#COVID19 Wabunge 38 wa Uganda waliokuwa Arusha wakutwa na Corona, waliobaki waambiwa wajitenge

Vandetta

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
1,545
1,905
Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19.

Kwa mjibu wa msemaji wa bunge la Uganda Chris Obore amefahamisha vyombo vya habari kuwa wabunge 38 wamekutwa na mamabukizi ya virusi vya corona baada ya kupimwa na wafanyakazi 12 jumla watu 50.

Kwa mjibu wa Obore wabunge hao hawapo katika hali mbaya ya ugonjwa ndio sababu wametakiwa kujitenga majumbani mwao kwa muda wa siku 14 wakifatiliwa na watalaam wa afya.

Wabunge kutoka mataifa ya Jumuiya ya Afrika mashariki wenyeji Tanzani, Uganda, Kenya na Burundi walishiriki mashindano ya wabunge wa Jumuiya tangu tarehe 19 December 2021 mjini Arusha wengi wao wamekutwa na maambukizi.

Mbunge wa chama cha Jema aliyezungumuza na BBC Asuman Basalirwa akiwa nyumbani kwake alilojitenga kwa siku 7 kufanyiwa vipimo vingine, amesema walipokuwa Arusha hawakufata kanuni za watalaam wa afya za kuzuia maambukizi ya Corona kama kuvaa barakoa, kuepuka misogamano na kunawa mikono mara kwa mara.

Ameongeza kuwa wabunge wenzao wa Tanzania waliwambia kwao hakuna Corona na hivyo kupuuza kufuata kanuni za watalaam wa kudhiti corona.

Amethibitisha kuwa wabunge wa Uganda walipata maambukizi kutoka Tanzania kwani walipotoka Uganda walipimwa na kufika Arusha walipimwa kama hawana maambukizi.

Wabunge wote 200 na wafanyakazi wa bunge 125 waliosafiri kwenda Arusha hata kama hauna maambukizi ya uviko19 wameambiwa kujitenga kwa siku 14 .

Source: BBC Swahili
 
Kwani Afrika mashariki ni Tanzania tu? Inawezekana wametoka na ugonjwa huko kwao, either rwanda, uganda, kenya au burundi, wanetuletea hiyo takataka yao hapa!!

Na hatutapatwa waache kiherehere!!
 
Bunge liliojaa viumbe wa ccm lazima akili zao ziwe huko nyuma...
Bila aibu wanawaambia wenzao hamna covid hapa TZ?
 
Kwani Afrika mashariki ni Tanzania tu? Inawezekana wametoka na ugonjwa huko kwao, either rwanda, uganda, kenya au burundi, wanetuletea hiyo takataka yao hapa!!

Na hatutapatwa waache kiherehere!!
'Wabunge kutoka mataifa ya Jumuiya ya Afrika mashariki wenyeji Tanzani, Uganda, Kenya na Burundi walishiriki mashindano ya wabunge wa Jumuiya'.

Kwny hio list inaonekana Kuna nchi 1 haikuleta wabunge wake kwny mashindano .
 
Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19.
Kwa mjibu wa msemaji wa bunge la Uganda Chris Obore amefahamisha vyombo vya habari kuwa wabunge 38 wamekutwa na mamabukizi ya virusi vya corona baada ya kupimwa na wafanyakazi 12 jumla watu 50.
Kwa mjibu wa Obore wabunge hao hawapo katika hali mbaya ya ugonjwa ndio sababu wametakiwa kujitenga majumbani mwao kwa muda wa siku 14 wakifatiliwa na watalaam wa afya.
Wabunge kutoka mataifa ya Jumuiya ya Afrika mashariki wenyeji Tanzani, Uganda, Kenya na Burundi walishiriki mashindano ya wabunge wa Jumuiya tangu tarehe 19 December 2021 mjini Arusha wengi wao wamekutwa na maambukizi.
Mbunge wa chama cha Jema aliyezungumuza na BBC Asuman Basalirwa akiwa nyumbani kwake alilojitenga kwa siku 7 kufanyiwa vipimo vingine, amesema walipokuwa Arusha hawakufata kanuni za watalaam wa afya za kuzuia maambukizi ya Corona kama kuvaa barakoa, kuepuka misogamano na kunawa mikono mara kwa mara.

