afariki dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inside10

    JamiiForums Tanzania Muombolezaji afariki Dunia kwenye Msiba wa James Temba, Mwanafunzi Wa IFM Kilimanjaro

    Mwombolezaji Leah Ngowi, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 60 mkazi wa Kiboriloni wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, amefariki dunia akiwa kwenye msiba wa aliyekuwa mwanafunzi wa Taasisi ya Usimamizi wa Fedha (IFM), James Temba (24). Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Mei 7, 2026...
  2. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Meya Mstaafu Mahmoud Mussa Wa Jiji La Zanzibar Afariki Dunia

    Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni na Mstahiki Meya Mstaafu wa Jiji la Zanzibar, Ndg. Mahmoud Muhammed Mussa amefariki Dunia leo Aprili 6, 2026. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Familia ambapo Maziko yatafanyika kwake Fuoni Mambosasa na Maiti itaswalia Msikiti wa Mwembeshauri...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Afariki Dunia baada ya kushambuliwa shambani Masasi - Mtwara kisa mgogoro wa ardhi

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwongozo, Hidaya Chiwembi (51), ameuawa baada ya kupigwa kichwani na kunyongwa shingo kutokana na mgogoro wa mipaka ya shamba lake, kisha mtuhumiwa kutoweka. Tukio hilo lilitokea usiku wa Machi 28, 2026, katika kijiji cha Mdenga, kata ya Nangoo, wilayani Masasi, mkoani...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Lukuvi, Mbunge king’ang’anizi afariki dunia

    Unaweza kusema ni mbuyu umeanguka katika siasa za Tanzania, kwani William Vangimembe Lukuvi ndiye aliyekuwa mbunge mkongwe kuliko wote katika Bunge la 13 linaloendelea sasa na waziri mwenye uzoefu mkubwa kuliko wengine. Waziri Lukuvi aliyeingia bungeni tangu mwaka 1995 aligombea na kushinda...
  5. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa page ya ngono ya Only Fans afariki dunia

    Jamaa kafa na miaka 43 tu Alikua ni mwisrael na myahudi aliyekua sehemu ya mchango mkubwa kwa Israel Alikua anatoa mabilioni ya pesa kufadhili taifa la Mungu la Israel Alikua anamiliki page za ngono na pia alikua anamiliki makampuni ya kushoot video hizo sio hivyo tu jamaa alikua kaajiri...
  6. X

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mmiliki wa OnlyFans afariki dunia

    Bilionea Leonid Radvinsky, Mmarekani mwenye asili ya Kiyahudi aliyezaliwa Ukraine mmiliki wa mtandao wa OnlyFans (aliyezaliwa 1982), amekufa kwa saratani akiwa na umri wa miaka 43 mnamo Machi 20, 2026 huko Florida. "Tuna huzuni kubwa kutangaza kifo cha Leo Radvinsky. Leo alifariki dunia kwa...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji mkongwe wa EFM na ETV, Ssebo Afariki Dunia

  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani Wa CCM Kata Ya Mzimuni Manispaa Ya Kinondoni Afariki Dunia

    Diwani wa CCM Kata ya Mzimuni katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mheshimiwa Manufred C. Lyoto amefariki dunia leo Machi 7, 2026 Taarifa za kifo chake zimetolewa na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mzimini, Abdalah M. Ally, ambaye pia ametoa pole kwa wanachama wa CCM pamoja na wananchi wote...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Simanjiro, Samwel Gunzah, afariki dunia akiwa gerezani

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Samwel Gunzah, amefariki dunia akiwa gerezani wakati akitumikia kifungo chake. Kwa mujibu wa taarifa hizo, Gunzah alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya rushwa na matumizi mabaya...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo afariki dunia akipatiwa matibabu

    Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amefariki dunia katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa za kifo chake zimetolewa usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Februari 20, 2025 na Askofu Kuu...
  11. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Tom Hagen wa kwenye The Godfather afariki dunia

