Kama mnajiachia namna hii mkiwa Chamwino bila kuzingatia mashariti ya Uviko 19. Mkopo wa tril 1.3 una tija?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Ni dhahiri hata nyie viongozi wa serikali mnakubali kuwa mliingia kitanzini kupata mkopo wa tril 1.3 toka Wb kwa mashariti ya kupambana na Uviko 19 lakini mkijua kabisa hali sio mbaya kihivyo.

Maana nawaona kwenye dhifa la kitaifa kumkaribisha rais wa Burundi wengi mmevaa barakoa kama geresha, hata social distancing hakuna kabisa.

Hii inadhihirisha kuwa kumbe mmeshatambua kuwa hili janga japokuwa lipo lakini sio kwa namna wafadhili wanataka iwe.

Hii ni wazi kuwa mlikubali kutuletea chanjo ambazo hazithibisha kukinga Uviko 19 ili mvute Tril 1.3.

My take; Mmetumia afya za watz kama dhamana ya mkopo wa tril 1.3. Zitumike vyema kama inavyistahili.
 
Mabeberu Hayatupendi
Tumtangulize Mungu Ndugu Zangu
COVID 19 Ni Shetani Na Tutamshinda
Tutaanza Kumshukuru Mungu Leo Ijumaa, Jumamosi Na Jumapili
By Jiwe
 
Ni dhahiri hata nyie viongozi wa serikali mnakubali kuwa mliingia kitanzini kupata mkopo wa tril 1.3 toka Wb kwa mashariti ya kupambana na Uviko 19 lakini mkijua kabisa hali sio mbaya kihivyo.

Maana nawaona kwenye dhifa la kitaifa kumkaribisha rais wa Burundi wengi mmevaa barakoa kama geresha, hata social distancing hakuna kabisa.

Hii inadhihirisha kuwa kumbe mmeshatambua kuwa hili janga japokuwa lipo lakini sio kwa namna wafadhili wanataka iwe.

Hii ni wazi kuwa mlikubali kutuletea chanjo ambazo hazithibisha kukinga Uviko 19 ili mvute Tril 1.3.

My take; Mmetumia afya za watz kama dhamana ya mkopo wa tril 1.3. Zitumike vyema kama inavyistahili.
Covid I9 imetu onyesha aina ya viongozi wa Africa, kwamba wako tayari kwa lolote kuhusi wananchi wao ili kupata pesa.....haijalishi madhara ya takao tokoe kila mtu atapambambana vya kwake, hapa ni kujiongeza na familia yako.
 
Ni dhahiri hata nyie viongozi wa serikali mnakubali kuwa mliingia kitanzini kupata mkopo wa tril 1.3 toka Wb kwa mashariti ya kupambana na Uviko 19 lakini mkijua kabisa hali sio mbaya kihivyo.

Maana nawaona kwenye dhifa la kitaifa kumkaribisha rais wa Burundi wengi mmevaa barakoa kama geresha, hata social distancing hakuna kabisa.

Hii inadhihirisha kuwa kumbe mmeshatambua kuwa hili janga japokuwa lipo lakini sio kwa namna wafadhili wanataka iwe.

Hii ni wazi kuwa mlikubali kutuletea chanjo ambazo hazithibisha kukinga Uviko 19 ili mvute Tril 1.3.

My take; Mmetumia afya za watz kama dhamana ya mkopo wa tril 1.3. Zitumike vyema kama inavyistahili.
Wacha yafe tu kazi yao kula tozo tu
 
We tulia tulishapata tulichokuwa tunatafuta,kwani fungu halijafika huko? Bila kuwafanyia comedy unafikiri wangetoa hata Senti.
Ndiyo maana tuliamua kumpuuza Gwajima angeamsha waliolala.
 
Back
Top Bottom