kenani kihongosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi Aendelea Kuikausha na Kuiteketeza CHADEMA Mitaani. Mkutano Wake Waondoka Na Mwandamizi Aliyekuwa Msaidizi Wa Alli Kibao

    Ndugu zangu Watanzania, Moto Uliowashwa Na Katibu wa Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM Taifa Ndugu Mheshimiwa Kenani Laban Kihongosi Unaendelea Kuuteketeza Na kuukausha Upinzani mitaani Hususani CHADEMA. Ambayo Wanachama wake wengi wamezinduka kutoka Usingizini na kuanza kuondoka na kukihama...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Heche anafanya kilimo cha Parachichi alafu anasema Tanzania haina amani. Wengine familia zako ziko Ubelgiji, Canada

    Wakuu, Katibu Mwenezi wa CCM Kenani Kihongosi amemkosoa vikali Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kwa kuwahimiza vijana na wananchi kuingia mtaani kuandamana huku yeye mwenyewe akiwa shambani kwake akiendelea na kilimo cha parachichi "Leo nimeingia mtandaoni, nakuta ndugu Heche...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Ukienda kwenye Maandamano unarudi na Shilingi Ngapi? Kuna pesa umeingiza?

    Akizungumza wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Laban Kihongosi, amewataka wananchi kutokubali kushawishiwa kushiriki maandamano kwa maslahi ya watu wengine. Kihongosi amewataka wananchi kuendelea na shughuli zao za uzalishaji...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Viongozi wajue CCM ni kubwa kuliko Serikali, hakuna mkubwa kuliko chama

    VIDEO: Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, amewakumbusha viongozi wa serikali kuwa CCM ndicho kilichounda serikali na hivyo kiko juu yao na kitaendelea kuisimamia kikamilifu. Akizungumza katika mkutano wa hadhara unaofanyika katika...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi: Wana CCM tembeeni kifua mbele, Mnapendwa sana na Watanzania

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amesema Wana CCM watembeeni kifua mbele, kwa kudai wanapendwa sana na Watanzania. Kihongosi ametoa kauli hiyo leo Septemba 19, 2026 wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Toangoma Temeke Soma Pia: Kenani Kihongosi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi: CCM haiwezi kuondoka Madarakani

    "CCM haina mshindani kwenye siasa. Tunashindana na wote ambao wamesajiliwa kisheria. Vyama Vya siasa vinasajukiwa na msajili yoyote aliyesajiliwa sisi wote ni mshindani wetu wa kisiasa. Na sioni Chama cha Mapinduzi CCM kikiondolewa madarakani. "Unajua Watanzania wanajua wametoka wapi na CCM. Na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Wanasiasa acheni kutumia Majeraha ya Oktoba 29 kujinufaisha Kisiasa

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (Itikadi, Uenezi na Mafunzo), Kenani Kihongosi, amewataka wanasiasa na vyama vya siasa nchini kuacha kutumia matukio ya Oktoba 29 kama ajenda ya kujijenga kisiasa, badala yake wawe wavumilivu na kusubiri matokeo ya Tume ya Uchunguzi iliyoundwa na Rais...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi: Misingi ya CCM inapigana na rushwa, ukijulikana umetoa rushwa unaondolewa

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi, akizungumza kwenye kipindi cha PB cha Clouds FM leo, Agosti 19, 2026, amesema kuwa: “Misingi ya CCM inapigana na rushwa, ukijulikana umetoa rushwa unaondolewa. Soma Pia: Kenani: Hakuna taarifa rasmi ya kuitwa Makamu wa Rais Nchimbi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi Kuzungumza Na Taifa kesho na kutoa Muelekeo wa Masuala Mbalimbali kupitia Clouds FM Asubuhi na Mapema Sana Amka Usikie Chama kikijibu

    Ndugu zangu Watanzania, Siku ya Kesho Asubuhi na Mapema sana Mnapaswa Kuamka na kufungulia Redio zenu ama Tv Zenu na kuweka Clouds FM Sehemu ambayo Msemaji Mkuu wa CCM Taifa atakuwa akisikika moja kwa moja Kwa Taifa Zima . Ambapo atatoa Muelekeo wa Masuala Mbalimbali yahusuyo Taifa letu na...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Jeshi la Polisi limkamate Kenani Kihongosi aelezee kikao cha CHADEMA kilikaa wapi kupanga vurugu

