korona

Korona Kielce, Polish pronunciation: [kɔˈrɔna ˈkʲɛltsɛ], (Korona – Crown – symbol of club and city, Kielce – name of city where club is based) is a Polish football club, currently playing in the Ekstraklasa. In the years 2002–08 Club belonged to Polish holding company Kolporter Holding and achieved its greatest success – in 2005, winning promotion to the first division (Ekstraklasa). Since then Korona has spent 5 seasons in Polish soccer top level. In 2006–07 season Korona played in the final of the Polish Cup. As a result of alleged corruption after 2007–08 season Club was relegated to I liga. After a one-year banishment Korona returned to the Ekstraklasa.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    #COVID19 Tarehe 27/01 kuwa mwisho wa korona ?

    Kwa taarifa zilizopo mpaka sasa inasemekana linalojiita shirika la afya Duniani(WHO) linatarajiwa kutangaza mwisho wa janga la korona huko Davos, uswizi siku ya January 27
  2. Superbug

    Iliwezekanaje ulaya watu walikufa kwà maelfu kila siku kwà korona halafu kufumba na kufumbua watu wote wakawa hawafi tena?

    Hili swali najiuliza sipati majibu ulaya na Marekani walikufa maelfu kwà maelfu kila siku iendayo kwà mungu halafu kufumba na kufumbua ugonjwa wa korona ukakoma hima? Italy kila siku walikuwa watu wanakufa 5000/day mpaka malori ya jeshi yakawa yanabeba maiti! Marekani jumla walikufa watu karibu...
  3. S

    Ni sahihi Kulazimishwa kuchanja chanjo ya korona?

    Habari wanajukwaa, Nakuja kwenu wanajamvi kuuliza kama ni sahihi mtu kulazimishwa kuchanjwa hasa hii chanjo ya korona. Nijuavyo mimi mtu anatakiwa aelimishwe kisha ahiari pasipo shuruti. Lakini Hali ni tofauti mkoani RUKWA wilaya ya NKASI kwani kinachoendelea sio uelimishaji wala uhamasishaji...
  4. Mia saba

    Ulipata funzo gani wakati wa COVID-19 Kama mwajiriwa?

    Katika lile tukio lililoshtua ulimwengu, katika tasnia ya ajira tuliona wengi kupunguzwa makazini. Binafsi nilijifunza kuchapa kazi mno Kuna tija mno maana kusimamishwa inamaanisha Kuna watu wanaweza fanya ata wewe usipokuwepo kuhusu saving hapo nilijifunza ni Jambo la msingi mno. Karibu...
  5. K

    #COVID19 Rais wa Marekani, Joe Biden akutwa na maambukizi ya COVID-19

    Rais wa Marekani bwana Joe Biden amepimwa na kupatikana na virusi vya korona Joe Biden mzee mwenye umri wa miaka 79 aliyepata chanjo kamili ya covid 19 kwa sasa amejitenga katika Ikulu ya white house huku akiendelea na majukumu yake ya siku zote --- Joe Biden test positive for COVID-19 United...
  6. T

    #COVID19 Alichonihadithia jamaa yangu anayesoma China kuhusu chanjo ya COVID-19, kimenistua

    Ninaye rafiki yangu anayesoma China ambaye yupo huko takribani miaka 3 sasa. Nilipojaribu kumuuliza kuhusu namna serikali ya China inavyofanya kuhamasisha raia wake kuchanja chanjo ya Covid, au kuhakikisha kila raia wake amechanja ili kujikinga na corona. Yule rafiki yangu ameniambia serikali...
  7. Mparee2

    #COVID19 Fungueni kituo cha kupima COVID-19 Ndutu/ Ngorongoro

    Ni mwezi mmoja tu umebakia Nyumbu waende huko Ndutu na Serengeti kusini ilA hadi sasa hakuna tarehe tajwa ya kuweka kituo cha kupima corona maeneo hayo. Hivi makampuni yatauzaje wageni kama hawana hakika kuwepo kwa kituo kwa muda stahiki? Au ni mpaka private sector ambayo ipo taabani kwa korona...
  8. E

    Naombeni data kwa aliyepimwa na mlinzi akakutwa na korona

    Tangu ugonjwa wa korona uingie kuna maeneo mbalimbali kabla ya kuingia unapimwa na mlinzi kama hauna dalili za korona kwa kuangaliwa joto la mwili. nauliza haya maeneo kama bank maofisini shopping mall viwanja vya ndege, hivi kuna aliyegundulika na korona kwa kutumia kipimo hiki cha walinzi?
  9. S

    #COVID19 Kwanini Taifa Halisisitizi na Kuhamasisha Tiba ya Corona badala ya Chanjo?

