Chaneyo kikuu cha timbwili hilo kilikuwa ni mashambulizi binafsi kuhusu umiliki wa mali na masuala ya afya, ambapo wawili hao walirushiana maneno mazito na kutaka kuingia katika ugomvi wa kimwili.
Katika upande wa umiliki wa nyumba, Mwijaku alimkabili Dotto Magari na kuhoji ukweli wa ghorofa...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Katambi amewaita wasanii na wanamitandao mbalimbali katika kikao maalum ambacho kitafanyika Central Police Station jijini Dar es salaam.
Mpaka sasa agenda za kikao hicho hazijawekwa wazi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema kikao hicho...
Baada ya siku kadhaa kutangza kushindwa kuendelea na ujenzi wa jumba lake Dc mwijaku kupitia ukurasa wake wa instagram ameamua kuweka wazi kuwa ana luza jumba lake hilo kwa thamani ile ile aliokuwa ana omba kumalizia kwenye finishing ya jumba hilo.
"""kujenga nyumba ni upetevu wa pesa kwa kweli...
Mchambuzi na mtangazaji wa burudani Mwijaku amemlipua vikali Kajala Masanja kufuatia mahojiano yake mapya ambapo alizungumzia tetesi za mwanaye Paula kuchangia ("kushare") penzi na msanii Harmonize. Mwijaku amemlaumu Kajala kwa kuruhusu mazungumzo hayo kuruka hewani, akimtuhumu kwa kutafuta kiki...
Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
Tulieni watu watu wana pesa acheni na wapo maporini uko wametulia Tanzania ya leo siyo ile ya kuamini wenye nacho wapo mjini tu vijana kaeni mashambani kwenu uko mtengeneze pesa si kukimbilia mjini kuzunguka na reso na visu ukiamini utatoboa
Moja wa influencers maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Mwemba Burton a.k.a Mwijaku au Jaku Boy amejikuta katika njia panda baada ya kuchwa mke wake Alice ambaye walibahatika kupata mtoto mmoja anayejulikana kwa jina la Marichui.
Kupitia chapisho la Instagram, aliyekuwa mke wa...
Wema ‘wa Mama’ ameelekea South Africa, na ameenda jana Disemba 7 na taarifa za aliko tunazo.
Mwijaku yeye katimkia Dubai juzi Disemba 6. Na aliko taarifa zake pia tunazo.
Sasa hawa watetezi wa Mama kwanini wanaondoka dakika za lala salama?
Kutoka kwenye ukurasa rasmi wa DC Mwijaku, ameshiriki kipande cha video akisindikiza na maneno haya katika sehemu ya maelezo: “Vile Umoja wa Ulaya utakapopigwa kwa vihele hele vyao. We are Africa na tunajua kujisimamia.”
Huyu kichwa maji Mwijaku na huo upara wake kama ugali wa moto anaendelea kujibaraguza tu hapa! Yani anaendelea kutia hasira sana.
NDugu zangu uchaguzi umekwisha na sasa tuijenge nchi yetu najuwa tuna hasira, chuki, tunamaumivu ila tusamehane, Tulipokesea sisi mtusamehe na tuijenge nchi yetu...
Nyota ya mtu inaweza kufifia lakini bado kuna watu wataendelea kuithamini na kuiona ni nyota bora kuliko zote.
Amonaizy Wamataizy ni jina maarufu sana mkoa wa Kigoma hususani wilaya ya Kasulu.
Binafsi nimemfahamu 2009 kipindi nafanya kazi kambi ya shirika la GTZ, ngoma yake ya kwanza inaitwa Ua...
Wakuu,
Hii picha mmeiona? Hivi vimulimuli ambavyo naviona kwenye hili gari la Mwijaku vinamaanisha nini?
Au sio vimulimuli hivi?
Na hapa alikuwa nyumbani kwake huko Kigomboni. Kama nchi tunaelekea pabaya sana.
Ni vyema tujulishwe hivi vimulimuli vinamaanisha nini na kwanini Mwijaku anavyo...
Huyu jamaa alikua anagalagala chini akimsifia Mwenyekiti wa CCM Rais Samia utasikia tu "asante mama, asante mama" heee leo kachinjwa, hiyo hela ya fomu ungemnunulia mama mjengo supu basi 😂 😂
Wakuu,
Nimekutana na hii uko mtandaoni, sidhani mtu kama huyu ikitokea akapewa uongozi akaweza kuleta mabadiliko au maendeleo yoyote kwa wananchi, kwanza video hii itakupa maswali, Je yupo sawa kiakili?
Akiwa kiongozi basi hata wananchi wataambiwa wasujudu
Soma pia: Pre GE2025 - Special...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.