoja mfanyabiashara mkazi wa Mbugani Jijini Mwanza, anayejulikana kwa jina la Mzafaru Yunus (26), amefariki dunia baada ya kudaiwa kushambuliwa kikatili ndani ya Baa iliyopo Kona ya Bwiru, Kata ya Nyamanoro wilayani Ilemela, kufuatia kushindwa kulipa bili ya vinywaji yenye...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tunisia amfuta kazi Waziri wa Nishati

    Rais wa Tunisia, Kais Saied, amemfuta kazi Waziri wa Nishati, Fatma Thabet, leoJumanne ya Aprili 28, 2026. Hatua hii imekuja huku kukiwa na mzozo mkubwa kuhusu miradi ya nishati mbadala inayotarajiwa kupigiwa kura bungeni. Rais Saied amemteua Waziri wa Nyumba na Miundombinu, Salah Eddine...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Nyoka aliyekuwa anafugwa auawa baada ya kuleta taharuki Mavimba

    wa Kata ya Milola, Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Aloyce Andrew, kwa kushirikiana na wananchi wa kata hiyo, wamefanikiwa kumuua nyoka aliyekuwa akifugwa ambaye alisababisha taharuki kwa wakazi wa eneo la Mavimba, njia panda ya mnadani na wananchi wengine...
  5. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Berekum Chelsea, Dominic Frimpong auawa

    Winga wa klabu ya Berekum Chelsea, Dominic Frimpong, ameuawa katika tukio la ujambazi wa kutumia silaha lililotokea ndani ya basi la timu hiyo walipokuwa wakirejea kutoka mechi ya Ligi Kuu ya Ghana dhidi ya Samartex siku ya Jumapili, kwa mujibu wa Ghana Football Association. Inadaiwa majambazi...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Kiongozi aliyezima maandamano kwa kuua raia Iran naye auawa

    Ni dhahiri raia wa Iran wanahusika pakubwa kwenye kutoa taarifa nyeti kwa Israel, maana sielewi hawa Israel wanafaulu vipi kuwapukitisha viongozi wa Iran, jamaa wanauawa kizembe sana. Huyu hapa aliongoza kikosi katili cha Basij kilichochinja sana raia kwenye maandamano, kashushiwa kitu kizito...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mkuu wa IRGC Iran auawa na mashambulizi ya Israel

    Huwa sielewi hawa makobaz akili zao huweka wapi, yaani mnajua vita vinakuja halafu mnaanika wakuu wenu kizembe, huyu kubwa la magaidi wa hiyo dini ameuawa kizembe sana.... Israeli and US strikes on Iran killed several senior Islamic Revolutionary Guard Corps commanders and Islamic Regime...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa M23 auawa kwa shambulio la drone

    Msemaji wa kijeshi wa kundi la M23, Willy Ngoma, ameuawa kwenye shambulio la ndege zisizo na rubani, katika eneo la Rubaya, wilayani Masisi- Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Kwa mujibu wa BBC, ofisa mmoja wa kidiplomasia na ofisa mwengine mwandamizi wa kundi hilo la M23...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto Wa Muammar Gadafi Ameripotiwa Kuuawa Nchini Libya

    Kabla ya kuanguka Utawala wa Ghadhafi huyu mtoto wa Ghadhafi alikuwa kama Rais wa pili, leo ameliwa kichwa na Walibya. --- Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Libya, Hayati Muammar Gaddafi, Saif al-Islam ameripotiwa kuuawa katika eneo la Zintan nchini Libya, kwa mujibu wa wakili wake. Hadi sasa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Afisa wa Cheo cha juu wa Jeshi la Polisi Auawa Iran, Kulipiza Kisasi cha Mauaji ya Polisi kwa Waandamanaji

    Taarifa za karibuni ni kwamba waandamanaji wamefanikiwa kumwua afisa wa juu wa jeshi la polisi, mmoja wa watoa amri kwa maafisa wa chini. Afisa wa polisi aliyeuawa ni Luteni Shahin Dehghan. Naonawananchi wa Iran wameamua kupambana na mzizi wa fitina badala ya polisi wa kawaida. Na hakika, kama...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Raia wa Mali aliyekuwa Maarufu Tiktok auawa kwa kusifia Jeshi