    Tom Hagen alikua adopted, akasomeshwa sheria na kufanywa kuwa Consigliere wa familia. Hivyo Consigliere aliiuwa ndiye mshauri na mwanasheria wa familia na shughuli zao zote
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi wa Habari, Ghaniya Jumbe wa TBC afariki dunia

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha anasikitika kutangaza kifo cha Ghaniya Jumbe, Mwandishi wa Habari, Idara ya Habari na Matukio, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo Februari 07, 2026 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam alipokuwa...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda Afariki Dunia

    Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu. Huyu jamaa alokufa alizaliwa 1954 MY TAKE Huyu jamaa ndo aliamuru Mwandishi wa Habari wa CHANNEL TEN, Daud Mwangosi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Padre Paul Nsekela Sabuni afariki dunia

    Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, anasikitika kuwatangazia kwamba leo tarehe 30/01/2026 saa 10.31 alfajiri mpendwa wetu Padre Paul Nsekela Mboje SABUNI, Paroko wa Parokia ya IPTL, ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milele akiwa katika matibabu...
  15. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Aliyechomwa sindano kutibu tezi dume kisha kupooza, afariki dunia

    📍DODOMA - Yohana Mathias, Mkazi wa Nzuguni B, amefariki dunia asubuhi ya leo baada ya kuugua kwa muda mrefu tatizo la tezi dume lililoambatana na kupooza kwa sehemu kubwa ya mwili wake. Kifo cha Mathias kinatokea siku chache baada ya Jambo TV kuchapisha habari akiomba msaada wa matibabu, akiwa...
  16. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Tabora: Bodaboda yagonga Treni, Mwanafunzi afariki dunia

    Binti aliyejulikana kwa jina la Tatu Mgeta (23), mwanafunzi wa Chuo cha Tabora Polytechnic College, amefariki dunia huku dereva wa bodaboda akijeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea wakati walipokuwa wamepakizana kuelekea chuoni,kugongana na treni ya abiria iliyokuwa ikitokea mkoani Tabora kuelekea...
  17. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mali Kimesera afariki dunia Marekani

    TANZIA- Kwa masikitiko makubwa LINDA WA ATLANTA USA 🇺🇸 anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa MUME wake MALI KIMESERA kilichotokea leo alfajiri NYUMBANI KWAO— inshalah MAZISHI yatafanyika siku ya IJUMAA- ratiba na adress itakuja
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania TANZIA Leung Choi-Sang nyota wa filamu ya kung-fu hustle afariki dunia

    Ndugu wana jukwaa, Leo ni siku ya huzuni tunapopokea habari za kuondoka kwa mmoja wa magwiji wa kweli wa filamu za mapigano kutoka Hong Kong—Leung Choi-sang. Kwa wale tuliozaliwa na kukua tukitazama mikanda ya VHS na filamu za kusisimua za miaka ya 70 na 80, Leung hakuwa mwigizaji tu, bali...
  19. mcTobby

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aldrich Ames, Jasusi wa CIA afariki dunia akiwa na miaka 84

    Aldrich Ames, aliyekuwa afisa wa CIA kitengo cha counterintelligence afariki akiwa na miaka 84. Huyu bwana alikamatwa na makachero wa FBI mwaka 1994 kwa tuhuma za kuuza siri za shirika la CIA kwa KGB kama double agent na kujipatia mamilioni ya dola... Alihukumiwa kifungo cha maisha jela...
  20. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askari Polisi maarufu kwa jina la Kaka Jambazi afariki dunia

    Alert🚨🚨🚨 Alert🚨🚨🚨 Alert🚨🚨🚨 .............................................................,.. 👉Huyu ni miongoni mwa Maaskari Washenzi na watekaji Huko Tanga alijulikana kwa Jina la Afande Kaka Jambazi, Namshukuru Mwenyezi Mungu kainyofoa Roho yake mapema sana💪💪 Jeshi la Polisi linatumika vibaya...
Back
Top Bottom