#COVID19 Rais wa Marekani, Joe Biden akutwa na maambukizi ya COVID-19

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,024
16,490
Rais wa Marekani bwana Joe Biden amepimwa na kupatikana na virusi vya korona

Joe Biden mzee mwenye umri wa miaka 79 aliyepata chanjo kamili ya covid 19 kwa sasa amejitenga katika Ikulu ya white house huku akiendelea na majukumu yake ya siku zote

---
Joe Biden test positive for COVID-19

United States President Joe Biden has tested positive for COVID-19, is experiencing “very mild symptoms” and will continue to carry out his duties the White House has said.

Biden, 79, will isolate at the White House, had been in contact with members of staff and will participated in planned meetings, the president’s Press Secretary Karine Jean-Pierre announced in a statement Thursday morning.

The president has begun taking Paxlovid, an antiviral drug recommended for those at risk of severe illness. The US Food and Drug Administration (FDA) has said in the case of COVID, that includes those over the age of 65.

Biden’s COVID diagnosis was confirmed by both antigen and PCR tests, the president’s physician, Kevin O’Connor said Thursday in a letter to Jean-Pierre that the White House made public.

The president’s symptoms include a “runny nose”, “fatigue, with an occasional dry cough” which began Wednesday evening, O’Connor wrote. The physician anticipated Biden “will respond favorably” to treatment.

The White House says it will provide a daily update on Biden’s status, and will inform anyone who has been in close contact with the president

Biden’s previous COVID test was Tuesday which was negative, the White House said

Biden will work in isolation until he tests negative, consistent with White House COVID protocol, more stringent than guidance from the US Centers for Disease Control and Prevention (CDC).

While a number of those inside the White House have contracted the virus during Biden’s administration, the president had been able to avoid COVID even as successive variants caused spikes of cases in the US.

First Lady Jill Biden, who is in Michigan has tested negative, and will continue her duties.
 
Rais wa Marekani Joe Biden amekutwa na maambukizi ya COVID19 na taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa ameonekana kuwa na dalili ambazo si kali.

Biden, 79, ambaye amepata chanjo kamili ya Corona, atajitenga katika Ikulu ya White House na kuendelea kutekeleza majukumu yake kama kawaida.

===

Joe Biden test positive for COVID-19

United States President Joe Biden has tested positive for COVID-19, is experiencing “very mild symptoms” and will continue to carry out his duties the White House has said.

Biden, 79, will isolate at the White House, had been in contact with members of staff and will participated in planned meetings, the president’s Press Secretary Karine Jean-Pierre announced in a statement Thursday morning.

The president has begun taking Paxlovid, an antiviral drug recommended for those at risk of severe illness. The US Food and Drug Administration (FDA) has said in the case of COVID, that includes those over the age of 65.

Biden’s COVID diagnosis was confirmed by both antigen and PCR tests, the president’s physician, Kevin O’Connor said Thursday in a letter to Jean-Pierre that the White House made public.

The president’s symptoms include a “runny nose”, “fatigue, with an occasional dry cough” which began Wednesday evening, O’Connor wrote. The physician anticipated Biden “will respond favorably” to treatment.

The White House says it will provide a daily update on Biden’s status, and will inform anyone who has been in close contact with the president.

Biden’s previous COVID test was Tuesday which was negative, the White House said.

Biden will work in isolation until he tests negative, consistent with White House COVID protocol, more stringent than guidance from the US Centers for Disease Control and Prevention (CDC).

While a number of those inside the White House have contracted the virus during Biden’s administration, the president had been able to avoid COVID even as successive variants caused spikes of cases in the US.

First Lady Jill Biden, who is in Michigan has tested negative, and will continue her duties.

