omicron

Omicron (; uppercase Ο, lowercase ο, literally 'small o': όμικρον from ὂ μικρόν ò mikrón, micron meaning 'small' in contrast to omega) is the 15th letter of the Greek alphabet. In the system of Greek numerals it has a value of 70. This letter is derived from the Phoenician letter ayin: . In classical Greek, omicron represented the sound [o] in contrast to omega [ɔː] and ου [oː]. In modern Greek, omicron represents the mid back rounded vowel /o̞/ , the same sound as omega. Letters that arose from omicron include Roman O and Cyrillic O.

View More On Wikipedia.org
 1. beth

  #COVID19 WHO: Omicron imepelekea maambukizi mapya Milioni 18 wiki iliyopita

  Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amewaonya Viongozi wa Mataifa kuwa mlipuko wa Virusi vya Corona haujaisha. Amesema kwa wiki iliyopita pekee, Kirusi cha Corona aina ya Omicron kimepelekea maambukizi mapya Milioni 18 ulimwenguni kote. Ameeleza wasiwasi wake...
 2. comte

  #COVID19 Ulaya inaelekea kushusha hadhi ya Omicron Corona kutoka janga kuwa ugonjwa ambao tujifunze kuishi nao

  LONDON — In Britain, France, Spain and other countries across Europe, politicians and some public health experts are pushing a new approach to the coronavirus pandemic borne of both boldness and resignation: that the illness is becoming a fixture of daily life. Governments are seizing a moment...
 3. beth

  #COVID19 WHO: Kirusi cha Omicron hakipaswi kuainishwa kama hakina makali, kinaua watu

  Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Visa Milioni 9.5 vimeripotiwa ulimwenguni Wiki iliyopita, ikiwa ni ongezeko la 71%. Japokuwa Kirusi cha Omicron kimeonekana kutosababisha makali kama Delta, WHO imesema Kirusi hicho hakipaswi kuainishwa kama 'Hakina makali'. Mkuu wa Shirika hilo, Dkt...
 4. Analogia Malenga

  #COVID19 Aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho IHU chagundulika Ufaransa

  Ufaransa imeripoti aina mpya kirusi cha corona ambacho ni B.1.640.2 au IHU ambacho kina mabadiliko 46 Kama Shirika la Afya Duniani (WHO) litathibitisha uwepo wa kirusi hicho kitaweza kuitwa ' Pi' kwani ndio herufi inayofuata baada ya Omicron IHU kimethibitishwa kwa watu 12 nchini ufaransa...
 5. Kasomi

  #COVID19 Dalili zingine za Omicron

  Aina mpya ya virusi vya corona vya Omicron vinaenea kwa kasi duniani kote. Je, ni dalili gani watu wakipata wanapaswa kuchukua hatua? Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema watu bado wanapaswa kuangalia dalili za kawaida za Covid: Aina mpya ya kikohozi kinachoendelea homa/joto la juu kupoteza...
 6. beth

  #COVID19 Afrika Kusini yalegeza kanuni za kudhibiti Corona

  Taifa hilo limeondoa marufuku ya watu kuwa nje kuanzia saa saa sita usiku hadi 10 alfajiri. Vilevile, mikusanyiko ya ndani haitakiwi kuzidi watu 1,000 na ya nje watu 2,000 Pia, Serikali imeashiria kuruhusu uuzaji wa pombe baada ya saa tano usiku, hatua inayotoa ahueni kwa Wafanyabiashara ambao...
 7. beth

  #COVID19 WHO: Athari ya Kirusi cha Omicron ipo juu

  Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO limesema leo kwamba athari inayotokana na aina mpya ya kirusi cha Omicron bado iko juu baada ya idadi ya maambukizo ya virusi vya corona kuongezeka kwa asilimia 11 kote duniani wiki iliyopita Katika taarifa yake ya kila wiki kuhusu udhibiti na kuenea kwa virusi...
 8. beth

  #COVID19 Ufaransa yatangaza kanuni mpya kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya Corona

  Kanuni mpya za kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya COVID19 yatokanayo na Kirusi cha Omicron zimetangazwa Nchini humo Waziri Mkuu wa Ufaransa, Jean Castex amesema kuanzia Januari 03, kufanyia kazi nyumbani itakuwa lazima kwa angalau siku 3 kwa wiki kwa wale wanaoweza. Mikusanyiko ya ndani...
 9. Analogia Malenga

  #COVID19 Dubai, UAE: Ndege kutoka Tanzania kutoruhusiwa kutua kuanzia Desemba 25

  Mamlaka ya Udhibiti wa Majanga ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuzuia ndege kutoka Tanzania kutua kuanzia Desemba 25 kutokana na kuongezeka kwa visa vya Kirusi cha Omicron. Nchi nyingine zilizozuiwa ni Kenya, Ethiopia na Nigeria. Hata hivyo, Ndege za UAE zitaendelea kupeleka...
 10. Vandetta

  #COVID19 Wabunge 38 wa Uganda waliokuwa Arusha wakutwa na Corona, waliobaki waambiwa wajitenge

  Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19. Kwa mjibu wa msemaji wa bunge la Uganda Chris Obore amefahamisha...
 11. Kamanda Asiyechoka

  #COVID19 Kwanini mnawalazimisha kupata chanjo ambayo sio kinga?

