Mitandao ya kijamii imefanya maisha ya watu kuwa kama maonyesho ya kila siku. Tunawaona watu wakisafiri, wakinunua magari, wakivaa vizuri, wakila kwenye hoteli na kuonyesha mafanikio yao.
Lakini tunachoona si lazima kiwe picha kamili ya maisha yao.
Mtu anaweza kupost picha ya gari zuri bila...
Kampuni zote kubwa za Mitandao ya kijamii na Smartphone zina ofisi za uboreshaji wa teknolojia nchini Israel, wanalipwa kugundua ideas au feautures za kunogesha mitandao ya kijamii na simu.
Hata hivyo nchini Israel, kumekuwa na ongezeko au trend kwa watu kununua simu za zinazoitwa Kosher phones...
Ulishawahi kujiuliza kwa nini post yako X imezuiwa au reach yake imeshuka ghafla na kuwa ndogo? 🤔
Mtandao wa X sasa imeongeza Mfumo wa uwazi kupitia feature inaitwa “Under the Hood” ambapo mtumiaji anaweza kupata taarifa ikiwa serikali ya nchi yake 🇹🇿 au nchi fulani imeilazimisha X kuzuia au...
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele amewataka vijana waliohitimu mafunzo kuzingatia maadili katika matumizi ya mitandao ya kijamii.
Ameyasema wakati akifunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Mujibu wa Sheria Operesheni Linda Amani na Kujitolea Operesheni...
Kutokana na jua kuwa kali sana, na kuchoma usoni, mwili, mpaka mifukoni, kumekuwa na ongezeko kubwa sana la waganga na manabii kwenye mitandao ya kijamii, hasa kule Tiktok.
Ukifungua kidogo tu, mara pasta fulani anatokea, hujakaa sawa, mara nabii, hujakaa tena sawa mara mganga wa utajiri n.k...
Maendeleo ya mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo mbaya sana ya kuharibu kundi la wanawake wenye makalio makubwa. Mitandao yote ya kijamii sasa kila kona imejaa wanawake wanaotingisha/ tikisa makalio.
Kuanzia maofisi ya umma na binafsi, Bar, Pub, barabarani, kwenye usafiri, sherehe, biashara...
Alpoua watu wetu wasio na hatia alijifanya hakuna kilichotokea. Kwangu, kilichomtokea naona ni kidogo. Heri angeanza yeye au ikiwezekana Mungu afanye haraka tena ajiunge na mwenda zake mwenza wake. RIP mpendwa na mheshimiwa wetu.
Wakuu,
Mimi binafsi bado siamini. How come simple like that? Yaani majamu ajiuzulu kama diwani? On social media?
Akili yangu bado inagoma. Hii ilibidi iwe live. Kama kipindi kile cha lowassa.
Hata kwenye page za ofisi ya makamu hakuna hii taarifa. Account yake iko hacked? Late is wait and...
Kampuni kubwa ya teknolojia ya Meta inakabiliwa na kesi kubwa ya shirikisho nchini Marekani iliyowasilishwa na mawakili wakuu wa majimbo 29. Kampuni hiyo inatuhumiwa kubuni majukwaa ya Facebook na Instagram kwa njia inayochochea matumizi ya uraibu kwa watoto na vijana kupitia vipengele kama...
Habari wana JamiiForums,naomba tujadiliane kwa pamoja, nauliza, Je mitandao ya kijamii imekuja kuongeza stress au imekuja kupunguza stress kwa watumiaji?,
Karibu utuambie
Salaam Wandugu,
Kuna jambo kuhusu AI contents naliona kwa upande wangu binafsi kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kuzikwepa, nitaweka mifano;
Nikiwa naperuzi Mitandao ya kijamii ikatokea nakutana na video ambayo imetengenezwa kwa AI huwa na skip haraka sana bila kupoteza muda.
Pia kutokana na...
Moderater naomba weka kichwa Cha habari uzuri
Umeshawahi kupata stress kisa mitandao ya kijamii Kwa mda Gani? Unaacha simu-phone off
To much it's harmful
Kitu gani? Ukikizidisha hakina madhara, nambie sex, au kula matunda sana
Sasa basi mda gani? Unaacha simu Yako na kuwa kawaida bila simu...
Haina Sapoti yoyote kwenye mitandao ya kijamii. Huku ndiko watu wanajadili maisha ya kila siku. Siasa ndio maisha ya watu. Inabeba kila jambo linalomhusu mwananchi.
Ukiingia kwenye kila mtandao wa kijamii.CCM imekataliwa na wananchi. Hii ni picha halisi hata kwa maisha ya uraiani CCM haitakiwi.
Mmegundua kua Vyombo vya HABARI vimefuta hotuba ya NCHIMBI katika mitandao ya Kijamii?
Sasa huyo ndio NCHIMBI aliyepinga Utekaji pamoja na Mauaji. Cha Kumfanya hawana
Akili yake ni Kubwa kuliko wao!
Bunge la Ufaransa limepitisha sheria ya kupiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto walio chini ya miaka 15 kuanzia Januari 2027. Hatua hii inaifanya Ufaransa kuwa nchi ya kwanza barani Ulaya kuwazuia vijana wadogo kutumia mitandao hiyo.
Sheria hii itamlazimu kila mtu nchini humo...
Moja kwa moja ..
Ukipita kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa post yeyote inayonumuhusu mshambuliaji Kylian Mbappe lazima tutakutana na Memes za kuchekesha zinazomuhusisha na udikteta . Hayo hahahaha Bure Kuna matukio kadhaa yanetokea mpaka watu sasa ramsi kumuita Dikteta.
1. Tukio la kumtuma...
Siku ya Mitandao ya Kijamii Duniani inayoadhimisha Juni 30 ya kila mwaka, ilianzishwa na mtandao wa Mashable mnamo mwaka 2010, adhimisho hili la kimataifa linaangazia mapinduzi makubwa yaliyofanywa na mitandao ya kidijitali kwenye mifumo ya mawasiliano, biashara, na utamaduni.
Taarifa Muhimu...
Mitandao ya kijamii imefungua milango mikubwa kwa mawasiliano na uhuru wa kujieleza, lakini Tanzania inakabiliwa na hatari halisi inapoteza udhibiti wa jinsi vijana wanavyotumia jukwaa hili. Tatizo kubwa si mitandao yenyewe, bali ni matumizi yasiyowajibika yanayoweza kulipua amani tuliyoijenga...
Tume ya Uchunguzi imependekeza kuanzishwa kwa mfumo madhubuti wa kufuatilia na kudhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi ili kuzuia uchochezi na uenezi wa habari za uwongo. Serikali inashauriwa kuweka sheria maalumu zinazohitaji majukwaa ya mitandao kutoa taarifa za...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, nikiwahimiza Watanzania, tuache chuki, ni ugonjwa hatari unao eneo kwa kasi kwenye taifa letu, uliokolezwa na kilichotokea October 29.
Je ni wangapi miongoni mwetu, wajua kuwa chuki ikizidi ni ugonjwa?. Chuki ni ugonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.