• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

furaha

 1. dudu jeupe

  Mbinu nayotumia kumlea mwanangu anayesoma private awe mjanja, awe na furaha, asigeuke kuwa kuku wa kisasa

  Nilistuka mapema sana juu ya madhara ya kusomesha watoto hizi private, unakuta mtoto anatoka saa 10 jioni, akitoka hapo ni tuition, akitoka hapo ni homework na wengi hawatoki nje ni geti kali ni ndani tu hii inahirbu sana maisha ya mtoto. Pia Malezi ya siku hizi pia yamechangia mno kuwafanya...
 2. Victoire

  Tanzania tena ndani ya nchi kumi zisizokuwa na.Furaha duniani.Finland nchi yenye Furaha zaidi duniani

  UN wametoa report kama inavyoonyesha.
 3. miss zomboko

  Afrika Mashariki yawa kinara kwenye nchi zenye watu wasio na furaha duniani

  Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) ya mwaka 2020 kuhusu furaha imewaorodhesha Wananchi wa Ukanda wa Afrika Mashariki kama baadhi ya watu wasiokuwa na furaha duniani. Kenya iliorodheshwa nambari 121 kati ya 156 huku ikipata pointi 4.583 kwenye mizani ya pointi 10 Hata hivyo, ripoti hiyo...
 4. C

  UN Happiness Report 2020: Dar es Salaam yashika mkia kwenye orodha ya majiji yenye watu wenye furaha duniani

  Jiji la Dar es salaam limeshika nafasi ya 181 katika majiji 186 duniani kwenye rank za majiji yenye watu wenye furaha. Dar es Salaam imepita majiji ya Juba (Sudan Kusini), Port -au Prince (Haiti),Gaza (Palestine) Sanaa (Yemen) na Kabul (Afghanistan). Furaha ni kitu kikubwa sana kwenye maisha...
 5. N

  'Likes na comments' kwenye mitandao ya kijamii imekuwa ni chanzo cha furaha au mfadhaiko kwa vijana wengi. Je, unalizungumziaje hili?

  Mitandao ya kijamii kwa sasa imekuwa sehemu ya maisha ya watu. Baadhi yao watumiaji hao wamepata uraibu wa hali ya juu kiasi ambacho bora akose chakula lakini awe na bando la kuingia kwenye mitandao ya kijamii (hawa ndio wazee wa stress sasa). Mitandao ya kijamii watu wamekuwa wakitumia...
 6. J

  Furaha ya kutoka jela: Nyerere alimpokelea Nelson Mandela Ikulu wakati akiwa ameshastaafu na Rais Mwinyi akiwa safarini

  Najikumbusha tu namna watu mbalimbali wanavyowapokea wapendwa wao wanapotoka jela. Nelson Mandela alipotoka jela alipozuru Tanzania alipokelewa kwa furaha na Rais mstaafu mwalimu Nyerere pale Ikulu ya Magogoni. Na ninakumbuka Rais wa wakati huo mzee wetu Mwinyi alikuwa safarini. Furaha ya...
 7. DocJayGroup

  Ni mradi gani au ndoto gani ambayo uliumia sana sababu haikufanikiwa? Ipi imefanikiwa na kukupa furaha sana?

  Hello JF family, Kwangu binafsi mradi ulioniumiza sana niliufanya nikiwa na miaka 16 wa kufuga kuku. Nilijenga kibanda nikaanza na kuku wawili. Nikawaendeleza hadi wakafika 25. Nikatumwa na mama sokoni siku moja nikaona kuku bei nafuu sana nikamnunua, lakini kumbe alikuwa mgonjwa. Akaja...
 8. G

  Maendeleo bila furaha na amani ni kazi bure. Membe njoo utuokoe Watanzania

  Pamoja na maendeleo ya vitu yanayoendelea TANZANIA, wananchi wake wapo hoi, hawana furaha, hawana amani, tunakuomba Bwana Membe uje utuokoe Watanzania tunateseka ndani ya nchi yetu.
 9. Makirita Amani

  Harakati Zako Za Kutafuta Furaha Ndiyo Zinakuzuia Usiwe Na Maisha Bora

  Kikwazo cha kwanza kwa mtu kuwa na maisha bora ni furaha. Tumedanganywa sana kwamba kuna njia fulani ya kuwa na furaha ya kudumu kwenye maisha yetu. Tumeambiwa ukishapata hiki na kile, ukishafika kiwango fulani cha elimu au cheo fulani, basi utakuwa na furaha. Tukaweka nguvu, tukasahau maeneo...
 10. D

