utunzaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Utunzaji wa taka ni mbovu sana Kawe - Mzimuni, zinazagaa ovyo Mitaani, hii ni hatari kwa afya

    Mimi ni mkazi wa Kawe - Mzimuni karibu na Shule ya Ali Hassan Mwinyi, kwa muda wa wiki yote hii kama sijakosea ni kuanzia Jumapili (Machi 17, 2024) nimeshuhudia taka zikizagaa mitaani tena nyingine zikiwa katikati ya Barabara. Mazingira ya utunzani taka mtaani kwetu ni ya ovyo sana, hili...
  2. John Haramba

    Mwenyekiti JET: Elimu ya utunzaji mazingira iingizwe kwenye Mitaala ya Elimu kuanzia ngazi ya chini

    Umoja wa Maafisa Watendaji Wakuu Tanzania wakiwemo wa Mashirika Binafsi na Serikali (CEOrt) wakishirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira (Journalists' Environmental Association of Tanzania – JET) wamekutana na Wadau mbalimbali katika warsha ya kujadili mambo mbalimbali kuhusu...
  3. dilungathegreat

    SOFTWARE DukaPoint: Imerahisisha utunzaji na upatikanaji wa kumbukumbu za biashara yako(mauzo, manunuzi, matumizi, stock n.k)

    Kuna msemo wa Kiswahili usemao: "mali bila daftari, hupotea bila habari." Mfanyabiashara makini hufahamu hili na ndio maana haachi kutunza kumbukumbu za biashara yake. Utunzaji wa taarifa za mauzo, manunuzi, matumizi, na stoku ni muhimu kwa ukuaji wa biashara, kwani itakusaidia kufahamu...
  4. Mama Amon

    Kardinali Protase Rugambwa, hadithi ya wanawali kumi, na teolojia ya utunzaji wa rasilimali

    https://youtu.be/ZjF8cpKA9kA Katika homilia yake ya kwanza kama Askofu Mkuu Mpya wa Jimbo la Tabora, Kardinali Rugambwa, amehusianisha hadithi ya wanawali kumi na utunzaji wa rasilimali za nchi katika namba yenye kufikirisha sana. Nitajaribu kueleza nilichoelewa kutokana na homilia yake...
  5. SPINE

    Msaada: Njia bora ya kurudisha weusi kwenye nywele zilizobadilika rangi

    Habari za mida hii wadau, natumaini tunaendelea vyema na mihangaiko ya kila siku. Naomba kujua njia gani nzuri/ mafuta ya kufanya nywele ziwe na weusi mzuri bila kutumia material kama "super black". Hata kama zipo njia za asili, naomba msaada wadau. Nywele zimekuwa za brown sana. Niliambiwa...
  6. Stephano Mgendanyi

    Kiwanda cha Mazava Morogoro Chasisitizwa Kuzingatia Utunzaji wa Mazingira na Usalama wa Mahali pa Kazi

    MBUNGE NORAH MZERU ASISITIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA USALAMA MAHALI PA KAZI KIWANDA CHA NGUO CHA MAZAVA MOROGORO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru mnamo tarehe 05 Machi, 2023 amefanya ziara na kutembelea Kiwanda cha Uzalishaji Nguo cha Mazava kilichopo katika...
  7. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na suala zima la utunzaji wa mazingira

    Mazingira ni muhimu sana katika maendeleo ya binadamu. Tunategemea mazingira kwa ajili ya chakula, maji, hewa safi na rasilimali nyinginezo. Hata hivyo, mazingira yanazidi kuharibika kutokana na shughuli za kibinadamu kama vile uchimbaji wa madini, kilimo cha kibinafsi, uvuvi haramu na uchafuzi...
  8. R

    Natafuta kazi ya Utunzaji Kumbukumbu, nina uzoefu wa miaka 3

    Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu. Nina Diploma ya Utunzaji Kumbukumbu niliyopata katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo. Mwenye kuhitaji mtu wa kutunza kumbukumbu katika organization yake nipo tayari.
  9. MamaSamia2025

    Kampeni nyingi za utunzaji mazingira zimekosa uhalisia

    Kabla hujaenda mbali kusoma huu uzi tazama hiyo picha kisha utuambie kama kinachofanyika hapo kinahamasisha chochote. Ndugu zangu katika mambo ambayo nimeshindwa kabisa kuyaelewa ni hizi kanpeni za kuhusu mazingira ninazoziona kwenye vyombo vya habari. Kwa upande wangu naona nyingi zinafanyika...
  10. The Sheriff

    Taasisi za afya zitekeleze utunzaji salama wa taarifa za wagonjwa

    Taarifa za matibabu ni miongoni mwa nyaraka nyeti zaidi kwa mtu yeyote. Kuweka salama taarifa za mgonjwa ni sehemu muhimu ya kudumisha uaminifu wa mgonjwa, na pia kulinda utu na heshima yake. Katika mlolongo wa kupata matibabu wakati fulani mgonjwa analazimika kufichua taarifa zake binafsi...
  11. J