    Mamlaka nchini Mali zimeripoti kifi cha mwanamitindo na mtengeneza maudhui maarufu TikTok, Mariame Cissé, aliyekuwa akijulikana kwa kuchapisha video za kuunga mkono jeshi la taifa hilo la. Kwa mujibu wa Meya wa Timbuktu, Yehia Tandina, Cissé alitekwa Ijumaa akiwa sokoni katika eneo la Echel, na...
  12. Muuza madafu wa Ikulu

    JamiiForums Tanzania Auawa kwa kumkufuru mtume Muhammad S.A.W

    Mwanamke mmoja ameuawa kwa kuchomwa moto na kundi la watu katika jimbo la Niger Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutuhumiwa kumkufuru Mtume Muhammad (S.A.W). Polisi walilaani mauaji ya mwanamke huyo aliyetambuliwa katika vyombo vya habari vya ndani kama mchuuzi wa chakula anayeitwa Amaye ...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Houthi Ahmed al-Rahawi, ameuawa na Israel

    Imeripotiwa na vyombo vya habari vya Yemen kuwa waziri mkuu wa Yemen anaye sapotiwa na Houthi ndugu Ahmed al-Rahawi ameuawa jana katika mashambulio ya jeshi la anga la Israeli hapo Yemen. Shambulizi hili ni kando ya shambulizi dhidi ya majenerali wa houthi kumi walio kuwa wakitazama hotuba ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Iringa: Kada wa CHADEMA auawa kikatili na wasiojulikana

    Ni vilio na simanzi katika mtaa wa Mkimbizi D, kata ya Mkimbizi, manispaa ya Iringa, kufuatia kuuawa kikatili kwa mjane Anastazia Mwamongi, maarufu kama Mama Mwamongi, ambaye pia ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya mwili wake kukutwa ndani ya nyumba yake ukiwa na...
  15. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Auawa baada ya kufumaniwa na mke wa mpangaji mwenzake

    Wakuu tukio hili limenikumbusha kuepuka tamaa kwa nguvu zote hasa kwenye hizi nyumba za kupanga na maneo mengine, tusije tukafikiwa matukio ya kikatili kama haya ===== Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamshikilia kijana James Nyakoro Kirauka (20), mkulima na mkazi wa mtaa wa Medical Research...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa jeshi la Iran ambaye huratibu shughuli za HAMAS auawa na Israel

    Israel endelea kupeleka moto, msijali hata Iran wakilenga apartments za raia, hiyo gharama ya kulipa kwa ajili ya vizazi vyenu vya baadaye, maana mkifaulu kusambaratisha Iran, ndio mtakua salama nyie na watoto wenu maana maana Iran tu ndio ilikua imesalia kama tishio kati ya mataifa ya waislamu...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Mshauri mkuu wa Ayatollah auawa kwenye shambulizi la Israel

    Mzee Ayatollah anaachwa mpweke na lile vazi lake, huyu mshauri ndiye alikua mojawapo wa watu wa karibu yake sana, kawahishwa kwa mabikira 72. Israel imeamua kwanza kutomgusa Ayatollah ajionee Iran inavyoporomoka. ----++++++ senior adviser to Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei, Ali...
  18. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Aliyepotea wiki moja akutwa ameuawa kwa kuchinjwa na mwili wake kukatwakatwa kisha kufukiwa shambani

    Mkazi wa Mtaa wa Pande Malembwe, jijini Tanga, Sarai Kagoro (30), ameuawa kwa kuchinjwa na mwili wake kukatwakatwa kisha kufukiwa shambani, baada ya kupotea kwa takribani wiki moja. Jeshi la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo, huku wengine watatu...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Songwe: Katekista wa Kanisa Katoliki auawa kikatili nyumbani kwake

    Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda amepoteza maisha kwa kushambuliwa na watu ambao utambulisho wao haujajulikana Mjini Tunduma. Diwani wa Kata ya Kaloleni, Mji wa Tunduma, Mkoa wa Songwe, Hamis Chuma amesema kiongozi hiyo wa Dini alifariki Mei 10, 2025 baada ya kushambuliwa akiwa...
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Manyara: Mwanafunzi auawa kwa kubakwa, atobolewa macho, mwili wake watupwa shambani

    Wakazi wa Kata ya Galapo, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, wamegubikwa na huzuni, kufuatia taarifa za kubakwa na kuuawa kikatili kwa Suzana Samweli (13), mwanafunzi wa darasa la sita ambapo wananchi wamelaani vikali na kuitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua za haraka dhidi ya wahusika wa tukio...
Back
Top Bottom