uviko 19

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Nyankurungu2020

  Kama mnajiachia namna hii mkiwa Chamwino bila kuzingatia mashariti ya Uviko 19. Mkopo wa tril 1.3 una tija?

  Ni dhahiri hata nyie viongozi wa serikali mnakubali kuwa mliingia kitanzini kupata mkopo wa tril 1.3 toka Wb kwa mashariti ya kupambana na Uviko 19 lakini mkijua kabisa hali sio mbaya kihivyo. Maana nawaona kwenye dhifa la kitaifa kumkaribisha rais wa Burundi wengi mmevaa barakoa kama geresha...
 2. N

  Tetesi: Inadaiwa Watumishi waliopambana dhidi ya UVIKO 19 hawajalipwa

  Pamoja na Serikali kutoa TSH bilioni 3 kwa ajili ya kuwalipa watumishi waliopambana dhidi ya UVIKO 19 na kuahidiwa mwezi wa Tisa mwaka huu kuwa ndani ya wiki mbili watapata pesa zao Bado hakuna mtumishi yeyote aliyepata fedha hizo au kuwekewa kwenye akaunti yake kama NAIBU WAZIRI MOLLEL...
 3. comte

  #COVID19 Gazeti la Mwananchi mmepotosha kuhusu dawa ya kutibu Uviko-19

  Habari hii iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwanachi mtandaoni ina upotoshaji mkubwa. Dawa ya molnupiravir imekuwepo kwa mda sasa ikitumika kuwasaidia wagonjwa wanasumbuliwa na maambukizi ya virusi. Wataalamu walichofanya ni kuitumia dawa hiyo kwa wagomjwa wa UVIKO 19 na wala si kugundua kama...
 4. Memento

  #COVID19 Watakaochanja chanjo ya Corona kesho kuingia bure uwanja wa taifa, hii sio siasa?

  Wizara ya Afya kesho watatoa tiketi za bure za mechi ya Simba na Yanga kwa wale watakaokubali kuchanja siku ya kesho. Kwanza kabisa naipongeza Wizara ya Afya kwa ubunifu huu, ila kuna jambo litaonekana haliko sawa. Chanjo ya corona ikiendelea kuwekewa zawadi hizi ni kutengeneza zaidi mashaka...
 5. M

  #COVID19 Elimu kuhusu chanjo... Part 2 – uviko 19 (muendelezo wa uzi wa elimu kuhusu chanjo)

  Kabla ya kuendelea tafadhali piti andika linalohusu chanjo kwa ujumla Elimu ya jumla kuhusu chanjo (yoyote inayotolewa hapa nchini) UVIKO 19 NI NINI? Kwa Kiswahili tunaita UVIKO 19, yaani “Ugonjwa wa Virusi vya Korona wa mwaka 2019” ikiwa ni tafsiri sisisi ya maneno “Corona Virus Disease 2019”...
 6. H

  TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

  Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na alinukuliwa na kituo cha E-FM akisema alikuwa ICU akipambana na maradhi hayo. Marehemu Hanspope...
 7. Shadow7

  #COVID19 Wakazi wa Shinyanga piga namba hizi kama una changamoto ya cheti cha UVIKO-19

 8. Genius jack

  Mambo ya kuzingatia unapokula Pweza na Ngisi njiani

  Leo muda wa jioni nilikuwa maeneo ya Mbezi ya Kimara nilikuwa nimesimama namsubiri rafiki yangu pembeni kwa mbele kulikuwa na mtu anauza supu ya pweza na vipande vyake na ngisi na kachori.Nikiwa pale walikuja watu kadhaa kununua nilichokiona. Mteja alikuwa anachukua kijiti cha kuchomea anatoboa...
 9. Mlatino Zeshalo

  #COVID19 Yaliyonikuta baada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19

  Habari zenu wana JF Natumai mambo yanaenda vizuri ukizingatia leo ni siku ya mapumziko kwa wengi wetu. Niende moja kwa moja kwenye mada, tar 16 mwez huu siku ya j3 nilifanya booking online kwaajili ya kupata chanjo ya covid 19. Nilitamani sana nipate hiyo chanjo siku ya ijumaa tar 20 mwez...
 10. Idugunde

  #COVID19 Alichosema Hayati Magufuli kuhusu UVIKO-19 yametimia, sasa tutaishi nao katika jamii

  Alichosema hayati JPM sasa kimeenda kutimia maana sasa UVIKO-19 unakuwa ugonjwa tutaoishi nao katika jamii. Hayati alisema mapema kama jamii tujiandae kuishi na hili gonjwa. Tujiandae Sasa tunashudia hali ilivyo katika jamii yetu. Watu wanaugua, wengine wanapona na wengine Mungu anawachukua...
 11. Molleli

  #COVID19 Nashangaa kwenye daladala tunahimizwa kuvaa barakoa ili hali Waukae festival lile nyomi hakuna hata alovaa barakoa!

