• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

mahindi

 1. mwanaharakati kijana

  Natafuta business partner tufanye biashara ya mahindi kwa mikoa ya kanda ya kati

  Salamu kwenu wote na Mungu aturehemu na corona.. Mara baada ya salamu kijana wenu nimekuja na business idea matata sana ambayo nadhani itakua very profitable kwa namna nilivyoidizaini. Ni biashara ya kununua mahindi vijijini kule ndani ndani kabisa ambapo bei ni ndogo mno na kuja kuyauza...
 2. Boniphace Kichonge

  Waziri wa Biashara, Innocent Bashungwa ahaha mahindi yafike DRC

  WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amesema endapo Zambia haitaondoa vikwazo visivyo vya kisheria vya kuzuia mahindi, yanayotoka nchini kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC) kupita katika nchi yao, nao watawawekea vikwazo hivyo wasipitishe mizigo yao kuelekea Rwanda...
 3. Alhaji24

  Nauza pumba za Mahindi nipo Arusha

  Nauza pumba ya Mahindi zipo gunia 40 kwa kila gunia ni sh 25,000 nipo Arusha kwa anaye hitaji tuwasiliane 0712244293 au 0620416881
 4. Heri lee

  Nauza mahindi mabichi, maalum kwa ajili ya kuchoma

  Ndugu wana jamii kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nauza mahindi mabichi mahususi kwa ajili ya kuchoma.. Ninayo heka tatu ni yale makubwa mbegu DK 8031, Napatikana Moshi, nahitaji dalali au mtu anayeweza kuchukua yote kwa jumla, AU at least kuanzia heka moja..Huku wananunua matatu sh 1000...
 5. Jon Stephano

  Kwanini bongo kusikuwe na Black Friday tuchangamkie mahindi

  Mzuka! Ingependeza tungeiga hii makitu Black Friday kutoka kwa mabeberu ambayo ni kesho kuna punguzo la bei kwa kila bidhaa. Bongo ingekuwepo watu kesho tungechangamkia kununua magunia ya mahindi. Sasa hivi mahindi imeteka soko.
 6. KYALOSANGI

  Soko huria hili? Wakulima wakizalisha mahindi mengi hakuna soko. Kukiwa na uhaba wa mahindi wanakumbukwa

  Kwa wale mliowahi kulima mahindi mnalijua hili utapata faida nzuri,pale tu ambapo wewe umepata wenzio hawajapata. Kwa lugha rahisi kabisa, mahindi hupanda bei kukiwa na uhaba na kwa muktadha waTanzania, ni lazima kuwe na uhaba wa mvua. Kama hali ya hewa ni nzuri nchi nzima,kutakuwa na mavuno...
 7. S

  Kiongozi wa chama wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kupanda kwa bei ya mahindi ni kwa sababu serikali hainunui chakula cha akiba

  Zitto alisema Rais John Magufuli ameongelea bei ya unga kupanda yupo sahihi kwa wakulima wanapaswa kupata bei nzuri ya mazao na serikali haipaswi kuingilia. “Amejifunza makosa ya korosho? Lakini sababu za bei kwa walaji kupanda ni serikali kutonunua chakula cha akiba Zitto aliandika ujumbe huo...
 8. nimbagonza

  Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

  Habari wadau, Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada. Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2. GHARAMA Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
 9. M

  Msaada: Nitumie mbolea gani?

  Nitumie mbolea ya aina gani katika ardhi ya kichanga?
Top