    Waziri Bashungwa ahimiza utunzaji wa uoto wa asili na misitu

    WAZIRI BASHUNGWA AHIMIZA UTUNZAJI WA UOTO WA ASILI NA MISITU. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) ametoa wito kwa Watanzania kutunza uoto wa asili na misitu iliyopo nchini na kujenga tabia na msukumo binafsi wa kupanda miti. Ametoa wito huo Oktoba 22, 2022...
  12. Kgy26

    SoC02 Uwajibikaji ni nguzo ya maendeleo katika nchi yoyote duniani

    Maana ya Uwajibikaji Ni hali ya kujituma kutimiza majukumu au wajibu fulani kwa wakati, mahali na muda sahihi. Neno hili katika maadili na utawala linafananishwa na kuwa na jukumu la kujibu, kutegemewa au kutoa hesabu ya kile ulichopewa dhamana ya kukifanya. Dhana hii imekuwa ikitumika sana...
  13. Kgy26

    SoC02 Utunzaji wa Afya kwa Watanzania

    Afya Afya ni hali ya kuwa na ustawi au kujisikia katika hali nzuri kimwili, kiroho, kiakili na kijamii. WHO inabainisha kuwa afya ni kuwa na ustawi kimwili, kiakili na kijamii. Aina za Afya Afya ya kiakili, inajumuisha hisia, tabia na mitazamo ya mtu kuhusu binadamu wenzake na...
  14. Masinki

    Naomba kuelekezwa vyuo vinavyohusika na kozi za utunzaji kumbukumbu (Records management) Mwanza

    Kichwa Cha habari kinajieleza vema, Mwenye kufahamu vyuo hivyo Jijini Mwanza naomba anipe Maelekezo na wilaya kilipo!!! Nawasilisha!!
  15. T

    SoC02 Uhusiano kati ya usafi wa mazingira na maendeleo

    Mazingira ni vitu vyote vinavyotuzunguka mfano miti,mito,miamba,hewa safi. Utunzaji wa mazingira ni kitendo kinachohusisha uhifadhi wa mazingira asilia,kuyalinda yasiharibike kutokana na shughuli za kibinadamu mfano utupaji hovyo wa Taka. Usafi wa mazingira Inauhusiano mkubwa sana katika...
  16. J

    SoC02 Jinsi UVIKO-19 ulivyoathiri upatikanaji, utunzaji na uzalishaji wa vyakula

    JINSI HALI YA UVIKO 19 ILIVYO LETA ATHARI KATIKA UPATIKANAJI, UTUNZAJI NA UZALISHAJI WA CHAKULA. UTANGULIZI UVIKO 19 ni ugonjwa ulio anza kusambaa mwishoni mwamwaka 2019, ukianzia huko nchini CHINA katika jimbo la WUHAN. Ugonjwa huu unaushisha dalili mbalimbali ikiwepokupumua kwa shida, mafua...
  17. E

    Suzuki Escudo. Mwenye kuijua Spea, Mafuta & Utunzaji

    Wakuu katika kuzunguka mtandaoni nimepata Suzuki Escudo 2700cc, MT, japo Bei imechangamka Ila naimudu. Mwenye kujua gari tajwa anishauri kabla sijatuma pesa. Asanteni
  18. seotamsin

    Tunapaswa kufanya nini katika utunzaji wa kibinafsi?

    Bir erkek olarak kişisel bakımıma nasıl başlamalıyım, ne kullanmalıyım, bilgili ve yardımcı olabilecek biri olursa sevinirim :) Kusursuz bir cilt için hangi kremi kullanmalıyım?
  19. Kasomi

    John Francis Raia Wa Marekani Aliyetembea kwa Miguu Miaka 22 Akiizunguka Marekani Kuhamasisha Utunzaji Wa Mazingira

    JOHN FRANCIS RAIA WA MAREKANI ALIYETEMBEA KWA MIGUU MIAKA 22 AKIIZUNGUKA MAREKANI KUHAMASISHA UTUNZAJI WA MAZINGIRA Umewahi fikiri kuwa unaweza kukaa kwa siku au miaka mingapi bila kuzungumza chochote yaani bila kutoa sauti, kwa kawaida tu binadamu tunatofautia wengine hata sekunde moja...
  20. Lord denning

    Rais Samia wape meno TFS, anzisha kampeni ya upandaji na utunzaji Miti Tanzania nzima. Iongozwe na vijana wa kujitolea JKT

    Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mama! Kwanza nikupongeze kwa Mafanikio makubwa yanayoonekana kwenye suala la kuwahamisha Machinga na kuwapeleka maeneo rasmi. Na furaha nchi sasa imeanza kupendeza hasa majiji yetu! Nimepita Posta mpya leo na Kweli nimeiona Posta niliyoijua...
Back
Top Bottom