barakoa

 1. J

  Rais Magufuli amshangaa Spika Ndugai kuvaa barakoa akiwa peke yake Bungeni

  Rais Magufuli amesema kwa taarifa alizopewa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ni kwamba Dsm kuna wagonjwa wanne tu wa Corona. Rais Magufuli amemshangaa Spika Ndugai anapovaa barakoa bungeni wakati pale mbele anakaa peke yake. Chanzo: ITV Maendeleo hayana vyama!
 2. R

  Barakoa! Zinauzwa karibuni

  Ndugu wana JF, karibu ujipatie barakoa safi kabisa kwa bei chee. Tunauza Tsh 55,000 tu kwa Box lenye barakoa 50 ndani. Ndani ya Jiji la Dar utaletewa hadi ulipo, na mikoani tutakutumia kwa njia ya Bus (Gharama ya usafiri utalipia, mara nyingi kwa Box 1 haizidi 5,000). Karibuni sana. Mzigo upo...
 3. N

  Kabudi asaliti maneno yake avaa barakoa huku Beberu likimkabidhi kitabu cha muasisi wetu

  Kabudi huyuhuyu jameni ambaye tarehe 21 may pale dodoma alimsifia JPM kwa kumpa ujasiri wa kutovaa barakoa leo kaonekana katinga barakoa na mbaya zaidi akipokea kitabu cha kumuhusu Nyerere kutoka kwa beberu wakati ilitakiwa iwe vice versa...dah kwa kweli hii awamu ni kituko.
 4. Kichuguu

  Kenya Kuna Wabunifu: Angalia Barakoa Zao

  Corona imeingia Kenya na kuleta opportunities mpya kwa wanchi; angalia barakoa walizotoa
 5. RAKI BIG

  Barakoa yanizidizishia gharama za kunyoa ndevu zinaota kwa haraka sana

  Habari wakuu. Sasa nanyoa ndevu mara 2 kwa week wakuu yaani barakoa imekuwa tabu kweli kwangu. Wenye ndevu wenzangu hali ipoje kwenye hili?
 6. Victor Mlaki

  Kuna haja ya kutoa elimu zaidi juu ya ushonaji wa Barakoa

  Leo nimejaribu kupita katika kituo kimoja cha Afya na nilichokiona ni msisitizo mkubwa wa uvaaji wa Barakoa huku zikiuzwa mlangoni kiholela lakini shida yake kubwa ni mikanda yake ya masikio kuwa mifupi kiasi cha kupata masikio ya watu na kuyabinua kama ya punda.
 7. mr.London

  Barakoa ni Lazima Zanzibar

 8. mimitungi

  Sioni umuhimu wa kuvaa Barakoa na Social Distance kwa Tanzania, nisaidieni

  Nimetafakari sana kuhusu hali halisi ninayoiona kitaani kuhusiana na mada tajwa hapo juu. Social distance ya mita 1 au zaidi ni usanii. Ukiingia kwenye daladala au kwenye masoko yetu hii kitu hakipo kabisa. Sasa kwanini tunazungumzia kitu ambacho practically kwa watu was chini hakiwezekani...
 9. YEHODAYA

  Rais Trump agoma kuvaa barakoa hadharani

  Wamarekanni ndio wamepitisha hadi sheria ya kuvaa barakoa raisi Trump ndie aliisaini hiyo Excutive Order na amekuwa wa kwanza kuivunja hataki kuvaa barakoa hadharani akimuiga Raisi Magufuli. ====== Trump Tours Ford Plant Without Mask But Wears One Out of View “I was given a choice,” he...
 10. G Sam

  Nimepita maeneo kwenye taasisi moja ya serikali nikakuta mashine ya kuzalisha barakoa inafungwa

  Hii ni hatua nzuri ya kufanywa na serikali maana sisi ni wadau wa kupaaza sauti juu ya mwenendo wa kusuasua wa mapambano dhidi ya ugonjwa huu wa COVID 19. Kuna sehemu nimepita kama nilivyoeleza kwenye heading na kushuhudia mashine hiyo ikifungwa tayari kwa kuanza uzalishaji wa barakoa. Lakini...
 11. J

  Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

  Karibu Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi. Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake. ===== Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
 12. chinembe

  Wakuu wa Ofisi za umma zinazonyima wananchi huduma kisa Corona au kutovaa barakoa, wafukuzwe kazi

