chamwino

Chamwino is an administrative ward in the Dodoma Urban district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 2,840.

View More On Wikipedia.org
  1. peno hasegawa

    Ajira: Nafasi wazi za kazi Ikulu huwa zinatangazwa lini na wapi?

    Nimepitia mitaani, vijana ni wengi sana hawana ajira. Mmoja nimekutana naye ameniuliza Hilo swali hapo juu. Mwenye majibu tafadhali
  2. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa aagiza Daraja la Nzali-Chamwino kujengwa haraka

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi, Aisha Amour, kutafuta haraka mkandarasi wa kujenga daraja la Nzali, lililopo wilayani Chamwino, mkoani Dodoma mara tu baada ya hatua za usanifu wa daraja hilo kukamilika. Akizungumza na wananchi wa...
  3. benzemah

    Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Chamwino Dodoma leo Novemba 20

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2023.
  4. Roving Journalist

    Rais Samia kuna Rais mwenzangu aliniambia nimbadilishe Balozi, aliyepo kazini haendi na Mikutano hashiriki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mabalozi Wateule Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=3hgz9HYOiR8 RAIS SAMIA: MAFUNZO YA UBALOZI YASIWE YA JUMLAJUMLA Rais Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mabalozi...
  5. Roving Journalist

    Rais Samia amtaka Kamishna Wakulyamba kutatua Matatizo ya Jeshi Usu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo 16 Juni, 2023. Viongozi watakaoapishwa ni: Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kuwa Balozi Mhe. Rogatus Hussein Mativila, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa...
  6. benzemah

    Rais Samia Akutana na Washauri Wapya wa Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Jamii Ikulu Chamwino

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Washauri walioteuliwa hivi karibuni wa mambo ya Siasa na Uhusiano wa Jamii, Mhe. Abdallah Bulembo, Mhe. Haji Omar Kheir, Mhe. Rajab Luhwavi na Mhe. William Lukuvi mara baada ya kuwaapisha Mkoani Dodoma...
  7. Nyankurungu2020

    Kupiga vita ufisadi sio udikteta. Leo hii ikulu Chamwino imekamlilika, Umeme toka JNHPP utaanza kuzalishwa. Daraja la busisi je?

    Mlisjisahau mkadhania kupiga vita ufisadi ni udikteta . Mkabakiza kashfa na maneno yasiyo na tija eti Megastructures hazina faida. Leo hii mnakatiza wami. Soon mtakatiza busisi. Na ndio msingi mkuu wa kupiga vita ufisadi
  8. Jidu La Mabambasi

    Mnaomshauri Rais juu ya Ikulu mpya Chamwino muogopeni Mungu

    Katika nchi yoyote, Ikulu is one of the most, if not the most secure premise. Maana hapo ndio ofisi za madaraka ya juu kabisa. Pamoja na kupongeza ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino, nimeshangazwa sana na mapendekezo mapya ya majengo ya huduma. Pengine kama sijaelewa maana yake. -Kutakuwepo na jengo...
  9. benzemah

    Kila Mtanzania ajivunie IKULU mpya ya Chamwino

    Jumamosi, tarehe 20 Mei 2023 Tanzania, imeandika historia nyingine kubwa katika Bara la Afrika na duniani. Ni kwa kuzindua Ikulu mpya katika Makao makuu ya nchi, Dodoma. Ikulu mpya ya Chamwino ilizinduliwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, huku wageni mbalimbali wakishuhudia. Ni Ikulu ya...
  10. F

    Mbowe hujahudhuria uzinduzi wa ikulu mpya, who knows siku moja waweza kuishi Chamwino

    Uzinduzi wa ikulu mpya Chamwino umefanyika leo ambapo viongozi mbalimbali wamehudhuria. Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Freeman Mbowe hakuhudhuria. Wakati uzinduzi unaendelea Mbowe na viongozi wengine wa Chadema wameendelea na operation +255 huko Kasulu mkoani Kigoma. Hongera...
  11. Zombie S2KIZZY

    Diamond Patnumz atua ikulu ya Chamwino

    Mtanzania wa kwanza mwenye tattoos mpaka kwenye shingo na vipuli vya almasi masikioni kuingia bungeni na ikulu ya Tanzania! Hii imekaaje wakuu?
  12. The Burning Spear

    Hayati Magufuli alivyowacheka wazungumzaji uzinduzi wa ikulu Chamwino

    Naona mmejitahidi Sana kukwepesha kwepesha UKWERI...... Naomba niwaambie watanzania Wengi hawaoni hayo majengo au Ile halaiki kichwani mwao wakisikia uzinduzi wa ikulu Dodoma....... Hii ndo picha inayokuja kichwani mwao siyo hayo majebgo meupe. Meupe...... Jingine Mmefanya vizuri kutomtaja...
  13. Stephano Mgendanyi

    Uzinduzi wa Ikulu Mpya ya Chamwino, Dodoma

    UZINDUZI WA IKULU MPYA YA CHAMWINO - DODOMA, TANZANIA Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate ni miongoni mwa Wabunge na Watanzania wanaohudhuria Uzinduzi wa Ikulu Mpya ya Chamwino Dodoma leo tarehe 20 Mei, 2023. Mgeni...
  14. RWANDES

    Ikulu ya Chamwino: Nani hasa anastahili credits?

    Zuhura Yunus ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya Ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. Hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza? Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
  15. Magufuli 05

    Magufuli ndiye aliyejenga Ikulu ya Chamwino, acheni janja janja

    Watanzania, Kuna nguvu kubwa imetumika kuhakikisha Rais Magufuli hatajwi kwenye UJENZI WA ikulu ya CHAMWINO. Jamaa wameziba kuanzia TBC Hadi kwa muandaaji wa makala yule mama wa BBC. Hivi mnatuonaje wengine, yaliwashinda wengine wote, chuma kikaamua na leo imetimia rasmi, Jiwe la msingi la...
  16. Roving Journalist

    Rais Samia Azindua Ikulu Mpya ya Chamwino, Dodoma, Mei 20, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Ikulu mpya iliyopo Makao Makuu ya Nchi, Dodoma, leo tarehe 20 Mei, 2023. HUSSEIN MWINYI, RAIS WA ZANZAIBAR Nampongeza Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa mafanikio haya ya ujenzi wa majengo mapya ya...
  17. Sifael Mpollo

    Rais Samia azindua rasmi Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma

    Leo tarehe 20 Mei 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan ataongoza uzinduzi rasmi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa JMT na watumishi wengine watahamia katika Ikulu hiyo. Sherehe hiyo ya kihistoria inatarajiwa kuhudhuriwa na takribani watu 2,500...
  18. benzemah

    Kukamilika Ikulu Chamwino Dodoma, Rais Samia Kuandika Historia Nyingine

    Wakati uzinduzi wa Ofisi za Rais Ikulu, Chamwino jijini Dodoma, ukitarajiwa kufanyika Mei 20 Mwaka huu Serikali imesema serikali imesema inajivunia mchango wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, katika ujenzi huo, ambao utaandika historia nyingine. Rais Samia ataingia katika Historia ya Tanzania kwa...
  19. BARD AI

    Simbachawene: Ujenzi wa Ikulu ya Chamwino umekamilika kwa 100%

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Unma na Utawala Bora, George Simbachawene ametoa hotuba kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwaajili ya Ofisi ya Rais kwa mwaka 2023/2024 Bungeni Dodoma leo ambapo amesema ujenzi wa Ikulu ya Chamwino umekamilika kwa asilimia...
Back
Top Bottom