    Kuna watu wengi wanapona kwa kutumia dawa za hospitalini pamoja na mitishamba kwa gharama ndogo (ya kawaida) lakini dawa hizi hazisisitizwi popote, yaani dunia imeamua kwenda na chanjo badala ya tiba huku wengi wakiangamia wakati tiba ipo. Je, ni kwamba hizi dawa hazifai? Msaada wa chanjo...
  10. Superbug

    #COVID19 Korona ya Tanzania ina maajabu, inakuwepo kwenye mikusanyiko ya upinzani ila kwa watawala na CCM inayeyuka

    Leo Rais Samia Suluhu Hassan yuko mwanza mikutano yake Ina maelfu ya watu ambao hawajavaa barakoa ila kesho CHADEMA wakiitisha mkutano wawatu 50-70 Corona inatinga na hazitambuliwi na madaktari Ila polisi wenye bunduki na virungu. Korona ya Tanzania is so unique.
  11. Roving Journalist

    #COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  12. Miki123

    Idara za ujasusi Marekani zatofautiana kuhusu chanzo cha kirusi cha korona

    Idara za ujasusi USA zimeshindwa kuja na hitimisho kuhusiana na asili ya kirusi kinachosababisha ugonjwa WA covid(uviko). Baada ya kufanya ushushu, wachunguzi wameafikiana kuwa Corona sio BIOLOGICAL WEAPON Kwa ajili ya kuangamiza watu. Kuna nadharia mbili ambazo zina mgongano. 1. MATUKIO YA...
  13. M

    #COVID19 Leo ni siku ya 23 tangu nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa Covid-19

    Jamani mimi leo naandika ni siku ya 23 tangia nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa korona, pia nikamwambukiza mke wangu na mamaangu mzazi alikuwa amekuja kututembelea pia ikampiga na binti wa kazi pia aikumbakiza na shemeji alikuwa amkuja salimia naye akubaki salama, yaani nyumba nzima...
  14. S

    #COVID19 Wabunge tukachanje chanjo ya COVID-19 tusimsikilize Askofu Gwajima tusije kukosa vikao vijavyo

    Kuchanja ni hiyari lakini huna hiyari ya kuambukiza wengine. Ndugu wabunge tusimsikilize Mbunge wa Kawe Askofu Gwajina kuhusiana na chanjo ya Korona , nawashauri nendeni mkachanje mpaka kadi zenu ili muendelee kuwatumikia wananchi katika majimbo yenu ni jambo la kusikitisha kuachia nafasi ya...
  15. Idugunde

    #COVID19 Alichosema Hayati Magufuli kuhusu UVIKO-19 yametimia, sasa tutaishi nao katika jamii

    Alichosema hayati JPM sasa kimeenda kutimia maana sasa UVIKO-19 unakuwa ugonjwa tutaoishi nao katika jamii. Hayati alisema mapema kama jamii tujiandae kuishi na hili gonjwa. Tujiandae Sasa tunashudia hali ilivyo katika jamii yetu. Watu wanaugua, wengine wanapona na wengine Mungu anawachukua...
  16. Fundi Madirisha

    #COVID19 Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
  17. Crocodiletooth

    Taifa letu lipange tarehe ya maombi kwa ajili korona mungu aikinge tanzania zaidi.

    Nimeota ndoto mbaya sana,wakati wa mwenda zake mola wetu alikuwa nasi kwa karibu sana hivyo alitufurahia sana watanzania kwa kuonyesha tumaini letu kwake yeye aliye mkuu wa kila kitu,Nashauri pamoja na kuwa na machanjo mabarakoa keeping distance and freq washing up our hands bado haotoshi DUA za...
  18. C

    #COVID19 Wizara ya afya, ijifunze na itoe maelekezo ya matumizi ya dawa iitwayo "Ivermectin" kwa kutibu wangojwa wa Corona

    Bila kuremba, Serikali itoe maelekezo ya matumzi ya dawa hii katika kutibu Corona kama iliyvogunduliwa kule Israel kuwa inatibu corona. "That has been known since the start of the pandemic. But that has been wilfully ignored, otherwise, the vaccine could not get its emergency approva"l...
  19. B

    Naomba Kujulishwa Mchezaji Mpira Duniani Aliyefariki kwa Covid-19

    Naomba kufahamishwa mchezaji wa mpira ambaye yupo active, wa timu yoyote duniani aliyefariki kwa ugonjwa wa korona.
  20. Ziroseventytwo

    #COVID19 Kuna dalili kubwa sana za wagonjwa wengi wa Corona hapa Ifakara kata ya viwanja sitini kitongoji cha Minarani

    Hatua za haraka zichukuliwe na viongozi na mamlaka zinazohusika na afya. Kuna idadi kubwa ya watu wenye mafua makali na vikohozi vikali. Wengine wakidai kusikia maumivu maeneo ya koo. Hiyo hali mimi nilikutana nayo. Kichwa kuuma, maumivu kwenye koo ukimeza mate au chakula, mafua makali na...
Back
Top Bottom