  Zitto Kabwe; Wananchi hawana furaha

  “Wananchi hawana furaha, hawana amani, wamejaa hofu, hawawezi kukaa kwa kukosa furaha muda wote, ndio maana tunasema kazi na bata, watu wafanye kazi wale na bata” @zittokabw
 11. Analogia Malenga

  Fahamu sababu zinazowafanya vijana kukosa furaha wanaponyimwa simu

  Karibu robo ya vijana wamejenga tabia ya utegemezi wa simu zao na tabia hiyo imekuwa kama uraibu, utafiti umebainisha. Utafiti uliofanywa katika chuo cha King kilichopo London, unasema kuwa watu wanakuwa na hofu na kukasirishwa kama wakinyimwa mwanya wa kuwa na simu. Vijana wamekuwa...
 12. jaji mfawidhi

  Furaha yatoweka CCM, ushindi kama msiba, wapinzani washangilia. Rais ageuka kauli zake za awali kanisani Dodoma

  Katika hali ya kindumilakuwili, RAISI akiwa kanisani Dodoma, kanisa katoliki lile linalomwimbia nyimbo za sifa na kuabudu, baada ya kusali alikabidhiwa kipaza sauti aseme neno, alizungumza siasa japo huwa yeye anasema siasa na dini zisichanganywe tena huenda mabili zaidi na kukutanisha wanasiasa...
 13. Makirita Amani

  Sababu nne (4) kwanini huwezi kuwa na furaha ya kudumu na kwanini hilo ni jambo jema kwako

  Rafiki yangu mpendwa, Unazikumbuka zile hadithi za utotoni, zile hadithi ambazo zinaanza na mtu akiwa kwenye mazingira fulani magumu, anayashinda na hadithi inamalizia kwa kusema; wakaishi kwa raha mustarehe maisha yao yote! Rafiki, leo nina habari za kusikitisha kidogo kwako, hicho kitu...
 14. Apollo

  Uhalisia wa Furaha na Mateso katika Maisha

  Maisha ni fumbo kwa kila mmoja wetu, na kila mwanadamu anaishi kwenye ulimwengu wake katika maisha yake. Fumbo la maisha ni kubwa na haijawahi kutokea mwanadamu ambaye ameweza kutoa mwanga kuhusiana na fumbo la maisha na jinsi ambavyo falsafa mbalimbali zimekuwa zikielezea. Ni fumbo ambalo tangu...
 15. N

  hii ndio njia ya pekee

  Njia pekee ya furaha ya mwanadamu Kila mwenye akili linganifu anaijua njia hii hata kama ataipinga hadharani, hujua kuwa njia hii ndio njia ya furaha ya milele, yeye ni kama waliosemwa na Allah baada ya kukana utume wa Musa (‘Alayhi Salaam) baada yakuwajia miujiza: “Na wakazikataa kwa dhulma na...
 16. Ack

  Hii inanigusa sana kutoka moyoni, sijui wewe ni ipi

  Kwa kawaida wimbo mzuri ni ule ambao huburudisha nafsi yako, na sio fulani akiupenda lazima na mimi niupende, mfano kuna mtu anapenda nyimbo ya U.S kwa sababu fulani anaipenda au anaona kupenda nyimbo za ulaya ndo ujanja, Kila binadamu na hata wanyama kuna vitu hupenda kulidhisha nafsi yao...
 17. Ack

  Hii inanigusa sana kutoka moyoni, sijui wewe ni ipi

  Kwa kawaida wimbo mzuri ni ule ambao huburudisha nafsi yako, na sio fulani akiupenda lazima na mimi niupende, mfano kuna mtu anapenda nyimbo ya U.S kwa sababu fulani anaipenda au anaona kupenda nyimbo za ulaya ndo ujanja, Kila binadamu na hata wanyama kuna vitu hupenda kulidhisha nafsi yao...
 18. Ack

  Hii inanigusa sana kutoka moyoni, sijui wewe ni ipi

  Kwa kawaida wimbo mzuri ni ule ambao huburudisha nafsi yako, na sio fulani akiupenda lazima na mimi niupende, mfano kuna mtu anapenda nyimbo ya U.S kwa sababu fulani anaipenda au anaona kupenda nyimbo za ulaya ndo ujanja, Kila binadamu na hata wanyama kuna vitu hupenda kulidhisha nafsi yao...
Top