Uhamasishaji matumizi ya Chanjo dhidibya Covid 19 tupewe kazi hii nyepesi sisi Chadema. CCM na Serikali mmeshindwa. Hamna uhalali wa kuihubiri

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,017
Huu ndio ukweli. Sasa umegeuka kuwa aibu hata kwa Mkuu wa Nchi.

Haiwezekani mtu yule yule aliyepinga na kutushawishi kutumia matunguli leo anageuka na kutushauri vinginevyo. Hawezi kuaminika hata uwe Waziri, Mkuu wa Mkoa, DED au mkuu wa vyombo vyenye nguvu.

Hii kazi ni nyepesi inahitaji weledi na kukubalika kwa wananchi

Kwa jinsi Chadema na viongozi wake wanavyopokelewa vizuri kwenye kila tukio la kijamii nina shauri sasa Serikali iachane na mihemko ya ubaguzi wa kisiasa hii kazi tuifanye sisi wana wa Chama chenye heshima tunaoelewana na wananchi.

Chama kinachoshutumiwa kulinda na kulea watuhumiwa wa ugaidi kinawezaje kuwa role model kwenye maswala mtambuka ya kiafya?.

Hii kazi tutaifanya kwa kujitolewa tupewe usafiri tuweke mikakati tulinde afya za watanzanua dhidi ya gonjwa hatari

Ccm na serikali mmefeli sana. Kubalini kulinda heshima.

Yale yaliyotokea Juzi Tegeta Dar es Salaam ni ujumbe tosha kuwa Watanzania wakiwa huru kuchagua jambo watawashangaza sana.

Mkuu wa Nchi tayari ameshaonja joto la Jiwe amevuna alichopanda.

nawasilisha.
 
Muone aibu basi nyie waongo mmethibitisha uongo wenu kwa kuwa vigeu geu
 
Back
Top Bottom