Maelezo ya video,
Covid-19: Tunachojua kuhusu Omicron na athari zake kwa Afrika
Ameongeza kuwa wabunge wenzao wa Tanzania waliwambia kwao hakuna Corona na hivyo kupuuza kufuata kanuni za watalaam wa kudhiti corona.
Amethibitisha kuwa wabunge wa Uganda walipata maambukizi kutoka Tanzania kwani walipotoka Uganda walipimwa na kufika Arusha walipimwa kama hawana maambukizi.
Wabunge wote 200 na wafanyakazi wa bunge 125 waliosafiri kwenda Arusha hata kama hauna maambukizi ya uviko19 wameambiwa kujitenga kwa siku 14 .

Source:

BBC Swahili
.Wabunge wa .Tanzania waliwaambia kuwa hakuna corona .Tanzania hivyo...

Bado mtazamo wa .Magufuli unaishi mpaka kwa wabunge sio layman tu.
 
Serkali nchini Uganda imebaini wabunge wa bunge la Uganda waliokuwa kwenye michezo ya mabunge ya Afrika Mashariki wamekutwa na kirusi kipya cha Corona.

Siku kadhaa zilizopita kumekuwa na idadi kubwa ya wabunge watanzania walikuwa kwenye michezo hiyo kugua na wengine wako mahututi.
=======

Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19.

Kwa mjibu wa msemaji wa bunge la Uganda Chris Obore amefahamisha vyombo vya habari kuwa wabunge 38 wamekutwa na mamabukizi ya virusi vya corona baada ya kupimwa na wafanyakazi 12 jumla watu 50.

Kwa mjibu wa Obore wabunge hao hawapo katika hali mbaya ya ugonjwa ndio sababu wametakiwa kujitenga majumbani mwao kwa muda wa siku 14 wakifatiliwa na watalaam wa afya.

Wabunge kutoka mataifa ya Jumuiya ya Afrika mashariki wenyeji Tanzani, Uganda, Kenya na Burundi walishiriki mashindano ya wabunge wa Jumuiya tangu tarehe 19 December 2021 mjini Arusha wengi wao wamekutwa na maambukizi.

Mbunge wa chama cha Jema aliyezungumuza na BBC Asuman Basalirwa akiwa nyumbani kwake alilojitenga kwa siku 7 kufanyiwa vipimo vingine, amesema walipokuwa Arusha hawakufata kanuni za watalaam wa afya za kuzuia maambukizi ya Corona kama kuvaa barakoa, kuepuka misogamano na kunawa mikono mara kwa mara.

Ameongeza kuwa wabunge wenzao wa Tanzania waliwambia kwao hakuna Corona na hivyo kupuuza kufuata kanuni za watalaam wa kudhiti corona.

Amethibitisha kuwa wabunge wa Uganda walipata maambukizi kutoka Tanzania kwani walipotoka Uganda walipimwa na kufika Arusha walipimwa kama hawana maambukizi.

Wabunge wote 200 na wafanyakazi wa bunge 125 waliosafiri kwenda Arusha hata kama hauna maambukizi ya uviko19 wameambiwa kujitenga kwa siku 14

BBC

wabunge uganda arusha.jpg
 
Huku mbona tunaishi nayo!!!!

Ikikubamba fresh!!!¡

Lakin haina noma wala nin miili isha zoea!!!!!!

N.B
Ukipima ndo unaingia wenge mfano wiki hii ya pili watu wamepigwa na covid dar nzima!!!! Lakin imenyoosha mikono yenyewe .....

Mwendo wa panadol na maji tuu afu tunaingia kazin:
 
Back
Top Bottom