minyoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kiboko ya Jiwe

    Prof. Janabi unataka uwapangie watu ratiba za kula?

    Hivi ndivyo vichekesho ambavyo vinapatikana Bongo. Prof. wa kwenye media, professor Janabi siku moja nilimsikia anasema kuwa kama unavaa nguo yenye kiuno size 37 wewe ni mgonjwa. Inamaana huyu Prof. hajui kuwa kuna watu naturally wana maumbo makubwa? Kama mwili wako una umbo dogo ukinenepa na...
  2. K

    Serikali itenge siku maalum ya kuwapa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari vidonge vya minyoo na kichocho

    Kwa heshima na taadhima ninaiomba Serikali itenge siku maalum ya kuwapa wanafunzi wote wa shule za msingi na sekondari vidonge vya minyoo na kichocho. Leo nilikuwa nafanya mazoezi asubuhi nimekutana na wanafunzi wengi wakienda shuleni wengi niliowaona kwa kweli hawakuwa na afya nzuri...
  3. Vincenzo Jr

    Msaada dawa ya kutibu minyoo kwa mtoto wa miaka 15

    Msaada dawa ya kutibu minyoo kwa mtoto wa miaka 15. Maana tumbo lake lina unguruma sana wakati wa usiku.
  4. Pascal Ndege

    Ni ugonjwa gani huu mtu afanyiwa operation na kutolewa minyoo mingi hivi?

    Hebu Tazameni hii operation madaktari mtueleze ni nini hii.
  5. yamo

    Dawa ya Minyoo kwa watu wazima, ipi bora?

    Naombeni msaada wa kujua dawa ya minyoo, Nimeshatumia aina mbalimbali lakini naona Bado siijafanikiwa, Mpaka sasa nikienda haja kubwa nahisi minyoo inataka kutoka lakini hawatoki wanarudi tena tumboni. Naomba msaada wenu.
  6. Genius jack

    Mambo ya kuzingatia unapokula Pweza na Ngisi njiani

    Leo muda wa jioni nilikuwa maeneo ya Mbezi ya Kimara nilikuwa nimesimama namsubiri rafiki yangu pembeni kwa mbele kulikuwa na mtu anauza supu ya pweza na vipande vyake na ngisi na kachori.Nikiwa pale walikuja watu kadhaa kununua nilichokiona. Mteja alikuwa anachukua kijiti cha kuchomea anatoboa...
  7. Jabman

    Naomba kufahamu ukweli kuhusu chanjo za kichocho na minyoo mashuleni

    Naombeni ukweli kutoka kwenu. Leo wanafunzi wameambiwa kwenda na chakula shuleni ili wakapewe dawa za minyoo na kichocho. Katika mijadala mingi Jana, watu wengi hawtaki watoto wao wapatiwe dawa hizi. Zaidi hata madaktari wamezuia watoto wao kwenda shuleni kupewa hizo dawa. Nipeni ukweli juu ya...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, Dawa za Minyoo zinatoa mimba?

    Wandugu wapendwa, Poleni sana na kazi za ujenzi wa taifa na kujitafutia mkate wa kila siku. Ninaishi na girl friend wangu ambaye siku ni mfanyakazi wa kampuni moja ya bima hapa DSM. Wiki iliyopita aliniambia kuwa amepata ujauzito na anahisi una umri wa mwezi mmoja. binafsi nilifurahishwa...
Back
Top Bottom