mhamasishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Baada ya Rais Hersi na Mhamasishaji Manara kuwa na 'Hatiani' huu ndiyo Uwezo wa mwisho wa Kufikiri wa Mashabiki na Wanachama Wao

    "Tunaomba sababu ni kwanini katika Tamasha letu la Citizens Beauty Beauty Day hakuna hata Kiongozi Mmoja wa TFF aliyekuja. TFF inatunyanyasa mno na ina Chuki na Sisi" wamesema Wasio na Akili FC. Yaani Viongozi wa TFF waache kuwa busy na Ugeni wa CAF na Mkutano Mkuu utakaofanyika Arusha waje...
  2. Mohamed Said

    Rashid Sisso mhamasishaji ''extra ordinaire''

    RASHID SISSO MHAMASISHAJI ''EXTRA ORDINAIRE'' Mmoja kati ya wazalendo vijana walioanzisha Bantu Group alikuwa Rashid Sisso. Wakati wa harakati za kudai uhuru alikuja kuwa karibu sana na Nyerere; na Nyerere akambandika jina la utani, ‘’Ofisa.’’ Katika mikutano ya hadhara Sisso alikuwa akisimama...
  3. The Sheriff

    China yafuta akaunti za mitandao ya kijamii za mhamasishaji maarufu wa biashara za mtandaoni

    Huang Wei China imefuta akaunti za mitandao ya kijamii za mhamasishaji maarufu katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo. Huang Wei, anayejulikana kwa jina maarufu la Viya, ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo ambayo imekua kwa kasi...
  4. H

    Kumteua Mwijaku kuwa mhamasishaji wetu ni kuunajisi mpira

    Simba imetukosea Sana sisi mashabiki wake kutuletea mtu wa udaku kwenye mpira wetu. Mwijaku hajui mpira hata tu kutaja wachezaji 6 wa Simba hajui pia hajui history ya team kiujumla eti awe mhamasishaji kweli? Like serious! Kwenye press yake 99.9% kaitumia kushambulia maisha binafsi ya Manara...
  5. GENTAMYCINE

    Akiwa hajamaliza saa 24 tangu apewe uhamasishaji Simba SC, tayari Mwijaku ameanza 'kumchefua' Murtaza Mangungu

    Ukiona akina GENTAMYCINE wanamkataa Mtu jua ya kwamba huwa hatukosei kwani wengine tumeshabarikiwa Maono ya Kifalsafa na Mwenyezi Mungu. Wakati nikimkataa mapema tu Mhamasishaji Mkuu mpya wa Simba SC 'Samjo Samjo' Mwinjaku muda si mrefu Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu amekasirishwa na...
  6. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC, Haji Manara angeshinda tuzo mngeanzisha 'threads' nyingi hivi kuhoji na kumchafua Bongo Zozo?

    Endeleeni kuanzisha 'Threads' zenu hapa za Kumnanga na Kumchafua ila kaeni tu mkijua kuwa Bongo Zozo ndiyo Mshindi wa Tuzo na wala Waandaaji TFF hawatomnyang'anya na kumpa Msemaji wenu Mnafiki, Mpuuzi na Mswahili Haji Manara. Kwahiyo Siku zote mlikuwa mnasubiria mpaka Bongo Zozo apate Tuzo hapa...
  7. A

    Mwijaku amewahamasisha muanze kutembea kama mlivyozaliwa, nadhani Simba mmepata mtu

    Muhamasishaji ndio huyo keshapatikana, mambo yameanza kwa mashabiki na viongozi wote wameshahamasishwa watembee uchi mitaa ya Mwenge hadi Kawe. Kama haitoshi kasema kabisa tuwapige mawe hadi mjifie hayo sio maneno yangu ni maneno ya muhamasishaji wenu. Tunasubiri ahamasishe wapi mtaanza kua...
  8. GENTAMYCINE

    Yaani kabisa Try Again, CEO Barbara na Chairman Mangungu mmeamua mumteue 'Samjo Samjo' Mwinjaku kuwa Mhamasishaji Mkuu wa Simba SC?

    Yaani kwakuwa tu alitumia mwanya wa Ugomvi wa aliyekuwa Msemaji wetu Haji Manara na kuanza Kumjibu kisha akaanza Kujipenyeza kwa CEO Barbara, Siku ya Simba Day akahonga 'Stewards' pale kwa Mkapa ili aende VVIP akapige Picha na Mwekezaji Mohammed Mo Dewji kisha akautumia ukaribu wa Kibiashara wa...
  9. Linguistic

    Muhamasishaji wa Simba Mwijaku

    Kwamba Mwijaku Ndio anaongea na Wachezaji anakuja Kuwaeleza Mashabiki Wa Makolo Fc? Ila Mwijaku alitafuta sana Huu Uhamasishaji wa Team, alikuwa anajipendekeza Sana kwa Baba. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom