Chafu Chah (Persian: چافوچاه, also Romanized as Chāfū Chāh) is a village in Gafsheh-ye Lasht-e Nesha Rural District, Lasht-e Nesha District, Rasht County, Gilan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 465, in 138 families.
Diwani wa Kata ya Buguruni na Mjumbe wa Kamati ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Zahoro Muhaji, amesema kero ya uchafu na uondoaji wa takataka imekuwa changamoto kubwa inayowakosesha usingizi madiwani wengi jiji la Dar es Salaam.
Akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa na M & S Podcast...
Akili za aliyeweka ujumbe kwenye bango ni za kuvukia barabara, kwa hiyo mnatuambia tunatakiwa kuweka jiji safi kisa Mama yenu kasema ila vinginevyo hamkuwa na mpango wa usafi.
Mbongambonga, mnaona mnavyotuwekea viongozi viazi kwenye ofisi za umma, hawana fikra wala mipango mpaka mama yao aseme...
Je,
Makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa kwa sasa ana ubavu, nguvu, ushawishi na mikakati ya kisiasa ya kufanya hilo kutokea, ili hatimae kumdhibiti Lema asikatizekatize kwenye 18 za uongozi wake wa matamko na kula bata kwa pesa cha chama?
In fact,
Lema akiendelea kua mjumbe wa kamati kuu ya...
Kama umefika Mwanza, utaona changamoto kubwa ya uchafu, hasa kutokana na wingi wa taka za plastiki na taka nyingine zinazotapakaa katika maeneo mbalimbali ya jiji.
Mamlaka ya Jiji imeonekana kushindwa kuweka idadi ya kutosha ya mapipa ya taka katika maeneo muhimu, ikiwemo katikati ya jiji na...
Sio mara moja sio mara mbili watu wakileta changamoto zinazowakumba Watanzania humu kumekuwa na kauli chafu kutoka kwa baadhi ya wanaJF ambao nao ni Watanzania/Waafrika pia
Mfano, ukileta tatizo linalokumba jamii za Watanzania utakuta mtu anacomment "Waafrika ni nyani waliochangamka"
Kuna siku...
KUNA HAJA YA KUJUA KASORO YAKO KWANZA KABLA YA KUORODHESHA ZA WENGINE ILI UJUE SHIDA NI WEWE AU WAO?
WATU WENGI HATUWAONI KAMA WALIVYO BALI TUNAONA KAMA TULIVYO SISI ✍️
KILA MTU UNAMUONA MWENYE KASORO KWA SABABU WEWE PIA UNA KASORO YA NAMNA UNAVYO WAANGALIA✍️
UKIVAA MIWANI CHAFU UTAWAONA...
https://www.youtube.com/watch?v=4-CwMyWk3wk
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amekiri kwamba Jiji hilo ni chafu, akisema Viongozi walijisahau kwa muda katika suala la usafi.
Chalamila ameyasema hayo Septemba 17, 2026 mbele ya Waandishi wa Habari, akizungumzia hatua...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekemea hali ya uchafu uliokithiri katika miji, hususan jiji la Dar es Salaam. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais Samia ameeleza kuwa...
Manispaa ya Moshi iliyopo mkoani. kilimanjaro inayoongozwa na Mbunge wa CCM-Ibrahimu Shayo, Meya wa CCM ndugu Kidumuyo, RC naDC wa CCM ndio manispaa chafu zaidi kwa sasa.
Kipindi CHADEMA wakiwa na mbunge Ndesamburo na Mayor Ray Mboya , ndio manispaa iliyokuwa safi zaidi Tanzania na Afrika...
Moja kati ya wendawazimu unaofanywa na baadhi ya Watanzania ni kuungana na wageni kwa lengo la kudhalilisha nchi ya Tanzania na kuingiza kwenye machafuko
Wendawazimu hao wamepofuka wala hawajui kuwa wageni hao wanatafuta soko la silaha na ardhi ya ziada
Hao wageni wanaoungana nao wanataka...
Wakuu kwema? leo katika harakati zangu za kupoza mwili nimekutana na bia chafu balaa. Hivi naweza vipi kupata msaada wa kisheria maana nimekunywa moja imefika nusu nikaona uchafu. Kutazama nyingine nayo chafu.
Naweza vipi kuwasiliana na wahusika?
Sijui kuhusu maeneo mengine ya nchi ila kwa Dar nimepitia kwenye mabanda mengi hali ni mbaya sana.Lugha ya matusi imekuwa kama sehemu ya kusheherekea mchezo.Mbaya zaidi unakuta hapo ndani kuna uwepo wa Watoto pia.Ni wakati sasa Jamii ikumbushwe kuwa ushabiki wa mpira si kwa ajili ya kundi fulani...
Sasa hivi tutaambiwa kitabu kimeuza nakala nyingi na kumuingizia fedha nyingi.
Kumbe huu ni mkakati wa kutaka kutakatisha fedha chafu zenye lengo la uhaini.
Vyombo viendelee kumonitor transactions zake na za wanaomfadhili.
Kamwe fedha hizi zisiingizwe kuja kuchafua uchaguzi 2025.
Kuna watu ni kama wamelaaniwa ikiwemo huyu rafiki yangu
Tafsiri ya maendeleo Kwa MTU mweusi itakuwa Ina maana tofauti.
Juzi nilimsindikiza jamaa yangu Kwa wazazi wake aisee ni pachafu Sana. mama yake anaishi Kama mnyama.
Nyumba hovyo, choo cha makuti hamna maji, mama yake around 70 yrs...
Miji mingi mikubwa yenye watu wengi inasumbuliwa sana na hewa chafu. Mchafuzi wa kwanza akiwa ni magari. Moshi wa magari unachafua hewa ya miji ya nchi kama India hadi shule zinafungwa na watu wanashauriwa kukaa ndani. Miji ya China ilikuwa na hewa chafu hadi watu wanatembea na mask.
Leo miji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.