  Haiwezekani mpigie chapuo chanjo za kovid na kisha mkiri kwa kinywa chenu kuwa chanjo za kovidi sio kinga bali zinasaidiia ukipata kovidi isikuchape kwa nguvu. Je, mnadhani watanzania ni wajinga? Kwa nini mnawalazimisha kupata chanjo ambayo sio kinga? Kwa nini tusiwe na kinga yetu kamili...
 12. zimmerman

  African scientist who discovered Omicron variant says world’s response ‘unfair’

  Magufuli alipokataa ujinga huu, wa nchi za kiAfrika kucheza siasa za wazungu za corona, nadhani hawakumwelewa wenzake kwenye corridors of power. Ni hivi: mzungu hutumia kila fursa yoyote, liwe jambo jema au jambo baya kama janga hili la dunia kukazia ile imani yake ya ndani kabisa asiyotaka...
 13. Analogia Malenga

  #COVID19 Rais Ramaphosa akutwa na maambukizi ya COVID-19

  Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amepimwa na kukutwa na Covid-19 na anatibiwa kwa dalili zisizo kali. Bw Ramaphosa alianza kujisikia vibaya siku ya Jumapili baada ya kuondoka katika ibada ya kumbukumbu ya Rais wa mwisho wa enzi za ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini FW De Klerk mjini Cape...
 14. Kasomi

  #COVID19 Omicron: Maswali matano kuhusu kirusi hatari cha corona

  Mara tu omicron kilipotajwa kuwa aina ya kirusi kipya tarehe 26 Novemba, mjadala kuhusu kiruisi hiki ulichacha kwenye mitandao. Kulingana na ripoti za GOOGLE omicron lilikuwa neno lililotafutwa sana kwenye mitandao. Baada ya kugunduliwa nchini Afrika Kusini kurudi hiki tayati kimeripotiwa...
 15. Miss Zomboko

  #COVID19 WHO yaonya kuhodhiwa kwa chanjo kutoka na aina mpya ya kirusi cha Omicron

  Shirika la afya duniani WHO, leo limeelezea wasiwasi kwamba mataifa tajiri yanayotishiwa na kuzuka kwa aina mpya ya kirusi cha Omicron huenda yakahodhi chanjo za ugonjwa wa COVID-19 na kutatiza usambazaji wa chanjo hizo kote duniani hali itakayotatiza juhudi za kukabiliana na janga hilo. Mkuu...
 16. beth

  #COVID19 WHO: Chanjo zilizopo zina ufanisi dhidi ya Omicron

  Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Chanjo dhidi ya COVID19 ambazo tayari zipo bado zinapaswa kuwalinda watu wanaopata maambukizi ya Kirusi cha Omicron, na hakuna dalili aina hiyo mpya inakataa Chanjo kuliko aina nyingine. Dkt. Mike Ryan amesema chanjo zina ufanisi mkubwa, na zimethibitisha...
 17. Semahengere

  #COVID19 Tuna Serikali ya ajabu sana. Nchi inachafuliwa kwa COVID-19 huko India na mamlaka zimekaa kimya

  Hii nchi Ina laana kama balaa bluu. Tangu juzi India inalalamika kupokea watu wao wanaorudi kutoka Tanzania wakiwa na Omicron the latest COVID-19 na walipimwa huku wakawa Negative. Nashangaa hakuna mwenye dhamana anayejibu chochote. Watu wamekaa kimya na kisheria ukinyamaza Ina maana umekubali...
 18. beth

  #COVID19 Hospitali Nchini Afrika Kusini zaandaliwa kupokea wagonjwa zaidi

  Rais Cyril Ramaphosa anasema Hospitali Nchini humo zinaandaliwa kulaza wagonjwa zaidi hospitalini, wakati Kirusi cha Omicron kikiendelea kuenea na kupelekea Wimbi la Nne Rais Ramaphosa anasema idadi ya maambukizi ya siku imeongezeka mara tano zaidi ya wiki iliyopita. Amewataka Wananchi kupata...
 19. GENTAMYCINE

  Huku tukiikaribisha miaka 60 ya 'Uhuru' Watanzania tumetakiwa Kusalimiana 'Kijapan' kwa Kukunja Ngumi na Kuinama tu

  Nilidhani Viongozi wetu huku kuelekea Kutimiza Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania wangskuwa wanahimiza zaidi 'Utanzania' wetu ila cha Kushangaza sasa Watanzania tunatakiwa Kuiga 'Tamaduni' za Wengine ambazo sina uhakika kama zitaeleweka vyema. Kuna Mtanzania Mmoja jana akiwa pande za Morocco...
 20. beth

  #COVID19 Serikali: Hatujabaini Kirusi cha Omicron mpaka sasa

  Serikali imesema Maabara ya Taifa imekuwa ikichunguza mabadiliko ya kirusi ili kuangalia uwepo wa anuai zinazotokana na mabadiliko ya COVID-19, ikiwemo Omicron na mpaka sasa haijabaini aina hiyo mpya ya Kirusi Imesema haijajulikana kama abiria kutoka Tanzania aliyeripotiwa kubainika na Kirusi...
Top Bottom