  Nahisi siasa imetumaliza wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa iki kipindi cha uviko 19 naona kama viongozi wetu wanawaza ujinga badala ya kufanya kazi za misingi kwa taifa letu. Poor us
 12. J

  #COVID19 DC Jokate: Tunaotumia usafiri wa umma tuchukue tahadhari dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19

  Mkuu wa wilaya ya Temeke Mh. Jokate akisimamia zoezi la kuhakikisha watumiaji wa Vyombo vya usafiri wa umma wanavaa Barakoa ili kujikinga na ugonjwa wa UVIKO 19. Pamoja na utekelezaji wa Maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Amos Makala ya kuhakikisha Wananchi wanachukua Tahadhari ya...
 13. Mathanzua

  #COVID19 Viongozi wa dini, wametuuza waumini wao kwa Shetani kwa kuwa hatujaona msimamo wowote wa kiroho madhubuti wa pamoja kuhusu suala la Uviko 19.

  Hakuna shaka yeyote kwamba swala la Uviko 19 au ni la kughushi au lipo lakini si la kiwango kinacho zungumziwa au chanzo si hicho kinachosemwa,ila kinachoitwa Uviko 19, ni kisingizio tu. Ona ukweli huu hapa👇...
 14. Nduka Original

  Aina ya watu wasiotaka chanjo ya Uviko-19

  Yani nimeangalia kwa makini aina ya watu wanaokwepa chanjo ni kama ifuatavyo. 1. Wengi hawana kazi za kueleweka kwa ujumla ni wabangaizaji 2. Walokole kindakindaki 3. Ambao hawasafiri nje ya nchi hivyo hawajali chochote 4. Wengi wao wana elimu za chini mno
 15. Roving Journalist

  #COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

  Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
 16. GENTAMYCINE

  #COVID19 Baada ya Kumsikiliza na Kumuelewa vyema Dk. Seche Malecela, Kesho najipeleka mwenyewe Kupata Chanjo yangu ya UVIKO 19 niwe salama zaidi

  Kuna Watu ambao achilia mbali tu Elimu zao kubwa bali hata uwezo wao mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaalam na Kitaaluma wakisema mambo GENTAMYCINE huwaamini na Kushawishika. Kwa Ufafanuzi mzuri nilioupata kutoka kwa Mwanamama na Daktari Nguli Seche Malecela ( Mtoto wa Waziri Mkuu...
 17. The Palm Tree

  #COVID19 Utata wa chanjo ya UVIKO-19: Askofu Gwajima kutoa msimamo mwingine juu msimamo tarehe 1/8/2021

  Mtazame na msikilize mwenyewe ktk video hii. Yeye kauita huu wa kesho kuwa ni "msimamo juu ya msimamo"... Hii ndiyo sauti ya "Jitu la Mbinguni" iliayo nyikani kusema itengenezeni njia ya Bwana maana ufalme wa Mwanakondoo upo duniani...! Video na sauti yake itafuata.
 18. J

  #COVID19 Shaka Hamdu Shaka: Rais Samia kaonesha njia, wananchi wafanye uamuzi sahihi wa kupata chanjo

  Nukuu za Katibu wa itikadi na Uenezi CCM wakati akizungumza leo katika Uzinduzi wa Chanjo ya Uviko 19 Ikulu Jijini Dar Es Salaam. "Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua hii muhimu ndani ya Taifa letu. CCM inampongeza Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu...
 19. The Palm Tree

  #COVID19 Askofu Gwajima ndiye kiongozi pekee aliyebaki na msimamo usioyumba kuhusu UVIKO 19 na chanjo zake

  Mimi hapa The Palm Tree nilikiri na kukubali hadharani kuwa, moja ya jambo lililosimamiwa kwa usahihi na mwendazake Rais John Pombe Magufuli ni hili la msimamo wake thabiti wa ishu ya COVID 19 na chanjo zake. Ni bahati mbaya kuwa viongozi wenzake wote waliokuwa pamoja naye wakati wa uhai wake...
Top Bottom