Unakuta bibi fudenge amefiwa unamuonea huruma na wengine kufurahi kumbe huyo bibi fudenge alisha move on kitambo na anafurahia mapenzi ya jinsia moja kwa kuwahonga vibinti vidogo na ni mlevi kupindukia.
Bibi fudenge makazi yake yatakuwa jahanamu milele na milele.
Mwanamke mwenye umri wa miaka 52, Maggie Sapatu, kutoka Mwinilunga nchini Zambia, amezawadiwa gari baada ya kutembea kwa miguu karibu kilomita 1,000 hadi Lusaka kwa lengo la kumshukuru Rais Hakainde Hichilema.
Maggie alianza safari hiyo Agosti 15, 16, akiwa amebeba kuku wawili wa kienyeji...
Kama mnakipenda chama chenu na nchi hii sehemu pekee iliyobaki ni hapa.
Mtumieni salamu ajuwe hamjapendezwa na kitendo alichokifanya.
Huwezi kumfukuza mtu uanachama eti kwa sababu anataka tupate katiba mpya. Mkizubaa huyu bibi atawatesa sana. Kazi kwenu sasa mkubali kuwa mateka au muamue kuresist.
Bibi Titi Mohamed na wenzake walihukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa makosa ya uhaini ya kutaka kuipindua serikali ya Nyerere mwaka 1970.
Kwa nini amekuwa anaenziwa kwa kupewa Barabara yenye jina lake "Barabara ya bibi Titi" na pia kufanyiwa matamasha mbalimbali ya kukumbuka historia yake...
Katika kundi la wanawake tasnia ya filamu huyu alitukosha sana vijana kwa zile ngumi zake na mapigano.
Embu fikiria umemfahamu mpaka leo ila utamu umebaki pale pale.
Yaan ujana awape Wengine aalafu uzee alete Kwangu ! Mi nakula naotaka hapa Singapore
Kanatoka Slovenia kana mpunga Ila Mimi sitakagi Pesa ya mwanamke
Sitaki mabibi Mimi alafu kanakazana kutuma wahudumu 😀😀😀
Baada ya kuona Nina minyama yangu...
Kuna siku nilikaa na bibi yangu tukizungumza kuhusu maisha yake ya zamani.
Nilimuuliza swali ambalo lilinifanya nisikie simulizi ambayo hata baadhi ya wajukuu zake hawakuwa wamewahi kuisikia.
Niligundua kuwa zamani alikuwa amesomea na kufanya kazi ya uuguzi, lakini baadaye akaja kuwa mwalimu...
Kumekuwepo na chapisho lililosambazwa kwenye mitandao ya kijamii likidai kuwa mwanamke mmoja kutoka nchini Afrika Kusini mwenye umri wa miaka 31 amezeeka ghafla na kuonekana kama bibi mwenye umri wa miaka 80.
Chapisho hilo linaeleza kuwa mwanamke huyo anayefahamika kwa jina la Sinenhlanhla...
Bibi Hellen Bugoye (70) kutoka Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maboresho makubwa ya usafiri yaliyotokana na ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (zamani Kigongo-Busisi) linalounganisha Kigongo na Busisi.
Shuhuda za...
Asilimia kubwa ya wanawake wanaishi kwa kutegemea mikopo.Wapo wanaokopa na kufanya mambo ya maana na pia wapo wanaokopa lakini mwisho wa siku pesa haionekani ilipopotelea.
Sasa huyu kibibi naye anawakilisha kundi la jinsia yake , hana akili ya kupambanua afanye nini kusogeza gurudumu, cha...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine Masejo amesema wanamtafuta mtu mmoja anayedaiwa kujaribu kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 80 mkazi wa Sinoni Jijini Arusha kufuatia picha mjongeo inayoonekana katika mitandao ya kijamii ikimuonesha...
Kama unavyomsikia Bibi wa Taifa kwenye clip hapo chini, anasema maiti za wananchi waliouliwa wakati wa sekeseke la MO29 na kisha miili yao kuchukuliwa na kupelekwa kusikojulikana, ziliteketezwa kwenye tanuru la kiwanda cha sementi.
Wakati watu wanatafuta miili ya ndugu zao wazike kumbe miili...
Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu maarufu kama Bibi ambaye pia ni komando wa zamani wa Jeshi la Israel IDF ametumia ukurusa wake wa X kupost na kuzima tetesi ambazo zilikua zinasambaa kwa kasi kuwa kauwawa Myahudi amepost kuzima tetesi zote...
Mshana Jr Kuna viumbe vitamu hadi uzeeni shauri yako.
UNAWEZA zeeka ukiwa na umbo lako
Binti wa zamani uongo
Mbaga Jr dronedrake
Wazee WA kubeti nyetukeni
Mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 11, darasa la sita anayefahamika kwa jina la Lightness Mkiindi, mkazi wa Mtaa wa Namayana, Kata ya Ilboru, wilayani Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia akidaiwa kujinyonga
Kwa mujibu wa maelezo ya mama mzazi na bibi wa marehemu, siku ya tukio Januari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.