    'Wamkamate Kihongosi akaieleze Polisi kikao cha siri cha CHADEMA kilikaa wapi kupanga vurugu' Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ameyasema haya Juni 17, 2026, kupitia mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam. Aidha, John Mnyika...
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kauli ya CCM ndio kauli ya dola, ni mwendelezo wa mbinu zao kutaka kutengeneza taharuki ili chama kifungiwe kwa mara nyingine

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekanusha madai ya CCM kuwa imefanya vikao vya siri na wanaharakati wanaoishi nje ya nchi ili kupanga kufanya vurugu nchini kupitia maandamano. Madai hayo yalitolewa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenan Kihongosi Juni 13, 2026...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: CCM haijawahi kukosea, Hakuna aliye Mkubwa kuliko Chama

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, Kenani Kihongosi amesema Chama hicho hakijawahi kukosea na kwamba maamuzi yote yanayofanywa ndani ya Chama yanapaswa kuheshimiwa na Wanachama pamoja na Viongozi wake. kihongosi amesema hayo leo Mei 14...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: CCM tunaamini katika maridhiano, tunatoa rai kwa makundi yote kushiriki

    KIHONGOSI:CCM TUNAAMINI KATIKA MARIDHIANO,TUNATOA RAI KWA MAKUNDI YOTE KUSHIRIKI Katibu wa Idikadi,Uenezi,Siasa na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Kenan Kihongosi amesema Chama hicho kinaamini katika maridhiano kwani maridhiano yakipewa nafasi migogoro inapungua. Kihongosi ameyasema hayo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Mageuzi hayazaliwi barabarani wala kwenye majukwaa ya lawama, kuna vyama vinaamini katika vurugu

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amewataka Watanzania kuamini katika nguvu ya mazungumzo kama njia pekee ya kuleta mageuzi ya kweli na maendeleo nchini, badala ya kukimbilia maandamano ya barabarani au vurugu. Akizungumza na waandishi wa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwenezi Kenani Kihongosi anazungumzia kuhusu maridhiano, leo Mei 4, 2026

    https://www.youtube.com/live/K8FOhiBhit4
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mwenezi CCM Kenani Kihongosi: Mnafundishwa kuchukia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, acheni hiyo dhambi

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, ametoa onyo kali kwa baadhi ya wananchi na wanasiasa wanaochochea chuki dhidi ya vyombo vya ulinzi na usalama nchini, akitaja kitendo hicho kuwa ni “dhambi” inayopaswa kukomeshwa mara moja. Akizungumza na wakazi wa Mamlaka ya...
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mwenezi CCM Kenani Kihongosi: Huwezi ukasema unafuta ushuru kabisa kisa mafuta. Nchi yeyote inaendeshwa kwa kodi

    Wakuu, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Kenani Kihongosi, amewajibu wanaoshinikiza kufutwa kwa ushuru na tozo kwenye mafuta, akisema kuwa hatua hiyo ni "udanganyifu wa kisiasa" na jambo ambalo haliwezekani katika uendeshaji wa nchi yoyote duniani. “Nchi yoyote duniani inaendeshwa kwa kodi...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi: Rais Samia akishambulia, tumeshambuliwa Watanzania wote

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kenani Kihongosi amesema kuwa mashambulizi dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi ni sawa na mashambulizi dhidi ya Watanzania wote, akisisitiza umuhimu wa kulinda umoja na amani ya taifa. Akizungumza wilayani Muleba, mkoani Kagera...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi: CCM haina watu wezi, hizo ni tabia za mtu binafsi

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema chama hicho hakitasita kuchukua hatua dhidi ya watumishi wazembe wanaosababisha migogoro kwa wananchi. Amesisitiza kuwa lengo la utumishi wa umma ni kutoa huduma bora kwa wananchi, si kujinufaisha...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi: Hakuna mbadala wa Amani, lazima ilindwe

    Kenani Kihongosi, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, amesema kuwa mara nyingi amani inapopotea, watu wanaopata tabu ni watu wenye mahitaji maalumu, wazee, watoto, akina mama na watu wasio jiweza. Kihongosi amesema hayo wakati akifunga...
Back
Top Bottom