  Mkuu ameshatoa agizo watu wachape kazi, yeye mwenyewe havai barakoa. Sasa kuna ofisi za umma zinanyima huduma wananchi kisa hawajavaa barakoa, hawa wafutwe kazi. Jaji Mkuu na majaji wenzake na mahakimu wametengeneza genge la ulaji, wananunua TV kama wamechanganyikiwa, huu ni ufisadi mkubwa...
 13. miss zomboko

  Askofu Bagonza atangaza ibada kurejea kuanzia Mei 31, waumini wote watatakiwa kuvaa barakoa

  Askofu Benson Kagonza, KKKT Dayosisi ya Karagwe ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Benson Bagonza amesema, ibada zilizositishwa ili kujikinga na maambukizo ya ugonjwa unaotokana na virusi vya corona (COVID-19) zitarejea tarehe 31 Mei...
 14. miss zomboko

  Wasiovaa barakoa Qatar kufungwa jela miaka 3 au faini ya zaidi ya Tsh. milioni 100

  Serikali imeanza kutekeleza adhabu mpya ya kifungo cha hadi miaka 3 jela au faini ya takriban Tsh. Milioni 127, kwa watu watakaoshindwa kutii agizo la kuvaa Barakoa katika sehemu zenye mikusanyiko Hatua hiyo, imeanza kufanyiwa kazi huku Misikiti, shule na migahawa ikifungwa ili kukabiliana na...
 15. Witmak255

  Kwanini Dkt. Kalemani alipokuwa ofisi za TANESCO - Geita alivaa barakoa na alipoenda kanisani kujumuika na Rais Magufuli akaivua?

  Hili Jambo limenishangaza kidogo.! Dr. Kaleman leo akiwa Ofisi za TANESCO-GEITA alivaa Barakoa pamoja na wote waliokuwa nae lakini ameenda Kanisani kujumuika na Raisi akavua na kuonesha hali ni shwari na wale wote waliokuwa Kanisani leo hawakuwa na Wala hawakuvaa Barakoa, kuna kitu kilipangwa au?
 16. K

  RC Makonda na Mambosasa, kwa hili la baadhi ya watu kutokuvaa barakoa DSM mnamuangusha Rais

  Wakuu amani iwe kwenu, Rais Magufuli mara nyingi amesisitiza watu kuvaa barakoa ili kujilinda na kulinda wenzao dhidi ya kuenea kwa ugonjwa hatari wa corona. Rais amesisitiza sana hili na nilitegemea viongozi wa chini akiwemo Mkuu wa Mkoa DSM, Wakuu wa wilaya zote, Kamanda wa kanda maluum ya...
 17. MakinikiA

  Usifanye Haya Unapovaa Barakoa

  KWA IMANI TUTASHINDA DHIDI YA CORONA
 18. kavulata

  Barakoa zitashindwa pia sawa na lockdown

  Lockdown imeshindwa duniani kote, Mataifa yote yameshindwa kuendelea nayo kutokana na madhara yake. Imeshindwa kwakuwa ni against nature, Mungu alivyoumba na anavyotaka tuwe is against lockdown. Uvaaji wa barakoa utashindwa, tena vibaya sana kutokana ni against nature na uumbaji. Hewa...
 19. Analogia Malenga

  Ufaransa: wasafiri wasiovaa barakoa watalipa faini ya zaidi ya Tsh. laki 3

  Uvaaji wa maski sasa ni lazima mjini Paris Ufaransa, huku ikiwataka wasafiri kuwa na vyeti kutoka kwa waajiri wao vinavyotoa sababu ya kwa nini wanasafiri Watakaokiuka agizo hilo watakuwa katika hatari ya kulipa faini ya $145 sawa na takribani Tsh 335,000. Aidh katika uvaaji wa barakoa ni...
 20. FRANCIS DA DON

  Dar es salaam ikiweka lazima ya kuvaa miwani (clear glass) kama ilivyo kwa barakoa, basi tunaweza kuwa nchi ya kwanza kuishinda Corona

  Kuna vitu vingine ukikaa na kutafakari kwa kina, utagindua kwamba akili zetu huwa zinapenda kuigana, na ni akili chache huwa zinakuwa proactive kufanya jambo jipya na akili zingine huishia kuiga tu. Tunaambiwa hivi virusi vya Corona vinaambukiza kwa kupitia Pua, mdomo na macho,? hivyo siku moja...
Top Bottom