Source: Aljazeera
 
Kiukweli wengi waliochanja ili wasipate Korona wakikutana na sie ambao hatujachanja pamoja na vitisho vyote huwa wanajiona mafala kimoyo moyo hata kama hawakiri hadharani

kuna kijana wangu alikuwa kila mara ananitumia clips na matangazo ya vitisho kuhusu kutochanja na akisikia nimeenda Mjini kuswali Ijumaa katika misikiti mikubwa kama ya Mtoro lazima anitumie mimeseji kama waraka wa Serikali kunikanya …kuna siku nilimjibu kwa njia ya utani 'nimezaliwa, nimesoma, nimepata kazi, nimeoa wake kadhaa, nimepata watoto kadhaa, wajukuu kadhaa, nimestaafu, penshen nimekula, Hijja nimeenda …bado nini ?

alisitisha sms zake za namna hii

leo nimemtumia ya Biden kuvagaa corona japo kadungwa chanjo zote …yupo online na sms niliyomtumia imepata tiki ya bluu ila haina majibu
 
eti Kama waraka wa serikali.Ila ww umemtext ka meseji kadogo kashindwa kujibu
 
Swali hapa ni: Je, Mfalme wa Saudia kanusurika maambukizi? Maana niliwaona wakiwa wamekaribiana sana wakati wa ziara ya Biden nchini Saudi Arabia na kibaya zaidi hawakuvaa barakoa/face mask.
 
Pamoja na kuchanjwa mara mbili na kupata chanjo ya booster rais wa marekani ameambukizwa na anaugua covid 19...kutokana na hali hii kuna mtu anayeweza kuhakikisha kutokuambukizwa covid 19 kama rais mwenye ulinzi kuliko wote na anayefuata masharti ya kinga anaambukizwa.

1. Je, kuna haja ya kutazama upya umuhimu wa utoaji wa chanjo? Maana chanjo imekuwa biashara kubwa sana kipindi hiki kwa kivuli cha msaada wa mikopo nafuu hasa kwa nchi maskini.

2. Kama chanjo inayotolewa haina uhakika wa kuzuia maambukizi kuendelea kupokea chanjo kwa watu wetu ni kupoteza fedha na muda?

Kwa sasa zipo taasisi nyingi zinatumia fedha kutangaza na kushawishi watu wapate chanjo.
 
Pamoja na kuchanjwa mara mbili na kupata chanjo ya booster rais wa marekani ameambukizwa na anaugua covid 19..
Nani alikuambia wewe uvccm kuwa chanjo inazuia covid19 kwa asilimia hapo ulipo hata hujui majina ya chanjo japo 2 lakini unachambua Utendaji was chanjo....
 
Maelekezo ni kuwa,chanjo haizuii maambukuzi kwa asilimia 100,na hata kama ukipata hayo maambukizi madhara yake hayawi hatarishi kwa uhai ukilinganisha na mtu asiyechanja...
 
Pamoja na kuchanjwa mara mbili na kupata chanjo ya booster rais wa marekani ameambukizwa na anaugua covid 19...kutokana na hali hii kuna mtu anayeweza kuhakikisha kutokuambukizwa covid 19 kama rais mwenye ulinzi kuliko wote na anayefuata masharti ya kinga anaambukizwa.

1. Je, kuna haja ya kutazama upya umuhimu wa utoaji wa chanjo? Maana chanjo imekuwa biashara kubwa sana kipindi hiki kwa kivuli cha msaada wa mikopo nafuu hasa kwa nchi maskini.

2. Kama chanjo inayotolewa haina uhakika wa kuzuia maambukizi kuendelea kupokea chanjo kwa watu wetu ni kupoteza fedha na muda?

Kwa sasa zipo taasisi nyingi zinatumia fedha kutangaza na kushawishi watu wapate chanjo.
Kuna stock kubwa ya chanjo na booster one, two, three, etc. iko store huko kwa hisani Bill Gates anatamani sana itoke faster apokee mshiko wake.
 
Pamoja na kuchanjwa mara mbili na kupata chanjo ya booster rais wa marekani ameambukizwa na anaugua covid 19...kutokana na hali hii kuna mtu anayeweza kuhakikisha kutokuambukizwa covid 19 kama rais mwenye ulinzi kuliko wote na anayefuata masharti ya kinga anaambukizwa.

1. Je, kuna haja ya kutazama upya umuhimu wa utoaji wa chanjo? Maana chanjo imekuwa biashara kubwa sana kipindi hiki kwa kivuli cha msaada wa mikopo nafuu hasa kwa nchi maskini.

2. Kama chanjo inayotolewa haina uhakika wa kuzuia maambukizi kuendelea kupokea chanjo kwa watu wetu ni kupoteza fedha na muda?

Kwa sasa zipo taasisi nyingi zinatumia fedha kutangaza na kushawishi watu wapate chanjo.
Hivi ni wapi uliambiwa ukichanja huwezi kuambukizwa?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom