SIO KOSA WALA DHAMBI MTU KUWA CCM AU CHAUMMA; NI USHENZI NA UKATILI KULAZIMISHA WATU KUWA CHAMA KIMOJA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hii tabia wako nayo wafuasi na wanachama wengi wa CHADEMA.
Ni tabia mbaya sana ambayo ni kiashiria cha ukatili na ubinafsi.
Muache hii tabia. Ni tabia...
"JKT si chombo cha Muungano. Zanzibar ina idara maalumu yenye hadhi na majukumu yanayofanana na JKT; ambayo ni JKU. Kuwalazimisha vijana wa Zanzibar kujiunga JKT ni kupora mamlaka ya Zanzibar."
Mwenezi wa ACT Wazalendo, Salim Bimani
Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure umepokea taarifa ya Mtumishi kitengo cha Mochwari anaeuza majeneza na kulazimisha wafiwa kununua kwake na tayari umeshachukua hatua za haraka za kumsimamisha kazi mtumishi huyo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma hizo.
Aidha Tunawahimiza...
Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa wito kwa Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Sekou Toure kufanua uchunguzi juu ya tuhuma za Mtumishi wa Mochwari hospitalini hapo kudaiwa kutumia nafasi yake kujineemesha binafsi na kuwakwaza wenye uhitaji wanaofika kazini kwake, Mkuu wa Mkoa...
Katika mazuri machache aliyofanya dikteta Mobutu wa DRC (Zamani Zaire) ni kulazimisha wananchi wote kutumia majina asili ya makabila yao badala ya haya ya kigeni. Imesaidia sana kulinda utamaduni wao na inarahisisha kutambulika bila kujieleza sana.
Tanzania tukiendelea hivi tutapoteza kabisa...
Aman iwe watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kuna mwanamke mmoja hapa mjini posta huwa nampenda sana, kwa kifupi siyo level yangu kwa kweli ni mzuri sana na ni wa kishua kwa kifupi ana maisha
Lakin ndugu zangu Kuna siku niliamua nimtongoze huyu dada akawa amenikataa, nikarudia tena...
Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused.
Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa kwa vitendo na mtuhumiwa wa uhaini mwenyewe eti waonyeshe furaha na ujasiri ambao wote hawana na...
Wameteka, wamepoteza, wamejeruhi wameua na hawataki kukiri makosa yao waliyoyafanya kwa uwazi na mchana kweupe kwa kuwa walishatuona sisi sote ni kama mbuzi wao wa kafara..
Na sasa eti wanataka kulazimisha waongoze maridhiano ili tuongezeke na watengeneze mazingira ya kuja kuua wengine...
===
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alisema Tanzania iko mikononi mwa Mungu na ndiyo maana imeendelea kuwa nchi yenye amani na utulivu na kimbilio la mataifa yaliyopoteza tumaini.
“Nchi hii imeshikwa na Mwenyezi Mungu na ni kwa sababu viongozi wa dini wanaendelea kuliombea...
Hakika ya ushindi wa namna hii ni kwamba, ushindi huo hauwezi kumwondolea mshindi huyo hofu ya kwamba naye anaweza kuondolewa kwa kishindo
Hofu ya kulazimisha ushindi huwapokonya washindi bandia waliopo madarakani imani ya wapiga kura. Hivyo basi, washindi bandia hujitahidi kujijengea imani kwa...
Polepole anasema kwa uchaguzi 2020 kundi la mtandao lilikuwa na mgombea wao, walikuwa wanamtaka Shamsi Nyahoza.
Wakati kamati kuu wote walisema hawana mgombea, siku ya jioni kuna mtu alikuwa anapiga simu, binti, alikuwa anapiga simu akitaka mgombea wa zanzibar aliyemtaka yeye na aliyemtuma...
Sina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni.
Shikamooni.
Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi...
Hatimae mahakama za marekani zimeamuru apple kutolazimisha wateja wake kufanya malipo kwa lazima kutumia mifumo yao ya in app payments ambayo wanakata 30% kwa kila mwamala, hivo basi kwa tanzania tuna njia zetu bora sana za malipo za mitandao ya simu, ni muda mwafaka sasa wa TCRA kufikiria hili...
Nabii Mtalemwa amesema madhara ya kunyamazisha watu wasihoji ni makubwa mno. Amesema "hali inakuwa mbaya zaidi pale wanapowaambia watumishi wa Mungu wasiongee kwa sababu hawataki kusikia mambo ya haki."
Apostle amekumbushia hata zamani wafalme waliwabana manabii na kufanya kuwa wasipoongea ndio...
Marehemu Samuel Sitta alilwahi kuita siasa za Tanzania za maji taka. Ni kweli. Ukiangalia majimbo mapya yaliyoanzishwa hivi karibuni, unagundua hili. Mfano, ' Tulia Akson rasmi, amemkimbia Joseph Mbilinyi aka Sugu.
Ni aibu sina mfano. Hawa, hata ukiwapambanisha kwa usupu, Sugu ni msupu kuliko...
Nitashangaa sana mwanasimba yeyote atakayefurahia hata pale itakapotokea timu imetwaa ubingwa wa Ligi. Siku zote ukiitazama Yanga inavyocheza una enjoy anaona mpira halisi na hata wakichukua ubingwa unaona wamestahili!
Ila upande wa pili huko ukiangalia unaona kabisa ni ubingwa wa kulazimishia...
Kisingizio kikubwa cha Marekani kutaka kuipiga Iran ni kwamba eti lazima iingie makubaliano mapya nayo katika muda uliowekwa na Marekani ili ipokee masharti mapya au ikishindwa ipigwe.
Iran imesema hata wakitaka kufanya majadiliano mapya basi si kwa njia ya vitisho kama hivyo.Na kwamba wakipigwa...
Hawa ccm naona kwa sasa watu wamewachoka jana kahama waliamua kulazimisha mkutano wao na wasira ndani ya stendi ya shinyanga kahama ambayo inashuguli nyingi za watu.
Mabasi yalilazimisha kupaki nje ya stendi ili kusubiri wateja wao.
Sasa cha kujiuliza wakati kahama kuna kiwanja kikubwa ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.